gerson msigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    Gerson Msigwa: Tutatumia njia yeyote ile AFCON ifanyike Tanzania

    Naona maji yameanza kufika shingoni, walipewa hadi September kuonyesha utayari wa viwanja na miundombinu leo mwaka unakatika, walidhani 2027 ni mbali, wameanza kulaumu mitandao mwisho watalaumu wanaharakati kama kawaida yao. "Tunatumia njia yoyote itakayotuwezesha kuhakikisha AFCON inafanikiwa...
  2. A

    Gerson Msigwa: El Niño, ni kuongezeka kwa joto

    Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amewataka Watanzania kuwasikiliza wataalamu wa hali ya hewa kuhusu suala la El Niño, kufuatia mijadala inayoendelea katika jamii kuhusu ongezeko la joto nchini. Msigwa ameyasema hayo jana...
  3. R

    Gerson Msigwa: Miss grand wametupa Jukwaa kutangaza nchi yetu, ni ujumbe wa dunia Watazania tunapenda utulivu

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, leo Oktoba 17, 2026, amempongeza mshindi wa taji la Miss Grand International, Jihan Dimack, wakati wa mapokezi yake makubwa ya kurejea nchini. Msigwa amebainisha kuwa ushindi huo umewaleta Watanzania pamoja na kutoa fursa adhimu ya kuitangaza nchi...
  4. Parabolic

    Heche aendelea kumkomalia Gerson Msigwa ubovu wa barabara

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amemjibu Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, kuhusu hali ya miundombinu ya barabara nchini, akisema bado kuna changamoto ya ubovu wa barabara katika maeneo mbalimbali. Hoja hiyo imekuja baada ya Heche...
  5. Boss la DP World

    Kumbe Gerson Msigwa ana undugu na Nchimbi ndiyomaana

    Kumbe hawa mabwana ni ndugu sasa ukoo unamfuatilia kwa karibu msigwa kuona mienendo yake baada ya mpendwa wao kuwekwa utumwani. Kumbe kajamaa kamezira kimyakimya. Kila mtu atafikiwa si mlisema anaupiga mwingi.
  6. Boss la DP World

    Gerson Msigwa acha dharau, toa pole kwa familia ya Chivayo

    Tangu ndugu Samia aende eda, msigwa amekuwa mzembe sana. Ona sasa mama amepata msiba wa rafiki yake wa karibu, yeye kashindwa kujiongeza kutuma salamu za pole kwaniaba ya Samia Suluhu.
  7. R

    Gerson Msigwa: Vijana wa Tanzania waanzishe kampuni zao, waanzishe mashamba, wafuge kuku

    Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, amewataka vijana nchini kuchangamkia fursa mbalimbali za uwekezaji katika sekta za kilimo na ufugaji badala ya kusubiri na kuacha fursa hizo zikakamatwa na raia kutoka nchi za nje. Msigwa ameyasema hayo Agosti 5, 2026, katika mahojiano na Crown Media katika...
  8. Idugunde

    Gerson Msigwa huko ulipo unapata usingizi? Bado mil 7 CHADEMA wafikishe mil 245.

    Alizuia wafanyabiashara wasiichangie CHADEMA👇 Soma Msigwa: Inasikitisha sana, yaani wanahamasisha Vijana watoe pesa walizonazo wawapatie pesa wao waweke mifukoni mwao
  9. mirindimo

    Picha : Msemaji wa Serikali ya Tanzania aingizwa mkenge

    Julai 16, 2026, Msemaji wa Serikali ya Tanzania kupitia ukurasa wake wa Instagram alichapisha: "Diaspora anayejua kupigania bendera ya Tanzania na manufaa ya Watanzania kwa vitendo namzungumzia @johnjackson_jj amemfikia mwanamziki mkubwa na maarufu nchini Marekani @djkhaled @johnjackson_jj...
  10. Fbn

    Msemaji wa Serikali unasimama na CCM au Serikali ya wananchi

    Mpaka sasa huwezi kuelewa huyu waziri wa nini, huyu ni mtumishi wa nini. Tokea siku ya Oktoba 29 imefikia polisi ndio anacheo kuliko JWTZ. Tuje kwa msemaji wa serikali yani sasa kawa msemaji wa CCM. Mambo anayozungumza ni kujibia CCM.
  11. Waufukweni

    Kwanini Msigwa roho inamuuma Wananchi kuchangia ToneTone ya CHADEMA, wakati CCM ilichangiwa Tsh. Bil 86.3 na hakusema chochote?

    Kama kuchangia chama cha siasa ni vibaya, basi iwe vibaya kwa vyama vyote. Lakini kama Agosti 12, 2025, CCM ilichangiwa hadi kufikia Tsh. Bilioni 86.3 pale Mlimani City na haikuonekana kuwa tatizo, leo kwa nini ndugu Gerson Msigwa unaona Wananchi wanaochangia 'ToneTone' ya CHADEMA ndiyo...
  12. britanicca

    Msemaji asiye na akili Gerson Msigwa kashatia Taifa aibu, Afeki jambo kumfurahisha Samia,DJ Khalid amshushua

    When it's the monkey's day to die, all trees become slippery" The disgraceful and boisterous spox of #Tanzania unabashedly posted a post alluding to a fake endorsement by DJ Khaled and a Visit Tanzania deal! But thankfully he didn’t get away with it! DJ Khaled’s agency publicly denied any...
  13. Idugunde

    Gerson Msigwa na wenzako. Kuweni makini mnaweza kufa kwa kihoro

    Hakuna chama kinachoungwa mkono zaidi ya Chadema kwa sasa.👇
  14. Manyanza

    Gerson Msigwa: Nasikitishwa na vijana wanaoichangia CHADEMA

    "Ninasikitishwa na tabia ya watu kuchangia mtu ili aweke hiyo hela atumie badala ya kuwaambia vijana wafanye biashara wapate hela waweke kwenye mifuko yao lakini wao wanachukua wanazitumia sasa kijana uamuzi ni wako ukachangie mtu ambae hatakusaidia au uje sokoni uzungushe hela upate faida"...
  15. Waufukweni

    Msigwa: Inasikitisha sana, yaani wanahamasisha Vijana watoe pesa walizonazo wawapatie pesa wao waweke mifukoni mwao

    Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa amesema badala ya baadhi ya watu kuwahamasisha vijana kujihusisha na shughuli za uzalishaji na ujasiriamali, wamekuwa wakiwahamasisha kutoa fedha walizonazo kwa maslahi ya watu wengine. “Inasikitisha sana, yaani wanahamasisha Vijana watoe pesa walizonazo...
  16. Waufukweni

    Msigwa: Zaidi ya Tsh. Bilioni 19 zimetumika kukarabati Uwanja wa Uhuru

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa ukarabati wa Uwanja wa Uhuru umefikia zaidi ya asilimia 98 na hivi karibuni utakuwa tayari kwa ajili ya matumizi ya vilabu vya Simba na Yanga kuelekea Simba Day na Yanga Day. Msigwa ameeleza kuwa uwanja huo umetengenezwa kwa viwango vya...
  17. Frank Wanjiru

    Wafanyabiashara Machinga Complex Dodoma wamuhoji Gerson Msigwa pesa zipo wapi wateja hakuna

    Habari hii inaonyesha changamoto inayowakabili baadhi ya wafanyabiashara katika Soko la Machinga Complex Dodoma, ambapo wanadai kuwa biashara zimepungua kutokana na ukosefu wa wateja na mzunguko mdogo wa fedha. Kwa mujibu wa mfanyabiashara aliyetoa malalamiko hayo mbele ya Msemaji Mkuu wa...
  18. M

    Martin Masese: Gerson Msigwa atueleze kwanini anatumia chaneli za mabebru kutazama kombe la dunia na kutuachia TBC1 yenye ubora duni

    GIRISHONI kanichapa BLOCK usiku wa manane, baada ya kumtaka atupe ufafanuzi wa kwanini anatumia chaneli za MABEBERU kuangalia WEDIKAPU wakati TBC UKWEL na UHAKIKA ipo lele-lele. Anamuachia nani ‘kwaliti’ mbovu ya TBC. Uzalendo nje, ndani kwake aaah!🤣
  19. R

    Gerson Msigwa: Upuuzi uliopangwa wa 7/7 umeshindwa kwa jina la Yesu. Tujielekeze kwenye mambo ya msingi

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amewapongeza Watanzania kwa kuendelea kulinda amani, utulivu na mshikamano wa nchi huku wakipuuza wito wa baadhi ya watu wanaochochea vitendo vya kuwapeleka wananchi barabarani badala ya kujikita katika shughuli za uzalishaji na kukuza uchumi...
  20. The Burning Spear

    Kama grid ilitoka katika mazingira ya kawaida tume imeundwa ya nini Gerson Msigwa aache uongo

    Guys Hivi Gerson Msigwa anatuoanaje watanzania. yaani anapenda kutupanga sana pia huja na fix za kikuda. Kama grid kutoka ni swala la kawaida Tanesco wanaunda tume ya nini. huyu jamaa kashakuwa chawa mwongo muongo Usije ukamwamini msigwa kwa lolote lile maana ameshiba na amejaa dharau.
Back
Top Bottom