ghali

Boutros Ghali (12 May 1846 – 21 February 1910; Coptic: Ⲡⲉⲧⲣⲟⲥ Ⲅⲁⲗⲓ, Arabic: بطرس غالى‎; styled Boutros Ghali Bey later Boutros Ghali Pasha) was the prime minister of Egypt from 1908 to 1910.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    “Kwanini Stima Ni Ghali Kenya?” Benki ya Dunia Yafichua Mikataba Yenye Utata na Mianya ya Ufisadi

    Benki ya Dunia (World Bank) imeibua maswali kuhusu gharama kubwa za umeme nchini Kenya, ikihusisha hali hiyo na mikataba ya gharama kubwa, ukosefu wa uwazi na changamoto za uongozi katika sekta ya nishati. Katika ripoti yake ya Kenya Economic Update iliyotolewa Novemba 2026, Benki ya Dunia...
  2. Smt016

    Kwanini kwasasa flagship za android smartphones imekuwa bei ya juu kuliko flagship za Iphone?

    Kipindi cha nyuma, simu za Iphone zilikuwa ni za moto katika bei, kuipata lazima upate connections na wanaofanya kazi kwa wadosi ili uuziwe kwa bei nafuu, ilikuwa ni simu inayouzwa kwa bei kubwa, kulinganisha na Android. Ila kwasasa flagship za android ndizo zimekuwa zinauzwa bei kubwa mno...
  3. bless on

    Gari Ghali Zaidi Duniani: Mercedes 300 SLR!

    Kama unadhani Bugatti Chiron ya dola milioni 3.5 (TSh bilioni 9.5) ndiyo mwisho wa matumizi ya kijinga ya fedha, basi hujaiona 1955 Mercedes-Benz 300 SLR Uhlenhaut Coupé iliyouzwa kwa dola milioni 142 (TSh bilioni 380)! Kwa bei ya Mercedes hii moja tu, unaweza kununua msururu wa Bugatti Chiron...
  4. Eli Cohen

    Watu wengi wanadhani bado DSM, ARS na MWZ ndio sehemu pekee zenye maisha ghali sana TZ, mnakosea, joto lisha sambaa kote, mikoani napo ni expensive

    Kama unapata fursa yako dar, we endelea kuishi dar, usidanganyike kurudi nyumbani Kuna sehemu nyingi hapa tanzania, kujenga nyumba ni ghali kuliko anaejenga dsm Nyumba na vyumba vya kupanga vimepanda wilayani huku, hakuna mtu mjinga ajenge nyumba ya kupangisha 30-60m+ alafu umpatie laki moja...
  5. ChoiceVariable

    Wanaodai kwamba Jiji la Dodoma Linaongoza Kwa Maisha Ghali Hawajawahi Ishi Arusha.Dar level ya Maisha unapanga mwenyewe kuanzia ya chini Hadi Juu.

    Mtu hajatembea harafu anafika conclusion.Tafureni pesa acheni kulalamika.
  6. Zack Abdul

    Mwanamke Ghali Zaidi: Anayeondoka Baada Ya Kujengwa

    Mwanamke Ghali Zaidi Ni Yule Anayeondoka Baada Ya Kujengwa Wanaume, Wanawake wanaowaumiza wanaume kifedha sio wale wavivu pekee. Mara nyingi— ni wale wanawake ambao mwanaume aliwasaidia kuinuka. Yule mwanamke aliyemuamini. Aliyemwekeza. Aliyemsapoti kihisia, kifedha, na kiakili. Yule...
  7. Mad Max

    Pikipiki za umeme “Roam Air” kutoka Kenya, ndio mkombozi wa usafiri kipindi hiki cha mafuta bei ghali!

    Kuna kampuni linatengeneza electric vehicles lipo Kenya, linaitwa Roam Electric. Kwa sasa wanatengeneza mabasi na pikipiki za umeme. Tuachane na mabasi. Sasa kwenye pikipiki, wana model moja tu inaitwa Roam Air, muonekano kama TVS tu ya kawaida. Inakuja na battery la 3.2 kWh, kuna options ya...
  8. M

    Mafuta yamepanda bei, Fanya haya mapema kuokoa gharama

    a. hakikisha unanunua spark plugs original kwa ajili ya aina ya gari lako, kila gari ina spark plugs zake zimetofautiana joto, urefu, n.k. kama unatumia Toyota nenda kwa dealers wao wakupe aina ya pluga inayofaa kwa gari yako, plug moja inaweza kuwa ni elf 60 ila zinapiga kazi kwa kilometa laki...
  9. Mshana Jr

    Beluga cavier: chakula zaidi ghali duniani

    Beluga caviar ni chakula ghali sana duniani, na bei yake inaanzia takriban $7,000 hadi zaidi ya $22,000 kwa kilo ($3,200 hadi $10,000 kwa pauni), bei zinatofautiana kulingana na ubora na chanzo. Bei pia inaweza kupatikana kwa idadi ndogo, kama vile $200-$300 kwa wakia. Gharama Hi yo ya juu...
  10. Hharyson

    "CONTEMPORARY DESIGN (HIDDEN ROOF) ni chaguo kali sana – inakupa nafasi kubwa ya ubunifu na kuifanya nyumba yako iwe ya kipekee. Ila ujue ni ghali

    "CONTEMPORARY DESIGN (HIDDEN ROOF) ni chaguo kali sana – inakupa nafasi kubwa ya ubunifu na kuifanya nyumba yako iwe ya kipekee. Ila ujue, gharama yake ni juu kidogo kulinganisha na za kawaida!" check out this 4bedrooms with balconies call/whatsap us +255624004650 design and construction...
  11. Hharyson

    Ukihitaji nyumba nzuri kabisa, siyo rahisi hata kidogo ni ghali sana

    4BEDROOMS FIT ON PLOT SIZE OF 20X30M CALL US +255624004650 COST ESTIMATED 165M
  12. Papillon 1906

    Kuku ghali zaidi duniani

    1. Ayam cemani 2. Sultan 3. Phoenix 4. Yokohama 5. Polish crested 6. Sebright 7. Frizzle
  13. Hharyson

    Gorofa yenye master bedrooms juu siyo ghali kihivyo so timiza ndoto yako usiogope call us +255624004650

    HAPA CHINI 3BEDROOMS JUU MASTER BEDROOMS NA KASEBULE KDGO YAAN SIMPLE NA AFFORDABLE SANA PLOT SIZE KUANZIA 20X20M AU 20X30M UNAHITAJI NN ZAIDI CALL US +255624004650 OFISI ZETU ZIKO SINZA DAR ES SALAAM PICHA ZA IDEAS ZINGINE KWA CHINI
  14. W

    iPhone ni kama mkoba wa Gucci au Luis Vuitton wenye buku jero ndani. Ni muonekano tu lakini unabanwa matumizi, Sijutii kuhamia Android

    Nimezitumia Iphone kwa mudamrefu, nilikuwa sisikii wala sioni simu nyingine nje ya iphone, ila baada ya kuhamia android sijioni kabisa nikirudi nilikotoka. Simu za android hapa nazoziongelea ni zile topbrand Samsung, Google Pixe, One Pus, Xiaomi, Mitandao ya simu inakubana ukitumia Iphone...
  15. GoldDhahabu

    Ni mazuri kwa kuwa yanauzwa ghali au ni ghali kwa kuwa ni mazuri?

    Rolls Royce na Lamborghini! Sijawahi kuyaona kwa macho (live) sembuse kuyagusa, lakini yashafika Tanzania. Nimeyaona mtandaoni. Yapo Dar Es Salaam. Japo ni mtumba lakini bei yake si haba! Rolls Royce inauzwa Tsh 1,500,000,000/= na Lamborghini Tsh 1,450,000,000/=. Kama used ni ghali hivi...
  16. Imani rubaba

    Je, unajua kwa nini maziwa ya Jersey ni ghali sana? 🐄✨

    Ng’ombe wa Jersey wana uwezo wa kutoa kati ya lita 15 hadi 25 za maziwa kwa siku 🥛, kutegemea na lishe, mazingira, na huduma bora ya mifugo. Ingawa si wengi hutoa lita nyingi kama Friesian (ambao wanaweza kufikia lita 30–40 kwa siku), maziwa ya Jersey yana ubora mkubwa kwa mafuta – jambo...
  17. M

    Kazi ya uwinga pale kariakoo haina tofauti na utapeli. Je unafanyaje kuepuka kuuziwa bidhaa kwa bei ghali na hawa vijana wanaojiita mawinga

    Habari zenu Kukua kwa mitandao ya kijamii nako kumeongeza idadi kubwa ya vijana wanaojinasibu kuwa ni mawinga hususani pale katikati ya jiji la Dar-es-salaam, naizungumzia kariakoo. Kariakoo ni alama ya biashara katika nchi ya Tanzania ,ni sehemu yenye maduka mengi sana ya bidhaa mbalimbali...
  18. R

    Kwanini Aluminium furnitures ni ghali sana?

    Nimejiuliza swali hilo kila mara. Nini kinasababisha Aluminium furnitures kuwa ghali sana. My observation ni kuwa they are not labour intensive...ni kata unganisha kirahisi and all is done! Au. Material yanyewe ndiyo ghali?
  19. The Assassin

    Trump: Kwenye serikali yangu hatuhitaji umeme wa upepo, ni umeme ghali sana. Hatutashiriki hata mara moja kujenga mitambo ya umeme wa upepo.

    Rais mteule wa Marekani ameonya kwamba kwenye serikali hakutakua na muendelezo wa ujenzi wa umeme wa upepo. Trump anasema umeme wa upepo ni umeme ghali sana. Ni umeme unaotegemea ruzuku, bila ruzuku hakuna mtu anaweza kumudu kununua umeme wa upepo. Trump anauliza ni nishati ya namna gani hiyo...
  20. G

    CCTV video: Wizi wa vitu ndani ya magari, usijenge mazoea ya kuacha vitu ghali kwenye gari,

    kukumbushana sio mbaya, tahadhari muhimu kuliko kusubiri yakukute Muda mwngi katumia kusubiri watu wapite, 2:00 kapiga tukio
Back
Top Bottom