1. Harvard University (US)
Chuo Kikuu cha Harvard ni chuo kikuu cha utafiti cha Ivy League cha kibinafsi huko Cambridge, Massachusetts. kilianzishwa mwaka wa 1636 kama Chuo cha Harvard na kutajwa kwa mfadhili wake wa kwanza, kasisi wa Puritan John Harvard
2. Stanford University (US)
3...
Wakuu kama mnavyojua kuna mchakato wa kutafuta vazi la taifa huko na kuna kamati zimeundwa, hizi zote zitakula muda na fedha
Nashauri vazi la taia liwe hili kwani linamtambulisha mtanzania popote pale duniani na ni la kisasa pia
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff amesema ujenzi wa barabara na madaraja kwa kutumia teknolojia ya mawe na matofali ya kuchoma unaokoa gharama kwa asilimia 50.
Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dodoma, Mhandisi Seff alisema...
Mimi ni fundi seremala huwa napenda sana kutumia internet hasa youtube kuongeza ujuzi.
Nimejikuta natumia wastani wa shilingi laki moja na elf 30 kila mwezi kwajili ya internet kwenye kucheki youtube, netflix, kudownload cartoon za watoto, kushare internet, n.k.
Nataka nipunguze gharama hio...
Wakati Kombe la Dunia likibakiza miezi miwili kuanza, tayari inaonekana nyota wa Ureno na Manchester United Cristiano Ronaldo ataingia kwenye michuano hiyo akiwa mchezaji mwenye nguvu zaidi duniani kwa kuzingatia ushawishi wake kwenye mitandao ya kijamii.
Ronaldo amewapiku mastaa wengine kama...
Dah sijui tunaelekea wapi, hizi huduma zilipaswa kutupa unafuu wananchi kufanya miamala bila usumbufu lakini imekua ujambazi hasa hasa.
Niliwahi kuhamisha laki mbili kutoka Benki kwenda mpesa nikakatwa 11,000/= hapo bado sijakutana na Makato ya mpesa, nikajikuta nakatwa karibu 16000/= kupata...
Namshauri Dk mwaka aombe radhi tu, hakuna atakachopungukiwa. Analeta malumbano yasiyo na msingi.
Namshauri Mkuu wa Mkoa amwite na kumnasaha aombe radhi, ikishidikana RPC amwite kwa mahojiano, maana analeta viashiria vya uvunjifu wa amani nchini. Ahojiwe,labda anatumika na kundi ambalo...
Wanabodi,
Miradi ya maendeleo ya serikali ya awamu ya sita inafanywa kwa dhumuni la kuwasaidia wananchi na kutuvusha kutoka kwenye hali tuliyonayo sasa hivi kuelekea kwenye hali nzuri zaidi. Siku zote, serikali hukusudia mema kwa wananchi wake na kwasababu hiyo ni vyema kuipongeza serikali ya...
Ikiwa GB 10 unauziwa kwa 25,000/=, na zenyewe unatumia ndani ya siku kadhaa tuu ukiwa kwenye 4G, je ukiwa kwenye 5G si ni siku moja bando linakuwa limeisha?
Mabadiliko ya teknolojia yanapaswa yaendane na mabadiliko ya sera za bei za data. Nchi nyingi zilizozindua hii teknolojia ya 5G hawatumii...
Mtandao wa Vodacom umezindua huduma ya intanenti ya kasi kubwa ya 5G mapema leo 1/9/2022. Sasa kama kuna baadhi ya maeneo 3G tu haikamati hii, 4G kusumbua kwenye maeno mengi, hii 5G italeta tofauti yoyote?
Au ndio kisingizio cha kutuongezea gharama za bando kiujanja, tukija kuwauliza watuambie...
Kilimo tangu nyakati za uhuru mpaka leo hii ndiyo sekta pekee inayoajiri asilimia kubwa ya watanzania. Inakadiriwa kuwa zaidi ya 60% ya watanzania wamejiajiri au kuajiriwa katika sekta ya kilimo. Na kilimo imekuwa mhimili mkubwa wa maisha ya kila siku ya watanzania wengi. Pamoja na kuwa kilimo...
Serikali imeonya kuwa takwimu zilizotolewa na TWAWEZA kuhusu utafiti wa hali ya uchumi wa taifa na tozo za miamala ya kielektroniki zinasalia kuwa zisizo rasmi.
“Matokeo hayo ni yao (Twaweza) na tutayachunguza kabla hatujatoa msimamo rasmi wa serikali. Kwa jinsi matokeo yalivyo, siyo rasmi,”...
Unamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako.
Umeenda airport kumpokea mchuchu, mashamsham kibao, halafu demu anakwambia ameanza kubleed wakati wa take off...
Wafanyakazi nchini humo wameitisha maandamano nchi nzima kupinga kupanda kwa gharama za maisha na ukosefu wa ajira wakati ambao mfumuko wa bei ukifikia kiwango cha juu tangu mwaka 2009.
Maelfu ya wafanyakazi waliingia mitaani katika majimbo yote tisa kudai ruzuku ya msingi ya mapato, kima cha...
PATA ELIMU KIDOGO KUHUSU NMB & CRDB MAKATO
Maswali ya msingi kabla sijakuelezea makato
a) Kipi Bora kutoa hela kupitia kwa Wakala, ATM au Ndani ya benk (Over the counter)?
a) Kipi Bora kuangalia salio kupitia kwa Wakala, NMB mobile/CRDB Simbanking, ATM au Ndan ya benk (Over the counter) au...
Kahawa maarufu tunayotumia hapa Tz ni Africafe. Kale kakopo, 50mg kanauzwa Tsh 4000. Maana yake kilo moja ya kahawa ile ni Tsh 80,000.
Na kahawa hii ni ile ya quality ya chini tu. Ndiyo maana inasemwa kuwa ukiacha mafuta, bidhaa inayofuata kuwa kuwa na jumla ya pesa nyingi duniani ni kahawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.