gerson msigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Martin Masese: Gerson Msigwa atueleze kwanini anatumia chaneli za mabebru kutazama kombe la dunia na kutuachia TBC1 yenye ubora duni

    GIRISHONI kanichapa BLOCK usiku wa manane, baada ya kumtaka atupe ufafanuzi wa kwanini anatumia chaneli za MABEBERU kuangalia WEDIKAPU wakati TBC UKWEL na UHAKIKA ipo lele-lele. Anamuachia nani ‘kwaliti’ mbovu ya TBC. Uzalendo nje, ndani kwake aaah!🤣
  2. R

    PostGE2025 Gerson Msigwa: Upuuzi uliopangwa wa 7/7 umeshindwa kwa jina la Yesu. Tujielekeze kwenye mambo ya msingi

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amewapongeza Watanzania kwa kuendelea kulinda amani, utulivu na mshikamano wa nchi huku wakipuuza wito wa baadhi ya watu wanaochochea vitendo vya kuwapeleka wananchi barabarani badala ya kujikita katika shughuli za uzalishaji na kukuza uchumi...
  3. Kama grid ilitoka katika mazingira ya kawaida tume imeundwa ya nini Gerson Msigwa aache uongo

    Guys Hivi Gerson Msigwa anatuoanaje watanzania. yaani anapenda kutupanga sana pia huja na fix za kikuda. Kama grid kutoka ni swala la kawaida Tanesco wanaunda tume ya nini. huyu jamaa kashakuwa chawa mwongo muongo Usije ukamwamini msigwa kwa lolote lile maana ameshiba na amejaa dharau.
  4. Gerson Msigwa: Waandishi wa habari kama kuna kasoro andikeni Serikali itafanyia kazi

    Akijibu maswali ya waandishi wa habari mbali mambo mengine bwana Msigwa aliwaambia waandishi hao kuwa kama kuna kasoro waandike na serikali itafanyia kazi. Mojawapo ya kasoro kubwa ambayo ipo na vyombo vya habari vya Tanzania haviandiki, havisemei au hata kufanya uchunguzi (documentary) ni...
  5. Gerson Msigwa: Kero ya maji imepungua. Upatikanaji wa maji kwenye vijiji umefikia 85.5% na 95.2% maeneo ya mjini

    Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema Serikali imeboresha upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi katika maeneo ya vijijini na mijini Amesema kuwa bajeti ya Wizara ya Maji imeongezeka kutoka Shilingi Bilioni 680 kwa mwaka 2021 hadi kufikia Shilingi Trilioni 1.12 kwa mwaka huu...
  6. Gerson Msigwa: Mwenye ushahidi wa kiongozi aliyefanya matumizi mabaya ya fedha za umma aufikishe kwenye vyombo vya sheria, hatua zitachukuliwa

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ametoa onyo hilo alipokuwa akijibu swali la mwandishi wa habari aliyeuliza kuhusu madai ya baadhi ya viongozi kujilimbikizia mali kutokana na mikopo ya serikali. Msigwa ameweka wazi kuwa serikali ina sheria zinazoelekeza matumizi sahihi ya rasilimali za...
  7. Gerson Msigwa: Kilichotokea jana kwenye umeme ni changamoto za kawaida na zinatokea kokote duniani

    Serikali, kupitia Msemaji wake Gerson Msigwa, imetoa ufafanuzi wa kiufundi kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme nchi nzima iliyotokea jana na jinsi ilivyoathiri huduma za treni ya kisasa (SGR) "Najua wengi mmetikiswa na tatizo lililojitokeza jana. Tulipata hitilafu kwenye gridi ya taifa...
  8. Gerson Msigwa: Ukikopa, fedha zinakuwa sio za aliyekukopesha zinakuwa za kwako. Mkiona tunakopa mjue tunakopesheka

    Wakuu Akizungumza leo, Juni 28, 2026 Msemaji Mkuu wa Serikali amesema kwamba Nchi inakopa kwa sababu inakopesheka. Benki au taasisi yoyote ya fedha haiwezi kutoa mkopo bila kujiridhisha na uwezo na mpango thabiti wa mkopaji kurejesha fedha hizo. "Fedha nyingine tunakopa. Ni kweli, najua kuna...
  9. Gerson Msigwa azungumza na waandishi wa habari - Juni 28, 2026

    Wakuu, Msemaji Mkuu wa Serikali anatarajia kufanya mkutano rasmi na waandishi wa habari siku ya leo, Juni 28, 2026. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari (MAELEZO) chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, mkutano huo unatarajiwa kuanza majira ya saa 7:30 mchana...
  10. Gerson Msigwa anashiriki kukandamiza vijana kwenye umasikini, ujinga

    Katika hotuba yake ya hivi karibuni mkoani Njombe, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson alitoa maagizo yanayoshtua. Baada ya kuwaonya watumishi wa umma dhidi ya kuvujisha "siri za serikali," alitangaza kwa fahari kuwa zaidi ya vijana 400 wa Kitanzania wamekamatwa kwa kutoa lugha za matusi kwenye...
  11. Gerson Msigwa anaona Wazungu kila hatua wanayofanya sio kitu, eti: 'Sio Uamuzi wa Mwisho'

    Mpaka pale Bunge Litakapopiga Kura Rasimi , ndio atakuja kusema 'wale ni mabeberu, tutaendesha NCHI kwa Kodi zetu'. Jamaa alivyo , Utetezi wake kwa Hatua ambazo MAREKANI na Ulaya wamekua wanazichukua ni ule ule 'Huo sio Uamuzi wa Mwisho'". JAMBO LA MUDA, ni kua Wàmerekan na Ulaya, Kila jambo...
  12. W

    Viongozi wetu wapunguze vichambo na vitisho wanatakiwa kujifunza kufanya mambo proffessionally

    Hivi tangu lini ukamuona msemaji wa Serikali wa Marekani anasimama na kuanza kuchamba raia au wafanyakazi wengine? --------------------- Nimesikiliza speech ya Msigwa jana yaani amenikera alichokuwa anataka kukiwasilisha kilikuwa ni kina maana lakini uwasilishaji ni sifuri. Hata kama ni maafisa...
  13. R

    Gerson Msigwa akanusha taarifa zinazosambaa Mtandaoni Serikali kuzuia Watengeneza Maudhui wa Kenya Kuingia Tanzania

    Juni 8, 2026, Ukurasa wa Instagram 'switch Tv ke' ilichapisha taarifa orodha ya watengeneza maudhui wa Kenya kama vile Mjaka Mfine, Mokaya, na Malcolm kupigwa marufuku kuingia Tanzania na Zanzibar kufuatia vichekesho (skits) wanavyotengeneza kuhusu Rais wa Tanzania. Leo Juni 10, 2026, Katibu...
  14. A

    DOKEZO Kuna baadhi ya Halmashauri kupitia Mfumo wa Tausi wanatoa muda mfupi sana kulipia viwanja

    Wizara ya Ardhi pamoja na TAMISEMI zinapaswa kulitazama kwa makini suala la uuzaji wa viwanja kupitia mfumo wa Tausi, hususan kuhusu muda unaotolewa kwa wanunuzi kukamilisha malipo. Kwa sasa, baadhi ya halmashauri hutoa muda mfupi sana wa kulipia viwanja hivyo. Kuna maeneo ambapo mnunuzi...
  15. Gerson Msigwa: Kabla ya 2030 tutanunua ndege nyingine 40

    Akizungumza jijini Mwanza jana Jumanne, Juni 2, 2026, wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wanamawasiliano wa Serikali, Gerson Msigwa amefichua kuwa kuanzia Julai 1, 2026, Tanzania itaanza rasmi kutekeleza Dira Mpya ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 inayolenga kukuza uchumi wa nchi kutoka...
  16. Gerson msigwa :Serikali haiwalipi mastaa kuja Tanzania wanakuja kutokana na ukaribu na mheshiwa waziri Makonda

    Msigwa wadanganye watoto wako tu star mkubwa wa ball duniani aje bure ajilipie gharama zote za passport kuja tanzania kisa ameitwa na Makonda? Usikute hata ulaya hawamjui msukuma Makonda 😂 😂 na hilo trako lake kubwa 😂 Tusifiche ukweli tuwambie watanzania pesa zao za kodi wanalipwa hawa mastaa...
  17. Gerson Msigwa: Nimetembea Kilometa 80 kwenda shule

    Kwa uhalisia tu haiwezekani KM 80? Yaani sawa na Mita 80000 kwa miguu huyu jamaa amekubuhu kwa uongo hizo kilometa unafika shule wenzio washatawanyika unarudi nyumbani usiku unafika asubuhi afu tena urudi shule 😂. Gerson huu umbali unaosema wewe sio kweli labda kama umekosa cha kusema. Kwa...
  18. Gerson Msigwa awajia juu waliomkosoa kuita wananchi Nguchiro asema 'Wewe kama siyo Nguchiro kime kuuma nini?'

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, anaweka wazi juu ya watu walioweka namba yake ya simu mtandaoni na watu wengine kutumia namba hiyo kumrushia matusi.
  19. Gerson Msigwa anadai watu 80 wamekamatwa na wapo vituo vya polisi. Kama wana hatia kwa nini zaidi ya masaa 24 hawajapelekwa mahakamani?

    Msigwa amejitapa kuwa dunia ya sasa ipo juu kiteknolojia. Ndio maana waliomkamata wametiwa mbaroni na polisi. Haya sasa hivi ni zaidi ya masaa 24 kwq nini hawajap3lekwa mahakamani kwa mujipu wa sheria? Kama hawana hatia waaachiwe.
  20. Msigwa: Vijana msinitukane mtakamatwa tu, Polisi wameshakusanya zaidi ya Watu 80

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, sanaa na michezo, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa amesema kwa bahati mbaya wanaowaponza na kuwarubuni Vijana na kuwaingiza kwenye uvunjifu wa sheria ya Mtandaoni wamekuwa wakiwafuata Vijana kutoka familia duni, suala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…