gerson msigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Serikali inavyokwenda kumaliza changamoto ya maji Dar kwa Mradi wa Maji- Kidunda

    *SERIKALI YA RAIS SAMIA INAVYOKWENDA KUMALIZA CHANGAMOTO YA MAJI DAR KWA MRADI WA BWAWA LA MAJI- KIDUNDA. Na Bwanku Bwanku. Leo kwenye Gazeti lako pendwa la Tanzania Leo ukurasa wa 14 nimechambua Mradi mkubwa wa maji wa Bwawa la Kidunda unavyokwenda kumaliza changamoto ya maji Jijini Dar es...
  2. J

    MV MWANZA " Hapa Kazi Tu" yashushwa Majini, ni furaha kuu Jijini Mwanza!

    Tukio liko mubashara TBC Watu ni Wengi sana sana kwa kweli hii ni Baraka Wafuasi wa vyama wakiwa Ndani ya sare zao nao wapo CCM, Chadema na ACT Wazalendo Mungu ni Mwema wakati Wote
  3. Gerson Msigwa kubali makosa. Tulipaswa kuwa na Aerial Cranes hata nne. Mnanunua mashangingi mnasahau vifaa vya kuokolea kwenye majanga

    Unapiga porojo kuwa tuna helikopta za usaifiri tu. Kwani nini msiwe na kunyanyulia mizigo? Pesa zipo lakini mnaelekeza kwenye mashangingi na ufisadi tu. Kama tungekuwa na aerial cranes hata nne. Moja kanda ya ziwa, nyingine kusini, kaskazini na pwani ndungu zetu tungewaokoa.
  4. Swali: Gerson Msigwa wa Hayati Magufuli ndiyo huyuhuyu wa Rais Samia?

    Wanajamvi. Kuna kitu sikielewi au hakipo Sawa. Hivi huyu Gerson Msigwa Msemaji wa Serikali ndo yuleyule wa kipindi cha Magufuli?. Huyu jamaa hata kama ni unafiki au kulamba asali basi huyu kazidi. Amekuwa mtu wa hovyo sana, anaongea pumba mara zote. Siku hizi anaongea nonsense kabisa...
  5. Gerson Msigwa na Precision Air

    Msemaji wa Serikali - Kama cheo kinavyoonyesha uzito wake. Bora leo usingeisemea tu hii serikali ukalala au ukaenda zako Barra Beach kula prawns. Umeshindwa kujisikiliza mwenyewe kwanza chumbani kwenye kioo na kufanyia majaribio hiki ulichokisema kwa wananchi juu ya ajali kubwa kama hii na...
  6. Gerson Msigwa, helicopter zingesaidia hata evacuation na rescue, au helicopter zinaweza kupeperushia bendera ya Sensa tu

    We need mabadiliko makubwa sana yan hata tunayodhani tunahitaji basi tunahitaji zaidi haya . Nimejaribu kutafakari press ya Msigwa nimengundua tuna safari ndefu sana na hawa viongozi, Kuna haja gani ya maelezo? kama haya ndio maelezo ya Ikulu basi ni bora wangekaa kimya kungekuwa bora zaidi...
  7. Msigwa: Taasisi zote zinatakiwa kutoa taarifa kwa wananchi na kutoa ufafanuzi mbalimbali kwenye vyombo vya habari

    Na Grace Semfuko, MAELEZO Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Bw. Gerson Msigwa amewataka Viongozi wa Taasisi za Serikali Nchini, kutoa taarifa za mafanikio ya utendaji kazi wa taasisi hizo kwa Vyombo vya Habari, ili kuwaonesha Wananchi maendeleo yanayofanywa na...
  8. S

    Gerson Msigwa anavyotetea tozo ya serikali

    Hizi ni tweets zake kuhusiana na tozo zinazolalamkiwa:
  9. Matokeo ya Sensa na Vifo Vinavyozuilika Kwenye Jamii

    Na Kevin Lameck Nchi Wanachama wa Umoja wa Mataifa mwaka 2015 zilipitisha Ajenda ya 2030 ya Maendeleo Endelevu na Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs). Lengo la tatu la ajenda hiyo lililenga afya bora na ustawi. Tangu wakati huo, WHO imekuwa ikisaidia mipango ya nchi na kufuatilia maendeleo...
  10. AUGUST ni Mwezi wa SENSA! Mwezi wa kutambulika

    Baadae mwezi huu,Jumanne ya August 23 kutafanyika tukio kubwa, la kihistoria na lililobeba mustakabali wa maendeleo yetu. Baada ya miaka 10 kupita,Sensa ya watu na makazi ya mwaka huu itakuwa ya sita kufanyika nchini baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Sensa nyingine kulingana na...
  11. Sakata la nyongeza ya 23.3% ya mishahara ya watumishi wa umma: TUCTA na serikali wanajadiliana nini katika hatua hii?

    Msemaji wa serikali ndg Gerson Msigwa akitoa mrejesho wa kinachoitwa kikao cha serikali na TUCTA leo tarehe 26/7/2022 Lugha gongana. Msemaji wa serikali anasema hivi, TUCTA wanasema vile. Ni kama kuna kurushiana mpira. Gerson Msigwa anaongea kana kwamba TUCTA ndiyo mwajiri na mlipa mshahara...
  12. M

    SoC02 Bei ndogo shina moja la Mahindi hulipwa Tsh 60/= mifugo inapokula mazao fidia inayowatesa wakulima

    Ripoti ya wizara ya mifugo kwa mwaka 2019 inaonesha kwamba sekta ya mifugo inachangia 6.9% ya pato la taifa,na kwa upande wa taarifa ya wizara ya Kilimo ya mwaka 2020 inaonesha kwamba sekta ya Kilimo inatoa robo tatu ya mauzo ya nje ya bidhaa,inachangia 95% ya mahitaji ya chakula nchini,26.8% ya...
  13. Gerson Msigwa punguza utoto

    Mara anajipost anasonga ugali, Mara sijui yuko anapiga masarakasi, mara anapiga mamisamba. Naona anachokifanya compared na cheo chake ni utoto mtupu. Halafu naona kama toka atumbuliwe pale ikulu hajakaa sawa kisaikolojia.
  14. J

    Wamasai wapiga simu kwa fujo kwenye press ya Gerson Msigwa na kuzungumzia Loliondo

    Nilikuwa nasikiliza press ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ambapo kati ya mambo mengi akizungumzia suala la Lolindo na kusema kauli ya Waziri Mkuu ilikuwa sahihi. Sasa baada ya taarifa aliruhusu simu kutoka kwa waandishi na wananchi ambao wengi walikuwa ni Wamasai. Wamasai hao...
  15. Zuhura Yunus na Matangazo mabovu kutoka Ikulu Mawasiliano

    Nimekuwa mara kadhaa nikifutilia ukurasa wa Matangazo ya live (Youtube) ya Ikulu Mawasiliano. Tangu kipindi cha Msigwa na hata sasa kipindi cha Zuhura Yunus. Leo nimeona tatizo linaendelea sasa naomba nikiri wazi kuna mambo yanakwenda ovyo sana kwenye urushaji wa matangazo Youtube live kipindi...
  16. B

    Awamu ya 6 inavyochanga vyema karata kukabiliana na tatizo la ajira nchini kwa kutengeneza ajira milioni 8

    AWAMU YA 6 INAVYOCHANGA VYEMA KARATA KUKABILIANA NA TATIZO LA AJIRA NCHINI KWA KUTENGENEZA AJIRA MILIONI 8. Na Bwanku M Bwanku. Jana Alhamisi Mei 19, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua namna Serikali ya Rais Samia inavyokabiliana na tatizo la ajira nchini. Changamoto...
  17. B

    Alichofanya Rais Samia kwa wafanyakazi ni zaidi ya kuupiga mwingi

    ALICHOFANYA RAIS SAMIA KWA WAFANYAKAZI NI ZAIDI YA KUUPIGA MWINGI. Na Bwanku M Bwanku. Leo Jumatatu Mei 16, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua kiundani hatua ya Serikali ya Rais Samia kukata kiu iliyosubiliwa kwa hamu kubwa na Wafanyakazi kwa miaka 6 kwa kuongeza...
  18. B

    Rais Samia ni kinara wa maslahi ya wafanyakazi

    RAIS SAMIA NI KINARA WA MASLAHI YA WAFANYAKAZI. Na Bwanku M Bwanku. Jana Mei Mosi, Dunia iliadhimisha Siku ya Wafanyakazi na Nchi yetu ilifanya Maadhimisho haya Kitaifa Jijini Dodoma ambapo Rais Samia alikuwa Mgeni rasmi. Na Mimi Bwanku M Bwanku leo Jumatatu Mei 02, 2022 kwenye Gazeti la...
  19. M

    Hivi Gerson Msigwa yupo sawa? Baba wa Rihanna akistaafu atakuja kuishi Zanzibar itasaidia nini Watanzania?

    Msikilize hapa huyu Mkuu wa kitengo cha Maelezo. Anajitambua kweli? 👇
  20. B

    Dondoo muhimu 10 kuelekea uzinduzi wa filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania ya Royal Tour

    DONDOO MUHIMU 10 KUELEKEA UZINDUZI WA FILAMU YA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA YA ROYAL TOUR USIKU HUU. Na Bwanku M Bwanku. Usiku wa Leo Jumatatu Aprili 18, 2022 kuanzia Majira ya Saa 8 na nusu Usiku kwa Saa za Afrika Mashariki, Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan itaweka historia kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…