gari

  1. L

    Kama ni mkazi wa Arusha na taa za gari yako zina ukungu au zimefubaa karibu tukung'arishie kwa bei nafuu

    Hii ni kwa wale walioko Arusha Mjini, na taa za magari yao zina ukungu au zimepauka. Tunang'arisha taa hizo kwa kutumia kifaa maalum na kuzirudishia mng'ao wake kwa gharama nafuu kabisa. Tupigie kwa simu namba 0621 846107 (call/WhatsApp). Huna haja ya kutembelea taa isiyomulika vizuri kwa...
  2. Hivi ni kweli Colgate inafuta mikwaruzo katika body ya gari ?

    Wadau kwemaa! Katika pita pita zangu youtube nimekutana na videoz zinaonyesha uwezo wa colgate kufuta mikwaruzo katika body ya gari Nikaona nilete hapa JF ilikujua kama je ni kweli ichi kitu kipo applicable?
  3. Napendekeza stika za Wiki ya Nenda kwa Usalama zilipiwe kwenye bima, ukikata bima ukague na gari kabisa na vyote ulipie kwa mara moja

    Wiki hii kumeanza tena ule usumbufu wa kijinga na wa kila mwaka wa kusimamisha watu barabarani ili kuwakagua sticker za wiki ya nenda kwa usalama barabarani. Sasa kama ilivyo kawaida yetu hapa jukwaani, pakitokea kero basi tunatoa mawazo walau ya kuondoa au kupunguza kero hiyo. Sasa basi...
  4. E

    Kufanikisha kutengeneza gari, Kipanya ni shujaa

    Kitendo alichokifanya Masoud Kipanya ni cha kishujaa na kinastahili kupewa pongezi. Tunahitaji vijana wengi kuiga alichokifanya kipanya katika bidhaa mbalimbali zinazozalishwa huko ulimwenguni, wabuni kwa brand zao na kutengeneza. Labda nimshauri Kipanya kuwa gari lake asiliweke makumbusho...
  5. Hongera Masoud Kipanya ila tunaomba ufafanuzi kidogo kuhusu hii gari yako

    Nikupongeze kwa hatua hii ya kuzindua gari uliyoitengeneza wewe mwenyewe kama ulivyotuaminisha ila naomba basi utusaidie yafuatayo ili utuvutie zaidi kuweza kununua gari yako 1. Je, ukichaji gari ikajaa unaweza kutembea kwa umbali wa kilomita ngapi? 2. Je, vipuri vya gari vikiharibika...
  6. Gharama halisi za kutoa gari bandarini, 2022

    Habari wakuu, Baada ya kupitia threads kadhaa zilizojaribu kuonyesha gharama halisi za kutoa gari bandarini, nimepata 'mawili-matatu' lakini bado kuna vitu vinanitatiza. Mchangiaji wa kwanza ameorodhesha; Shipping lines=150,000 Wharfage =115,000 Port charges =250,000 Plate number =30,000...
  7. INAUZWA Pikipiki, Toys na Baiskeli za Watoto zinauzwa

    Nauza piki piki ya watoto Electric quadbike 4×4 Inatumia betri ya kuchaji na umeme,(12v) Music system (USB,memory card,aux,children songs and tales) Inafaa watoto wenye umri miaka 3-10 Price 400,000/= Kama unahitaji tuwasiliane 0764108259 Tunafanya delivery popote
  8. Mbunge wa Masasi Mjini Geofrey Mwambe anusurika kifo akiwa na familia yake. Gari alilokuwa akisafiria lateketea kwa moto

    Mbunge wa jimbo la Masasi Mjini, Geofrey Mwambe na familia yake wamenusurika kifo baada ya gari binafsi waliyokuwa wakisafiria kushika moto na kuteketea kabisa leo Machi 27, 2022. Mbunge huyo na familia yake walikuwa wakielekea Masasi kwenye msiba wa baba yake mzazi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  9. Siku Baba Moi aliomba lift gari ya mchanga

    Baada ya msafara wake kukwama kwenye tope baba Moi na mawaziri wake walipanda tipper kuendelea na safari.
  10. S

    Nina tatizo la Gari Kutetemeka na Kuzima

    Kwema Wakuu, Za Weekend? Gari yangu nilibadilisha Gasket last week, Sasa toka hapo imekua inatetemeka napokua nimesimama kwenye Mataa labda. Pia asubuhi nikiiwasha inawaka na kuzima. Mpaka nirudie rudie mara kadhaa ndio mwishoni litakubali. Yaan nikiwasha linatetemeka na nikitia Gia labda ndo...
  11. Kuhusu gari aina ya Nissan Dualis

    Ndugu wanaJamiiiForums, habari za wakati huu Naomba mwenye kujua kuhusu gari aina ya Nissan Dualis kuanzia matumizi ya mafuta, upatikanaji wa Spare na changamoto zingine. Na vipi kununua used kwa mtu maana nyingi zinauzwa sana mtaani. Je, zinakuwa kuna changamoto inayopelekea hizi gari kuuzwa...
  12. Staa wa Bongo Muvi, Pastor Myamba apata ajali ya gari

    Emmanuel Myamba almaarufu Pastor Myamba; ni staa mkongwe wa Bongo Movies ambaye alikuwa muigizaji mwenza katika filamu nyingi za marehemu Steven Kanumba. Pastor Myamba amedhibitisha kupata ajali mbaya wikiendi iliyopita ila wakapona bila majeraha mabaya. Pastor Myamba ambaye wengi wanamfahamu...
  13. Car4Sale Gari inauzwa

    Gari imenyoka haina tatizo lolote. Bei Milioni 4 Lilipo dar es salaam. Call 0742141467 au 0686648630
  14. Je hili ni tatizo kwa injini ya gari yangu?

    Habari za weekend wakubwa,,,moja kwa moja niende ktk mada hapo juu Mimi ni mgeni kidogo ktk kumiliki vyombo vya moto yaani gari,kwa hiyo ningeomba kujuzwa juu ya hali ninayoiona kila siku asubuhi pindi ninapowasha hiyo gari Natumia gari aina ya chaser GX100 ila kila siku asubuhi nikiwasha gari...
  15. Namna nilivyonusurika kufa kwenye ajali ya gari, Bongo unakufa huku unajiona

    Kwema wadau? Mwaka huu mwanzoni nikiwa nimetoka kusheherekea sikukuu ya mwaka mpya na nikiwa nimefanya maombi ya mipango yangu mingi kwa mwaka huu na kumsihi sana Mungu wangu aliye hai anijalie afya, uhai, furaha na amani tu mengine nayaweza hayanisumbui kabisa, basi sikuwa najua siku chache...
  16. Tatizo la engine kumisi ukikanyaga accelerator kwenye baadhi ya gari za Toyota

    Hii kitu nimekutana nayo sana kwenye familia tatu za engine za toyota NZ engines[1NZ-FE, 2NZ-FE] AZ engines[1AZ, 2AZ] na ZZ engines [1ZZ sanasana] Sitotaja gari zinazotumia hizo engine sababu hata nikianza kuzitaja ni nyingi sitamaliza, lakini huenda zaidi ya 50% ya gari ndogo ambazo watu...
  17. Tupeane uzoefu: Siku yako ya kwanza kununua gari ilikuwaje?

    Wana jf ushamba mzigo mwenzenu Msukuma Mimi wa Maganzo siku ya kwanza kununua gari langu binafsi nlikuwa nachungulia nje kila wakati Yani usingizi hauji naangalia crown yangu(ndege ya ardhini). Mtaani misele walikoma nlipita mitaa ya ma x zangu wote sinza, keko,buguruni kwamnyamani hadi...
  18. Nataka kubadili Tairi kwenye gari la Toyota IST Size 195/60R16 kwenda size kubwa inayofaa

    Wakuu nina Toyota IST nataka nibadilishe tairi kitoka 195/60R16 kwenda kwenye size kubwa kidogo ambayo itafiti kwenye gari. Nimeona baadhi ya IST wameweka tairi ya size tofauti na zinazokuja nazo zinapendeza sana. Ni size gani itafaa? Sitaki tairi za Kichina.
  19. Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

    Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu. "Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha. "Haina shida." Nikajibu. "Mbona huna kinywaji au chochote? Agiza chochote. Usikae kinyonge hivyo" Aliuliza. Nikamjibu...
  20. A

    Kuzindika gari

    Samahani wanaJF mimi nataka kujua kama kuna haja yoyote ya kuzindika gari ukilinunua? Na je unaweza kuwa unapata ajali mara kwa mara kama hujafanya hvyoo kwenye gari lako? Maana nasikiaga watu wanaongea ongea kuwa barabara ina malue lue mengi kwa hiyo unatakiwa kuzindika vyombo vya moto
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…