gari

  1. Huyu Mkurugenzi aliyegoma kununua gari la Milioni 186 na kuamua kuwanunulia watendaji pikipiki 19 atuambie Chenji amepeleka wapi?

    Wakuu, Mimi sikuwa mzuri wa somo la hisabati wakati nasoma, pengine mnaweza mkaja na calculator tuje tupige hesabu. Wakati naperuzi huko mitandaoni nimekutana na clip hii ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji Ifakara, Zahara Michuzi Katika hali isiyoezeleka Mkurugenzi huyu amekataa...
  2. Car experts, hii ni gari aina gani na tolel la mwaka gani?

  3. B

    Kubeba majeruhi kwenye gari za wazi (Pickup) badala ya gari za wagonjwa (ambulance) kwenye tukio la kuanguka ghorofa K/Koo ni sahihi?

    Majeruhi karibu wote waliokolewa wapatao 40 mpaka sasa kwenye tukio la kuanguka kwa ghorofa mitaa ya Kariakoo jijini Darisalama wamepelekwa hospitali ya Muhimbili wakiwa wamepakiwa kwenye gari za wazi nyuma maarufu kama Pick Up badala ya gari maalum za wagonjwa ambulance Sasa najiuliza Kariakoo...
  4. RC Albert Chalamila: Gari lililobeba mitambo maalum liko njiani kwa ajili ya Uokoaji Kariakoo

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema tayari gari maalum lililobeba greda na mitambo mingine linakaribia kufika Kariakoo kwa ajili ya kusaidia uokoaji wa Watu waliofukiwa na kifusi baada ya ghorofa kuporomoka ambapo amewataka Watanzania kutolaumiana kwa sasa bali kuweka nguvu...
  5. Billnass amzawadi Nandy gari ya ndoto yake, amwandikia ujumbe mzito mumewe

    Wakuu Billnass amemzawadi Nandy gari ya ndoto yake, aina ya Defender new Model ya mwaka 2023 Gari hili linaifanya kuwa la nane (8) Kwenye parking ya magari yao Nandy amemwandikia haya mumewe kumshukuru kwa zawadi
  6. G

    CCTV video: Wizi wa vitu ndani ya magari, usijenge mazoea ya kuacha vitu ghali kwenye gari,

    kukumbushana sio mbaya, tahadhari muhimu kuliko kusubiri yakukute Muda mwngi katumia kusubiri watu wapite, 2:00 kapiga tukio
  7. S

    Mguu wa gari kuvuma sana wakati wa mwendo

    wakuu gari yangu mguu mmoja wa kilia unavuma sana mpaka nakosa raha ya kusikiliza mziki tatizo itakuwa Nini nijue kabla ya kwenda Kwa fundi maiko
  8. HONG KONG: Mzee wa miaka 62 aua Watu 35 na kujeruhiwa 43 kwa kugonga na gari baada ya kutoridhika na maamuzi ya talaka

    Watu 35 wamefariki na wengine 43 kujeruhiwa baada ya dereva aliyejaa hasira kutokana na kutoridhika na makubaliano ya talaka ya mgawanyo wa mali kuendesha gari lake kwa makusudi kwenye kundi la watu waliokuwa wakifanya mazoezi katika kituo cha michezo cha Zhuhai, mji mmoja wa China. Tukio hili...
  9. Video: Hili ndilo Gari alilopewa Eliud Samwel na Pastor Tony Kapola, Tazama Vibe lake

    Mchekeshaji Eliud Samwel ameonesha gari alilozawadiwa na Pastor Tony Kapola baada ya kukabidhiwa na Mke wa Mchungaji kama alivyoahidiwa. Pia, Soma: PICHA: Paul Makonda akiombewa na Pastor Tony Kapola
  10. R

    MKE: Naomba uninunulie gari, usiponinunulia siku nikija na gari naomba usiniulize nimepata wapi?

    Habari wanajimii forum. Hii ishu aliipata rafiki yangu mmoja hivi ni ishu ya kweli kabisa. Jamaa anandoka ya miaka zaidi ya 9 na wamefanikiwa kuwa na watoto. Kusema ukweli mke wake ni mrembo haswa Tena haswa kweli kweli. Anafanya kazi kwenye shirika Moja hapa DSM. Mume wake anagari ambalo...
  11. Tetesi: Nasikia Azizi Ki baada ya kufanyiwa sub alipanda gari na kuondoka hata kabla mechi haijaisha

    Hii inatoka kwa rafiki yangu mmoja shabiki wa Yanga lia lia ambae ameumizwa sana na matokeo ya leo utafikiri yeye ndio Injinia Hersi Said. (Anaepaswa kuumia ni Injinia Hersi sio wewe ambae hata Yanga hawakujui wala hunufaiki chochote na Yanga) Jamaa anasema Aziz Ki mara baada ya kufanyiwa...
  12. Wataalam wa magari nisaidieni, hii ni gari aina gani?

  13. Developing Story: Magomeni, Gari Toyota Landcruiser Hard Top No. DFP 8106 Yagonga na Kuua Mwanamke. Gari yadakwa, Dereva Asepeshwa na Polisi!

    Wanabodi This is a developing story Yaani story muendelezo Jana jioni katika eneo la Magomeni Usalama, Gari Toyota Landcruiser Hard Top No. DFP 8106 Yagonga mtu na kumua kwa ajali, mwanamke mmoja. Mwanzo gari na dereva wake walidakwa na kuhifadhiwa kituo cha polisi cha Magomeni Polisi. Leo...
  14. Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Msumbiji(SISE) Bernardo Lidimba afariki kwa ajali ya gari

    Kifo cha ghafla cha Bernardo Lidimba, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa ya Msumbiji (SISE), katika ajali ya gari iliyotokea jana kimetikisa sekta ya kisiasa na kiusalama ya nchi. Tukio hili la kusikitisha limetokea wakati kuna maandamano makubwa yanayoendelea kufuatia matokeo ya...
  15. Maswala ya fundi kunambia leta Gari tuone ndipo nikupe gharama inakwaza

    Biashara za Mtandaoni bhana zina Changamoto sana, tunajitahidi mno kuendana na Wakati lakini wafanya biashara wengi hawajui kwanini wanafanya biashara na ipi ni namna nzuri ya kufanya biashara na kuvuta wateja. Unakuta unashida ya Kubadilisha taa ya Nyuma, au unataka Plug za Ignition...
  16. Polisi waingia nyumbani kwa Nabii GeorDavie,wakabidhiwa gari ya Million 30 aliyoitengeneza

    Nabii Mkuu Dkt GeorDavie amekabidhi gari moja la mkuu wa kituo cha polisi Tengeru kati ya mawili anayoyatengeneza kwa jeshi la polisi Mkoani Arusha kwa lengo la kupambana na uhalifu nakuimarisha ulinzi huku akitarajia kujenga kituo cha polisi Moivo katika kata ya Sekei Mkoani Arusha Afisa...
  17. Polisi waingia nyumbani kwa Nabii GeorDavie,wakabidhiwa gari ya Million 30 aliyoitengeneza

    Nabii Mkuu Dkt GeorDavie amekabidhi gari moja la mkuu wa kituo cha polisi Tengeru kati ya mawili anayoyatengeneza kwa jeshi la polisi Mkoani Arusha kwa lengo la kupambana na uhalifu nakuimarisha ulinzi huku akitarajia kujenga kituo cha polisi Moivo katika kata ya Sekei Mkoani Arusha Afisa...
  18. Vipi kuhusu ufanisi na uimara wa Nissan X-trail (Hybrid)

    Wataalamu, Kuna hizi gari NISSAN XTRAIL-HYBRID zimeongezeka sana hapa mjini. ni gari SUV nzuri sana kwa kuzitazama lakini vipi kuhusu ufanisi na uimara wake ukilinganisha na SUV zingine?
  19. Gari dogo la kukodi mkoani Kagera na mwanamke wa kupiga naye story za kimkakati

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu ,salamu haikuongezei thamani . Mwenzenu nipo mkoani Kagera specifically katika mji wa Bukoba mjini ,popote mlipo mnaojua mnakodisha magari madogo kwaajili ya kufanya michakato yangu ,tafadhali naomba mnitafute PM ,kwa kuandika namba yenu Kama kichwa Cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…