gari

  1. Gari ya kukodi inahitajika

    Habari zenu wakuu, Nahitaji kukodi gari zifuatazo, kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale ndani ya jiji la Dar es Salaam. Yoyote mwenye moja kati ya hizi gari au zote kwa pamoja naomba aipost gari hapa tujadili au anicheki kupitia +255627315218 niione gari, kisha tuanze jadili gharama na...
  2. Gari linanitesa

    Habarini humu wanajf, kuna kipindi niliwahi kuomba ushauri humu kuhusu kununua gari kisa tu wenzangu wote hapa home wana magari yao nakuwa kama mnyonge. Sasa nikajichanga nikanunua gari kwa mtu kama milioni sita hivi IST number D, toka ninunue hili gari kila mwezi lazima initoke kuanzia laki...
  3. Gharama za usajili wa gari aina ya townace kutoka Japan

    Habarini za majukumu ndugu zangu wa Jf. Bila kupoteza muda twende kwenye maada moja kwa moja.. Nina mpango wa kuagiza gari aina ya townace kwa ajili ya biashara nilikuwa naomba kujua kuhusu gharama za usajili ikifika hapa Tanzania mpaka iweze kuingia barabarani inaweza gharimu kiasi gani...
  4. L

    Nina Gari lenye Friji, natafuta kazi

    Kuna gari nnayo hapa sasa natafuta tenda za nyama au kubeba mboga mboga au vitu ambavyo vinahitaji friji na tenda iwe ya Kila siku au mwezi au hata alie na Connection ya kazi hizo tunaweza kuwa wote kwenye gari hyo
  5. Gari za Toyota na kuishiwa mafuta barabarani

    Kwa miaka yangu mingi barabarani.. Gari zinazoongoza kuishiwa na mafuta njiani ni Toyota hasa hasa hizi wanasema zinanusa tuu mafuta.. Yaani mafuta yanaisha yote mpaka tank inanukia kutu.. Pump inashindwa kunusa inakata.. Gari inanusa tuu mafuta ila bado dereva anatembea na kidumu..taa ya low...
  6. Je unauza au kukodisha Gari na umekosa wateja Tumia njia hii ni bure

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza watu wengi sana wamekua wakipata ugumu Hasa linapokuja swala zima la kutafuta mnunuzi au mtu anayetaka kukodisha gari yake. sasa leo Nitakufahamisha njia rahisi sana ambayo haihitaji gharama yoyote ile. sio kwamba hakuna wateja lahasha bali unakosa mbinu...
  7. P

    Kwa nini tunaagiza magari kwa zaidi ya M300 na kisha kuyauza kwa M5 tena ndani ya mwaka?

    Tusiwe wanafiki, Elimu zetu mmiliki wake huwenda ni shetani! Na Kwa bahati mbaya shetani hana mazoea na watu eti waishi vizuri na Kwa raha! Serikali zetu endapo watu wake wangelikuwa na nia ya kuzitoa nchi zetu kwenye Lindi la umasikini wa watu wao! Basi kusingelikuwepo na matumizi makubwa...
  8. Kwa gari hii niliyonunua jinsi watu wanavyonipa heshima, sasa sijui ingekuaje ningenunua BIMA!

    Umasikini ni kitu hatari Sana yaani nimenunua gari ya-kawaida lakini huku mtaani watu wananipa heshima kubwa Sana. Hii Chuma ni normal kwa kijana yoyote Mpambanaji asiyeendekeza Ngono na Pombe anaweza nunua tu. Sasa Kama mnashangaa hivi je ningenunua BIMA ingekuaje? Watoto wa kike mtapewa...
  9. Kwa Tanzania kama pesa yako ni ya kuunga unga, usinunue gari zaidi ya Toyota, hii itakuhakikishia a good resale value

    Kwa Tanzania kama uchumi wako sio wa walamba asali, wala keki ya taifa usinunue brand nyingine ya gari zaidi ya Toyota. Kununua Toyota ni kujihakikishia uwepo wa wateja na pia kupata thamani nzuri ya gari yako pale utakapoamua kuiuza. Kuna watu wapumbavu huwa wanauliza eti kwani unanunua gari...
  10. Tambua namna ya kujua uhalali wa mileage ya gari unalonunua Yard au kwa mtu

    Wakuu Habari, Leo nimeona nielezee kidogo kwa namna gani unaweza kujua uhalali wa kilometer zinazosoma kwenye gari unalotaka kununua either mkononi kwa mtu ama yard. Hii njia haitaweza kuapply kwa magari yote kwa sababu mbali mbali ikiwemo kwamba kipindi fulani hapa nyuma magari yalikuwa...
  11. Gari lililotumiwa na watu wengi halifai kwa matumizi

    Gari lililopata kumilikiwa na watu wengi si zuri kwa matumizi, maana kila utakapopita nalo, basi ni lazima tuu utakutana na watu wanaojitapa kulijua vizuri kwa sababu walipata kulitumia. Wapo watakaoelezea namna walivyokuwa wakiliburuza kwa mwendokasi, wengine wakijinasifu kwa mitindo...
  12. T

    Napata gari gani hapa mjini kwa bei ya mil 10 - 13?

    Kwa hii hela mil 10 - 13, naweza kupata gari gani hapa mjini, hasa Toyota, ya kuzunguka Dar, mkoani kwenda mara 2 kwa mwaka? Ya mwaka gani? Niagize au niende showroom? Showroom ipi haina uhuni, mfano kuuziwa gari chakavu! Vigezo: 1. Sipendi saloon cars.
  13. Toyota imetajwa kuwa gari zinazoaminika zaidi nchini Marekani ikifuatiwa na BMW, Benz ni gari isiyoaminika kabisa

    American consumer reports inasema Toyota ni gari zinazoaminika zaidi nchini Marekani zikifuatiwa na BMW. Mazda, Honda na Audi. Magari ya Kimarekani kama Ford, Tesla nk ni magari yasiyoaminika kabisa nchini Marekani.
  14. VIDEO: Dereva wa Mwendokasi agoma kuendesha bus akidai katukanwa

  15. Utajuaje Brake Pads za gari yako zimeisha?

    Kuna madereva huwa wao wakishaweka D ndo nitolee mwendo mdundo, unakuta Brake pads zinaisha hajui zinakula disc mpaka inakua nyembamba utafikiri CD. . Sasa Basi nimekuandalia Tips rahisi kwa ufupi kabisa zitakazokusaidia kujua Brake Pads zimeisha na utazijua ndani ya sekunde 60 tu, Kwanza Taa ya...
  16. Ufafanuzi: Nafuu ya kodi unapoagiza/kununua gari za Afrika Kusini

    Habari wakuu. Naomba kutoa angalizo ama ufafanuzi kidogo kuhusu nafuu ya kodi pale utakapoagiza gari zilizotengwa South Afrika. Nimeona mijadala mingi humu watu wakisema kuna unafuu mkubwa wa kodi ukiagiza gari South Afrika kuliko Japan. Hilo jambo linaweza kua sahihi ama linaweza kua na...
  17. Gari ndogo inahitajika

    Habarini wakubwa kwa wadogo, natafuta gari ndogo ata ikiwa namba A iwe ni corolla, carina n.k nitakayoweza kuingia mkataba kwa malipo ya awamu ili iwe naifanyia kazi, kwa mawasiliano zaidi 0688066177 ahsanteni.
  18. Usiamini kila unachokiona mtandaoni, Zamaradi hajanunuliwa gari na Mume wake

    Range ya Zamaradi Ilivyopatikana. Issue iko hivi Zamaradi alinunuaga nyumba kipindi yupo na Ruge, Ruge alimsaidia kununua hiyo nyumba. Then akanunua kiwanja mwenyewe kipindi yupo na Ruge, baada ya kuwa na Shabani wakaanza kujenga nyumba kwenye hiko kiwanja, ndiyo hiyo nyumba wanayoishi. Sasa...
  19. A

    Rav4 massawe used

    Habari zenu wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada nahitaji hiyo gari budget yangu ni mil 7,asanteni
  20. Gari imekosa mwelekeo, abiria wanatoa macho kuangalia inapokwenda kuangukia

    Wakati unakuja watanzania wataishiwa uvumilivu kwa kuona Mali zao na nchi yao ikiuzwa pasina wao wenyewe kuridhia. Ni kama kufumba na kufumbua maji hayapatikani tena wakati ilo jambo lilishasahaulika, umeme siyo wa uhakika tena sasa watanzania hawajui mwekezaji gani atakuja kuwekeza kwenye nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…