gari

  1. Kama umejipata ni Bora Kununua kiwanja kuliko kununua gari la pili au la tatu.

    Habari wakuu. Mkuu uliyejipata ni Bora ununue hiki kiwanja ili badae uuze Bei ya juu kuliko Kununua Gari lingine alafu badae uje uuze Bei ya kutuma. Gari kila baada ya Muda linashuka Bei na likipata ajali ndio kabisa. Lakini kiwanja kila baada ya Muda kinapanda Bei. Hivyo basi nakupa hiki...
  2. Spare Part ya "Bei Rahisi" Iliyogeuka Janga

    Jamaa mmoja huko Temeke, Juma, alinunua alternator ya Toyota Corolla yake kwa bei rahisi tu kutoka duka la autoparts Kariakoo. Alifikiri amepata kwa bei nafuu, lakini baada ya siku mbili, gari lake likaanza kutoa moshi barabarani! Fundi akagundua alternator hiyo ilikuwa ya bandia, na ilikuwa...
  3. M

    Mada maalumu ya magari, ufundi, garage, spareparts na kufahamu aina ya magari na huduma zake

    Habari za leo wadau wa JamiiForums! Kama unamiliki gari na unahitaji huduma bora, salama na za kuaminika, basi JERRY SPARE PARTS AND SERVICES ni sehemu sahihi kwako. Tunajivunia kutoa huduma bora zinazojumuisha uuzaji wa spea parts za magari, matengenezo ya magari katika garage yetu ya kisasa...
  4. Hili gari namba A mbona kama ni model mpya?

    Hili gari namba A ni kama linanipa mashaka, wataalam ipoje hii?
  5. M

    Nahitaji gari, IST

    Habari za usiku huu. Samahani waungwana, nahitaji ist no d iwe haijarudiwa rangi, iwe kwenye hali nzuri kabisa na isiwe na shida yoyote. Offer yangu ni 8.5m napatikana dar.
  6. Car4Sale Gari Daihatsu Terios Kid inauzwa

    Ipo Dar es Salaam, bei 7M(Negotiable), Namba D, km 135649. CC 625. Kama unahitaji nicheki 0624987746
  7. Kifaa hiki kina kazi gani kwenye gari?

    Hiki kioo kidogo upande wa mbele kushoto wa gari kina kazi gani kwenye wakuu?
  8. M

    Nauza Gari used na container

    Habari.. unahitaji kununua gari used au mpya chassis no na hujui utapata wapi kwa Bei nzur? Gari ninazouza bado ziko vzr mpya na zmetunzwa vzr.Je unahitaji container za 20ft na 40ft zenye VAT na bila VAT? karibu nikuhudumie +255764423726
  9. N

    Natafuta fundi wa Gari - Forester

    Anatafutwa Fundi wa Forester ili asaidie katika kuondoa changamoto hizi mbili:- i. Gari linawaka AC ikifika muda AC inakata ila baadaye inaanza tena. Nadhani hapa kuna error ambayo mwenye diagnostic Kit anaweza saidia ii. Gari lina camera ila uki - reverse Dashboard hai respond. Nitashukuru kwa...
  10. S

    Natafuta gari ya hesabu ( bolt na uber )

    natafuta gari ya hesabu ( bolt n uber ) na uzoefu wa miaka mi tatu na vigezo vyote na leseni no zangu ni 0699448532
  11. Kwa kipato cha changu cha elf 50 kwa wiki unashauri ninunue gari gani

    Habari nipeni ushauri wakuu
  12. Unamnunulia demu gari ila anaenda kulala na mwana aliemsaidia kuziba pancha road. Hivi hakika ni kipi warembo wetu hawa wanachokitaka haswa?

    Wanatia huruma ya kuhudumiwa, lakini katika upokeaji wao hawaji na appreciation ilio genuine, appreciation yoa inatoka mdomoni lakini haionganishi doti akilini mwao kuwa wanapaswa wakupe heshima kuu sio tu ukiwepo hata usipokuwepo kwa kuwa umemfanyia kitu kama vile baba yake angekuwa na uwezo...
  13. Nilipishana na msafara mzito wa gari za KM (Kikosi Maalum cha Magereza) hapa Banana, pengine ndio Lissu anapelekwa Ukonga?

    Nilipishana na msafara wa magari yaliyowashwa taa na double hazard huku kukiwa na lundo la askari wa KM wakiwa na silaha za kivita. Je ndio Lissu alikuwa anahamishiwa Gereza la Ukonga?
  14. Wale jamaa wa "Tafuta hela wewe, V8 sio gari ya Serikali"

    Ndugu wa damu tunaofanania katika tabu na u-VETA, ila tukiingia jf ghafla tunageuka kuwa mabosi 🤣 Anyway, Maisha yaendelee.
  15. Gari ya Henry Ford

    Henry Ford alitengeneza gari kutoka kwenye mchanganyiko wa plastiki na katani ambayo ilitumia mafuta ya katani karibu karne moja iliyopita. Ford's 1941 bioplastic Model T ilitengenezwa kwa kutumui katani, kitani, ngano, na spruce massa, ambayo ilifanya gari nyepesi kuliko fiberglass lakini imara...
  16. R

    Kwanini gari za Serikali yakiwamo ma V8, hayakatiwi Bima?

    Hello! Yaani gari inanunuliwa Hadi 600 ml kwa Kodi za wananchi maskini, lakini haikatiwi Bima kubwa, Kuna mtu anayejua sababu ni Nini hasa? Au ni vile vya umma havina mwenyewe? RIP mkurunzi Tannesco! Karibuni 🙏
  17. Picha: Je madereva mngeweza kuendesha hili gari na ingewachukua muda gani kulizoea?

  18. Naomba munieleweshe kuhusu usajili wa gari Dar es Salaam

    Habari zenu naomba kuuliza ukitoa gari znz kupeleka dar ikifika hatua hadi unatumiwa controll number ukalipie usajili je baada ya hapo unalipa tena pesa kwa ajili ya kadi ya gari na plate number?
  19. Kuna aina za gari haipendezi kumilikiwa na mwanaume

    Unakuta mwanaume anamiliki vits sijui passo 😅kiukweli aina hii ya magari kwa mwanaume hapana bora hata umiliki pikipiki aiseee
  20. Kwa nini LAND CRUISER 300 ZX nyeusi?

    Natamani kufahamu utofauti wa LC 300 ZX nyeusi dhidi ya LC 300 ZX nyeupe. Nimekuta mahali LAND CRUISER 300 ZX nyeusi inapigiwa "debe" kama kwamba ni "bora" kuliko rangi zingine kama nyeupe. Nimeona pia viongozi wengi wanaotumia LC 300, magari yao ni rangi nyeusi. Naomba kufahamishwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…