gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Gharama za vifurushi zimepanda kwa asilimia 100

    Hili suala kwakweli limekuwa baya sana. Kadri siku zinavyosonga, maisha ya watu yanazidi kutegemea mtandao. Na kwa kawaida teknolojia inavyozidi kukua ndivyo bei inapozidi kushuka. Sasa inakuwaje hawa jamaa wanaongeza bei kwa asilimia 100. Kwa Tsh 1000 nilikuwa napata GB 1 ya tigo. Sasa napata...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Bashe: Serikali itawalinda wakulima kwa gharama zote

    BASHE : SERIKALI ITAWALINDA WAKULIMA KWA GHARAMA ZOTE Tanganyika, Katavi. Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe ameweka wazi msimamo wa serikali juu ya kuwalinda wakulima nchini kufuatia muingiliano wa kisekta wa mara kwa mara ambao husababisha wakulima kubeba mzigo mkubwa zaidi wa gharama...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaolalamika kupanda kwa gharama za vifurushi vya internet hii ndio mitandao ya kuhamia kwa sasa

    Habari ya wikiendi wana JF wenzangu. Jana baada ya kutoka mishemishe jioni si nikasema ngoja nitumbukie vocha nichungulie kinachoendelea mitamdaoni. Nikapita dukani nikanunua Zantel ya 500 dhumuni nijiunge cha chuo ambacho ni MB 500 kwa siku 7 maana sina matumizi mengi ya data. Ile kupiga...
  4. JamiiForums Tanzania Uzalendo wa Rais Samia kwa Taifa

    Wakati Rais Samia anakwepa gharama ya mafuta ya TZS 270M kwa kupanda usafiri wa Umma || Rais Joao wa Angola yeye ametumia TZS 9.5B kwenye Safari hiyo hiyo ya UN Gen Assembly, Wonders shall never end in Africa hongera sana Rais wangu Samia ==== Tunapoambiwa Tanzania imempata Rais Mzalendo wa...
  5. JamiiForums Tanzania Mitihani ya supplementary chuo cha ustawi wa jamii ngazi ya diploma inaanza mwezi wa ngapi na gharama ni sh. ngapi

    Habari za Leo wakuu, Naomba kufahamishwa katika hili. Mitihani ya supplementary chuo cha ustawi wa jamii ngazi ya diploma inaanza mwezi wa ngapi na gharama ni sh. ngapi.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Uzalendo ndio huu, Dar-New York kwa B787-8 gharama ya mafuta ni TZS 267M

    Hivi wanazengo wenzangu mnafahamu ni kwanini Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan aliamua kupanda ndege ya Emirates na kuacha ndege 11 mpya zimepaki? " Hakuna kama Samia " Kutoka Dar es salaam kwenda New York Marekani ni Jumla ya Km 12,050 sawa na jumla ya Km 24,100 two ways,ikiwa ni sawa na...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Naomba nieleweshwe gharama za kufanyiwa auditing ya TRA ktk kampun

    Habari,ninataka nifanyiwe mahesabu ya kampuni yangu naomba nijue gharama zake. Nawasilisha
  8. JamiiForums Tanzania PVC windows gharama zake ni kubwa mno

    Wadau naomba kujuzwa hivi ni kwanini gharama za madirisha ya PVc ni juu mnoo? Na je kama kuna mtu ana connection na fundi anaye tengeneza PVC Windows kwa bei nafuu embu weka connection fasta.
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia, apania kuibadilisha Tanzania kuwa Mfadhili kupitia gharama za kijamii (Tozo)

    SAMIA SULUHU apania kuibadilisha Tanzania kuwa Mfadhili kupitia gharama za kijamii (Tozo) - (SSH turning Tanzania into a Donor Nation through Social costs). Na Galila Wabanhu. Kwanza watanzania tutambue kuwa, Maendeleo endelevu ni mkakati wa kuboresha hali ya maisha wakati wa kuhifadhi...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini tunalaumu Mtu mwenye simu ya Gharama halafu analia hana kazi/mtaji?

    Mara nyingi tumekuwa tukilaumu au kuwashangaa watu wenye simu za gharama hadi 3m huku hawana kazi au wanalalamika hawawezi kujiajiri kwa kukosa mitaji. Tunawashangaa kwasababu hela hio alionunulia simu au alionunuliwa simu ingeweza kumpa mtaji mdogo ambao akiwa makini anaweza kuukuza ukawa...
  11. JamiiForums Tanzania Kyerwa, Kagera: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa agoma kufungua ofisi ya TANESCO kutokana na gharama kutoendana na ujenzi uliofanyika

    Hii ndio nchi yetu ambayo inajali wananchi na kuwasogezea huduma. Hili ni jengo la Tanesco lenye thamani ya milioni 408. -- Mchanganuo wa gharama zilizotumika kujenga ofisi ya TANESCO Wilaya ya Kyerwa, Kagera ambayo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekataa kuifungua (TZS): 1. Chumba cha walinzi...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tunakufanyia Design, tunakushauri, tunakupa gharama za ujenzi na tunajenga kwa gharama za kawaida kabisa na kwa utaalam

    Wadau karibuni mpate huduma za kitaalam kuhusiana na ujenzi kwa ujumla, kuanzia ujenzi wa nyumba ndogo za kuishi mpaka kubwa (maghorofa) ya biashana na makazi, tunakupa design itakayoendana na uhitaji wako lakini pia tutakushauri kulingana na kiwanja na budget. Design, budget na construction...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Serikali itwambie ukweli kuhusu inflation na thamani halisi ya pesa. Gharama za maisha zimepanda sana

    Siku hizi ukiwa na shilingi elfu 10, inayoyoma kama upepo, thsmani ya pesa haipo kabisa Maisha ya wananchi yanazidi kuwa juu na magumu. Wakati serikali haikuongeza stahiki za wafanyakazi kwa miaka Sita sasa, lakini imewazunguuka na kuwaongezea TOZO lukuki na kodi Lukuki na hivyo kuifanya...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna jambo gani katika noti za Tsh 500? Mbona watu wapo radhi kuzinunua kwa gharama kubwa?

    Wakuu habari za muda na wakati huu, Kwa sasa kumekua na wimbi la watu wanaotafuta noti za shilingi 500 zile za zaman mpk wanadiriki kutoa dau nono kwa yeyote aliyenazo, unakuta mtu anatoa mpk 30,000 kwa ajili ya noti moja ya 500. Je, kuna kitu gan cha special kias kwamba mpaka mtu anatoa kias...
  15. JamiiForums Tanzania Biashara stahili kwa Serikali ni kujenga nyumba bora za bei nafuu za kulipia kwa mwezi mmoja mmoja

    Serikali imekuwa ikijinasibu kufanya biashara mbalimbali kwa lengo la kujenga uchumi, kusaidia raia wake, uzalendo n.k. Tumeshuhudia serikali ikejenga hotel za kitalii, ikimiliki mashamba, viwanda vya dawa, ikinunua korosho,na ikiendelea kwa kasi kununu ndege kuendelea na biashara ya usafiri wa...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kati ya nchi kumi zenye gharama ndogo sana ya bando Afrika, Viva Samia | Viva Tanzania

    Tanzania yatajwa kati ya nchi kumi zenye gharama ndogo sana ya bando Afrika, Viva Samia | Viva Tanzania, "Hakuna kama Samia" Nchi yetu imetajwa kwenye orodha ya nchi kumi zenye gharama ndogo kwenye kununua GB1 ya internet barani Africa kwa tathmini iliyofanywa mwezi uliopita. Bei ya juu ya...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa gharama ya Floor slab

    Habarini za saa hizi wana JF, Nina mawazo ya kujenga shambani kwangu lakini ni kighorofa cha floor moja tu ambapo juu nitaweka Master bedroom, ofisi na balcon tu kwa ajili yangu na mke wangu ila watoto na wageni watalala upande wa chini. Sasa nilikuwa naomba kujua gharama za kupandisha slab na...
  18. JamiiForums Tanzania Royal Tour: Serikali itoe mchanganuo wa gharama

    Nimefuatilia kwa mamlaka zote wanipe mchanganuo wa wa gharama za Royal Tour sijafanikiwa? Naambiwa uko ngazi za juu. Nafikiri hili jambo lifanyike kwa uwazi na uwajibikaji isije kuwa kichaka cha kupiga kodi za wananchi. Rais asituambie tu anafanya tour, atuambie bajeti ya tour ni pesa ngapi...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa gharama za maisha

    Nijambo la kushangaza sana ,wananchi wanahuzuni kubwa kutokana na maisha kupanda kiasi hiki, lita ya petrol 2500, mafuta ya kula 6000 lita, makato ya simu kuongezeka, KUNA NINI NYUMA YA PAZIA?, mtueleze wananchi kuna nini kwenye uchumi,wananchi wanawalipa mishahara ,magari mazuri na kila raha...
  20. JamiiForums Tanzania RC Kafulila: Tanzania gharama za umeme ni ndogo

    Mkuu wa mkoa wa Simiyu David Kafulila, amesema licha ya kuwapo kwa baadhi ya changamoto ya utoaji wa huduma za umeme, lakini Tanzania ni nchi pekee katika mataifa ya pembe ya Afrika Mashariki yenye gharama ndogo zaidi ya tozo za umeme, ikilinganishwa na nchi nyingine za ukanda za huo. Hayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…