Kwa mtu (raia wa Tanzania) ambaye anataka kwenda kutalii mbuga za wanyama kama Serengeti, Ngorongoro, Tarangire, Mikumi, Ruaha, Katavi, nk akiwa peke yake anapaswa kuandaa jumla Tsh ngapi for a 2-3 day trip
Naona wanasema kiingilio kina vary kuanzia Tsh 10,000/= hadi 35000/= lakini swali langu...