Kwa sasa imekuwa kawaida na watoto wamekuwa wakishangazwa na hali ya sasa. Watoto wanauliza kwanini tunaona polisi na guns mitaani? - Je wanataka kutuua? —
Hii ni historia mbaya kwa TZ na kwa amani ya mchongo over 60 years.
CCM mjiandae na hali hii kwa maana tatizo sio kuwa Samia hatakiwi...
Mimi ni mmoja ya watu wanao amini katika ARDHI hasa zile ambazo hazijaendelea wengi hupenda kuita mapori au bush huko ndio mahali huwa napenda kutupia visent vyangu.
sina tofauti na mtu anae bet kwa muhind maana unaweza nunua pori leo baada ya miaka kadhaa unakuja unaambiwa nusu ya eneo lako...
ANDIKO LA Jebra Kambole
Amri ya hivi karibuni ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni iliyotolewa tarehe 28/05/2026 na Meya wa Kinondoni Mh. Songoro Hamis Mnyonge ya kuwaondoa kwa nguvu watu wanaoomba kwenye mitaa ya Dar es Salaam ni sehemu ya wimbi linaloongezeka la hatua kali za manispaa dhidi...
Wakuu nimeangalia video na picha kadhaa wazee wakiwa kwenye ndege kuishangilia Serengeti Boys kwa gharama za serikali. Hii sikubaliani nayo kabisa. Hawa wazee kwenye ajira na uongozi hawaachii ngazi ila bado hata nafasi ya vijana kwenda kushangilia vijana wenzao wanabana.. HII NI AIBU. Ila...
Kuna vitu vinasikitisha sana.
Watanzania tulifanya makosa sana kuwaacha hawa manyangau wawe wazima 29 Oktoba. Hakuna wanalojali kuhusu wananchi zaidi ya kujiamulia na kuila nchi yetu tu.
Fikiria, pamoja na gharama za mafuta kupanda kunakopelekea maisha kuwa magumu, hakuna jitihada zozote...
guest-1787677352
Thread
boys
gharamagharama za maisha
haramu
kupanda
maisha
milioni
milioni 500
serengeti
serengeti boys
serikali
Nimetoboka hela ndefu kwa huyu mdada kiasi kwamba hata akinitext kunisalimia bado nakumbuka gharama zangu na kulinganisha nae hata haviendani.
Nimekodi lodge ya gharama vyakula vya gharama na matembezi ya sehemu za VIP kwa pisi ya kawaida sana. Sasa najiuliza hayo yote niliofanya ni kwa ajili...
Mimi ni mmoja wa wateja niliyeagiza gari kutoka nje ya nchi. Gari langu limefika bandarini tangu wiki iliyopita, lakini hadi sasa halijatolewa kutokana na changamoto kubwa ya mifumo, hususan mfumo wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS).
Kwa kweli hali hii inakatisha tamaa sana. Tangu mfumo huo...
Kupanda kwa bei ya mafuta kunakoendelea kumesababisha ongezeko la gharama za maisha, ikiwemo bei za bidhaa mbalimbali na huduma muhimu za kijamii. Miongoni mwa athari zinazozidi kujitokeza ni changamoto ya usafiri kwa wanafunzi, hasa baada ya kuongezeka kwa nauli za daladala na vyombo vingine...
Kwanza naomba nitoe pole kwenu nyote.
Binafsi kwa sasa ninaishi mkoani Mtwara, ni muda mrefu sana nimehangaika kutafuta mtoto na mke wangu kwani mtoto wangu wa kwanza ana miaka 6, baada ya hapo nimehangaika sana kutafuta bila mafanikio.
Nilianza matibabu hosp huku mtwara na leo ndio nimepokea...
Tazama harusi zetu sisi watu weusi hata bado tukiwa na maisha yetu ya chini alafu tazama harusi za watu waliondelea katika nchi tajiri.
Tazama watu weusi wanapopata ustaa mapema namna anavyovaa na wanawake anaohudumia alafu tazama mastaa wenye asili ya kizungu au asia wako simple sana.
Ni ukweli kwamba gharama zinazotajwa ili uweze kuonana na daktari hazijawahi kuwa za daktari na waala daktari hajawahi kuzipokea ila ni gharama ambazo zimewekwa ili kusaidia uendeshaji wa huduma za afya na vitu vingine kwenye kituo husika.
Na kama serikali inamaanisha kuwa ni gharama za...
Hii post naielekeza moja kwa moja kwa Mheshimiwa Rais, Dr Mama Samia Suluhu Hassan na waziri wa Nishati na Madini.
Jamani wakuu maisha yetu watanzania wa hali ya chini yanazidi kuwa magumu. Bei hizi za gesi tunazotangaziwa kuwa zimepanda kufikia 62000 kwa mtungi wa kg 15 na 27000 kwa mtungi wa...
Mwenge wa Uhuru uliwekwa juu ya Mlima Kilimanjaro tarehe 9 Desemba 1961, siku ya uhuru wa Tanganyika, ukiashiria uhuru, utaifa, amani na matumaini ya taifa jipya.
Tangu hapo, mwenge huo umekuwa ukizunguka nchi nzima kila mwaka kwa ajili ya kuhamasisha maendeleo, kuimarisha umoja wa kitaifa...
Sasa TTCL wameamua kuingia mazima kwenye huduma za intaneti ya kisasa.
Usambazaji wa fiber internet unaendelea kwa kasi kubwa, hasa maeneo ya mijini ambako huduma hii inazidi kuwafikia wananchi wengi zaidi. Tofauti na zamani, sasa wanafika hadi mitaani, wakizungumza na wakazi moja kwa moja ili...
bei
bei nafuu
gharamagharama nafuu
hatua
hongera
intaneti
internet
juhudi
kasi
kubwa
kupatikana
mitaani
mkurugenzi
nafuu
pongezi
ttcl
usambazaji
wananchi
watanzania
wengi
Huku labda uwe unakula mihogo tu.
Chips kavu 2,500/= hapa nimeagiza Chips yai sijui itakuja bei gani?
Hafu sehemu local tu wala sio ushuani.
Hii sumu 1,200/=
Hapo Shoppers 850/=
Huku ila mafuta bei ile ile kama mjini.
Wanabodi,
Kupitia TBC, matangazo ya moja kwa moja, live Mubashara kutoke Tunguu Zanzibar: Nawaletea Kongamano la Vijana la kuadhimisha miaka 62 ya Muungano wa Tanzania lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa CCM katika Viwanja vya Tunguu - Zanzibar ambapo mgeni rasmi ni Mwenyekiti wa CCM na Rais...
Ni kwa uzoefu wangu wa kutumia magari kwa mizunguko ya mjini na safari chache nje ya mkoa, Gari nilizomiliki ni automatic, mafuta petrol, cc 1500 hadi 2500, magari ya kawaida tu, nothing fancy
Hakikisha unatumia oil sahihi na original za gari lako, kama engine inahitaji 10W40, tumia hiyo. Kama...
Kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi mara nyingi kuna gharama yake.
Kuingia kwenye uhusiano mpya wa kimapenzi huja na gharama ya kijamii ambayo mara nyingi haionekani moja kwa moja. Kulingana na utafiti kutoka University of Oxford, mtu wa kawaida huwa na watu wa karibu takribani watano...
⚠️ MAKOSA 8 YA UJENZI YANAYOONGEZA GHARAMA — EPUKA KABLA HAUJAJUTA!
(Elimu ya Ujenzi wa Kitaalamu) 🏗️
Unapopanga kujenga nyumba — epuka maamuzi ya haraka.
Makosa madogo ya awali yanaweza kusababisha hasara kubwa ya mamilioni baadaye — na wakati mwingine kulazimika kubomoa na kuanza upya.
Haya ni...
🔥Pata website Hosting ndani ya dakika 1 Tu (Netfasta.Com)🔥
Tunatoa huduma za web hosting na usajiri wa domains kwa gharama nafuu sana na sasa tuna ofa
Kwa Tsh 45,000 tu unajipatia hosting kwa mwaka mzima itakayokuwezesha ku-host hadi website 10
Express Plan ( Tsh 45,000 ) - 1 Year ( kuhamisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.