gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Serikali imehamishiwa Dodoma kwa gharama kubwa, kwanini bado mnatutesa kwa misafara isiyoisha huku Dar? Hamna huruma?

    Kweli mnasubirisha watu maelfu kwa maelfu lisaa lizima, tena peak ya Rush hour, halafu gari zenyewe za msafara hata 10 hazifiki. Jamani, kama mna haraka sana wekeni utaratibu wa kupanda bodaboda, kwani nyie ni nani msipandishwe pikipiki?!
  2. Simple F

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa duka lenye mabati bora kwa bei nafuu

    Wanajamvi naomba kujuzwa duka lenye mabati yenye ubora na bei nafuu Dodoma maana nahitaji bati kama mia mbili (200) nitashukuru kwa msaada
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kupeleka marais wawili na misafara yao Chato haijazidi shule wanayoenda kuzindua?

    Niko hapa naangalia convo iliyoenda kuzindua shule ya msingi Chato iliyojengwa na Rais Museveni, aisee ni kubwa. Nimemuona Rais Samia kashuka kwenye lile dege kubwa akiwa ameambatana na jopo la kutosha, Rais Museveni nae kaenda na ndege yake, picha za sehemu ya uzinduzi ina watu wa kutosha...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Serikali ianze kuzalisha chuma ili kupunguza gharama za ujenzi

    Vifaa vya ujenzi vimepanda bei, nondo zimepanda bei. Maghorofa ni nondo, madaraja ni chuma, reli na mabwawa kama JNHP ni nondo. Leo China uzalishaji wa chuma umepungua sababu ya pandemic na bifu lao na Australia. Kwanini serikali isianze kufua nondo.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa madarasa kwa hela za COVID-19 vs kupanda bei ya vifaa vya ujenzi

    Kumetokea nini kwenye sekta ya ujenzi? Ghafla kila kitu kimepanda bei. Je, kuna uhusiano na ujenzi wa madarasa yanayojengwa kwa kasi kipindi hiki? Ni vifaa kuadimika kutokana na uhitaji mkubwa wa project hii? Je, ni watu wameamua kuchezesha ili wapate kitu kwenye bei hizi mpya? Najua...
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania TANESCO yautaja umeme wa gesi kama 'umeme wa gharama'

    TANESCO katika mpango mkakati wake wa miaka mitano imesema pamoja na kupungua utegemezi wa matumizi ya mafuta mazito kuzalishia umeme, gesi nayo majanga. Gharama ya kufikisha gesi kwenye vituo vya kuzalishia umeme kutoka inapochimbwa inabakisha gharama ya uzalishaji wa umeme kuendelea kuwa juu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Gharama za harusi ya Aristote ni kufuru

    Jionee mwenyewe.
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Dunia kwa sasa inakabiliwa na tatizo jipya la Usalama (Ugaidi)

    Rais Samia amesema Dunia kwa sasa inakabiliwa na tatizo jipya la Usalama (Ugaidi). Ameeleza hayo katika Ufunguzi wa Kikao cha Mkuu wa Majeshi kinachofanyika Ngome ya Lugalo Ameeleza, "Kwa hulka ya Ugaidi, Mtu yeyote bila kujali Rangi, Dini, Umri, Itikadi, Kipato au Uraia anaweza kuwa mhanga wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa gharama ya vifaa vya ujenzi

    Tumeshuhudia hivi karibuni ongezeko kubwa sana la gharama kwenye vifaa vya ujenzi na bidhaa nyingine za vyakula mfano sehemu nilipo nondo imetoka Tzs 18000/= mpaka 27000/=. Huo ni mfano tu. Mawaziri msaidieni Rais kupanda kwa vifaa kuna muathiri kila mtanzania pamoja na mnyonge.
  10. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Mabaharia mwenzangu, Hivi unajua "UMALAYA" ni gharama Sana?

    Eeh bwana eeh it's me Mr. Liverpool again. Mwenzenu nimekaa nikawazaa na kuwazua, nikaona dah "BAGOSHAAAA wanaume TUNANYONYWA SANAA" Iko hivi..... Mr. Liverpool ni mkulima wa Parachichi na miti ya mbao. Sasa bana, leo nimekaa nikawa napanga bajeti ya kuingia Shamba. Maana huwa naingia...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kushusha zaidi bei ya mafuta mwishoni mwa Desemba 2021

    Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa Tshs 102 katika kila lita ya mafuta msimamo wa bei ya mafuta uliopo nchini bado haumpi usingizi mama huyu kwani bei ya mafuta ndio huamua gharama za maisha ya watoto hawa wa masikini ama zipande au zishuke au zisalie zilivyo. Rais Samia Suluhu Hassan...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli raia tunatakiwa kuhamia Burundi. Gharama za maisha zinazidi kupaa

    Jamani vitu vinazidi kupaa bei kana kwamba hatuna wa kutusemea,jmosi nilinunua cement kwa 20,000/= Leo nimedamka tena kwenda kununua cha ajabu,imepanda na kufika 21000/= Sasa najiuliza hii cement nayo inatoka ng'ambo ya nchi? Je shida ni material au mafuta au nini au serikali nayo imeongeza...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Usisomeshe mtoto shule za gharama kwa matarajio kwamba atapata ajira, utaishia kuumia tu

    Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wazazi wakisomesha watoto wao shule za gharama za private toka chekechea, msingi, o level na advance mpaka chuo kwa mategemeo kwamba watakuwa na ajira zenye malipo ya juu, watoto wakimaliza chuo hawana ajira aua ajira zinakuwa za chini, kwa o yanageuka kuwa...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Gharama za kuwaondoa machinga zibebwe na viongozi wa mitaa

    Kasi ya kuwahudumia wananchi kutatua kero zao inapungua kutokana na rasilimali watu, fedha, vifaa na muda kuelekezwa kwenye kitatua shida ambazo zimezalishwa na viongozi tuliowapa madaraka na kuwalipa kwa Kodi zetu. Wakati mmachinga wa kwanza anaanza kuweka biashara sehemu isiyo sahihi viongozi...
  15. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Gharama za bando zitaua creativity, biashara na ndoto nyingi za vijana

    Nawasalimu wote. Nitaangazia nyanja kadhaa na nitakapoweza tena mifano. Pale patakapopungua naomba mjazie. Hivi karibuni makampuni ya mawasiliano yaliongeza karibia kwa 50% gharama za Internet kwa Watumiaji kwenye ile option waliojificha humo kama "Offer" ya mtandao! GB tatu kwa mfano kwa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kujenga darasa kutokana na fedha za COVID-19

    TAMISEMI imetoa maelekezo kuwa gharama ya kujenga darasa moja kwa fedha za msaada wa Covid-19 ni Tshs.20,000,000. Kama majengo haya yatajengwa na Wakandarasi waliosajiliwa naona haya hayakutiliwa maanani:- (1) Mkandarasi aliyesajiliwa anapolipwa lazima akatwe withholding tax ambayo ni 10% ya...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuchanja kunatupunguzia gharama kubwa

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuchanja kunaipunguzia Serikali gharama za matibabu na za kupoteza nguvu kazi ndani ya Nchi. Amesema, "Tukikaa bila kuchanja maradhi yale yakiingia, yanaingia kwa kasi" Amesema, "Nimeingia Kilimanjaro nikawa nawaambia wenzangu mbona huku watu hawana habari...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mhe. Waziri wa Afya na Waziri wa Nishati, gharama za oxygen hospitalini kwanini ni kubwa hivi na hakuna tamko lolote?

    Ninafuatilia maisha ya mama mmoja huko Arusha aliyekaa kwenye oxygeni kwa miezi miwili na familia kutakuwa kulipa zaidi ya milioni thelesini. Katika kipindi ambacho covid ni agenda ya Dunia napata fundisho kwamba ni watu wachache Sana wenye uchumi wakuweza kulipia oxygen. Naomba wenye utaalam...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Pata design, ushauri na kujengewa kwa gharama nafuu kutoka kwa wabobezi

    Habarini za majukumu wakuu. DOTLINE CONTRACTORS , Tuna kufanyia Design ya wazo la ramani/nyumba utakayo, tunakushauri kulingana na eneo unalotaka nyumba ijengwe pamoja na budget yako, tunakupa gharama za ujenzi pamoja na kukujengea. Karibu ofisini kwetu Mlimani City kwa maelezo zaidi...
  20. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Gharama za vifurushi zimepanda kwa asilimia 100

    Hili suala kwakweli limekuwa baya sana. Kadri siku zinavyosonga, maisha ya watu yanazidi kutegemea mtandao. Na kwa kawaida teknolojia inavyozidi kukua ndivyo bei inapozidi kushuka. Sasa inakuwaje hawa jamaa wanaongeza bei kwa asilimia 100. Kwa Tsh 1000 nilikuwa napata GB 1 ya tigo. Sasa napata...
Back
Top Bottom