gari

  1. Picha Ajali: Wasiofahamika wateketea kwa moto katika ajali Mufindi, gari zimeisha kabisa yamebaki majivu

    Watu wasiofahamika Wamefariki Dunia kwa kuteketea kwa moto na kubakia majivu baada ya magari mawili kugongana uso kwa uso na kisha kuwaka moto na kuteketea na kusababisha vifo hivyo. Akizungumza na Mwandishi wa habari hizi katika eneo la tukio Mei 29,2025 Mkuu wa wa Polisi Wilaya ya Mufindi SSP...
  2. Gari zuri kati ya NISSAN X TRAIL na SUBARU FORESTER

    Wakuu salaam. Wako niko kwenye wazo la kutafuta usafiri. Mwanzoni nilikuwa nawaza kuhusu Mitsubishi Outlander, Hata hivyo, watu wengi wamekuwa na ushauri hasi kuhusu gari hilo. Kwa sasa nina mawazo mawili baina ya Nissan X traeil na Subaru Forester XT. Bajeti yangu 25 -30 M, Ni mtu wa kipato...
  3. M

    Ninunue gari ipi kwa safar ndefu

    Habar wakuu nimekuja kwenu mnishauri nataka kununua gari lakini mim nimtu wa safari ndefu,dar kigoma,dar mwanza,dar mbeya,,gari ipi itanifaa kwa safar ndefu budget 25-35m NB ni iwe family car
  4. M

    Taratibu Jinsi ya kubadili matumizi card ya Gari toka Private to Busness

    Habari wadau, naomba kupata kujua taratibu za kufuata jinsi ya kubadili matumizi ya Gari Toma private kwenda busness, je Una an za na utaratibu upi kwanza, na je Gharama huwa kiasi gani. Shukrani.
  5. Honda N-Box: Wajapan huwaambii kitu kwenye hii gari!

    Beauty is in the eye of the beholder! Honda N-Box ni moja ya best selling car Japan, na kuna miaka inampita hadi mkali wa miaka yote Toyota Corolla. Ni kagari flani ata kukaelezea ni ngumu labda ukaone tu mwenyewe. Engine yake ndogo balaa, cc 650, CVT transmission na power output ya 62 hp...
  6. Range Rover Iliyoibiwa UK Imeonekana Kwenye Mitaa Ya Jiji La Dar es Salaam, TZ

    Raia mmoja wa Uingereza amechapisha kwenye kundi la Facebook kuhusu gari lake aina ya Range Rover lilipotea miezi kadhaa iliyopita, ambalo sasa limeonekana likiwa Tanzania kupitia kifaa cha GPS alichokuwa amekificha ndani ya gari. Tafsiri kwa udhamini wa google Gari langu liliibiwa kutoka...
  7. A

    Gari aina ya Corolla 5A kushindwa kuwaka, nini itakuwa sababu?

    Habari zenu Wana ndugu, nilikuwa naomba ushauri juu ya gari langu aina ya Corolla E100 ambal limefungwa cylinder head siku chache zilizopita na baada ya hapo nikatembelea kwa siku tatu ya nne kuja kuliwasha likawaka ila kwa miss kubwa Sana nikavuta race halikuacha mpaka likazima na baada ya hapo...
  8. Msamaha wa ushuru wa gari kwa mtumishi wa umma ni lazima uagize au hata gari za yard?

    Wakuu habari za weekend? Naomba uzoefu wa mada tajwa hapo juu kutoka kwa mtumishi aliyewahi kupata msamaha wa import duty au kutoka kwa wakala wa forodha mwenye uzoefu au aliyewahi ku deal na kesi kama hizo au ushuhuda wa aliyewahi kushuhudia msamaha. Je? Kwa mtumishi akitaka kununua gari toka...
  9. Dereva natafuta gari

    Habari naitwa Iman nipo Dodoma natafuta gari la kufanyia kazi bolt, nina uzoefu WA kutosha zaidi ya miaka minne. Kwa Dodoma hesabu yetu waga ni 150,000 kwa wiki na kwa magar ya mkataba waga ni 200,000 kwa wiki naomba mwenye gar anisaidie. Mawasiliano yangu ni 0695276900 asante
  10. VIongozi wa Ulaya waenda Kyiv kwa gari moshi kuiomba Urusi isitishe Vita na Ukraine

    Vita vya miaka mitatu vimetoa funzo kubwa kwa mataifa makubwa duniani pamoja na Ulaya. Wakiwakilisha wenzao,viongozi watano wa mataifa ya Ulaya walifika mjini Kyiv hapo juzi na kukushanyika kwa pamoja na raisi Zelenky kwa madhumuni ya kuitaka Urusi iongeze muda wa usitishwaji vita kutoka siku 3...
  11. Gari ya mikosi, njooni mnisaidie

    Habari wadau? Kuna notion kwamba unaweza kununua gari kwa mtu yaani second hand inaweza kuwa imebeba laana au mikosi au mabalaa. Ipo hivi mwaka huu nimenunua gari ni kama mwenye gari yeye hajatembelea sana ila cha kushanganza toka ninunue hii gari nilishapata nayo ajali like 4 times. Ajali ya...
  12. M

    Kila Mwananchi wa Tanzania ambaye anataka kumiliki Gari mambo ghani afanye kabla ya Kununua

    Katika mazingira ya sasa ya kiuchumi, kumiliki gari kunahitaji uamuzi wa busara unaozingatia zaidi ya bei ya ununuzi. Gharama za matengenezo na upatikanaji wa vipuri (spare parts) ni mambo muhimu yanayopaswa kuzingatiwa kabla ya kufanya maamuzi. Ni aina gani ya magari ambayo kwa uzoefu wenu...
  13. B

    Ruvuma: TRA yataifisha gari Na kumkabidhi ofisi ya mkuu wa mkoa

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Ruvuma imekabidhi rasmi gari aina ya ISUZU kwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kwa ajili ya matumizi ya serikali, baada ya kutaifishwa kutokana na kuingizwa nchini kinyume cha sheria. Makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini...
  14. kazini nimeambiwa nianze kuamka sa 10 alfajiri, gari imebadili muda wa kuanza safari

    nilizoea kuamka sa 12 Leo jioni nimepigiwa simu na boss kua natakiwa niende kuanza kupanda basi anapoanzia dereva, umbali adi kumkuta dereva kilometer 20 nawaza sana. mkiona sijibu sms mjue nimelala ili nisije chelewa
  15. E

    Car4Sale Agiza Nasi Gari

    Agiza nasi Mitsubishi RVR 🔸Year 2010 🔸CC 1790 🔸Km 45,516 🔸Engine 4B10 🔸Gray Color 🔸Seating Capacity 5 🔹DVD Radio 🔹Back view camera 🔹Navigation system 🔹Push to start 🔹Fog lights 🔹Winker mirrors 🔹Cruise Control 🔹Traction Control 🔹Rear Spoiler 🔹Steering Switch 🔹Keyless entry 🔹Alloy Rims Sport...
  16. Dawa ya sofa, carpet na seat za gari

    Dawa nzuri ya kusafisha sofa,carpet na seat za gari unatumia povu tuu kwa 15,000 ina ujazo wa lita moja na brush zake, whatsup: 0757785804
  17. Hamilton na Ferrari prove that hakuna dereva mzuri kwenye gari mbovu

    Sir Lewis Hamilton anaendelea kustruggle huku watoto wa McLaren wakiendelea kuwasha moto lawama ni kwa engineers na mipango ya team. Ukisoma comments nyingi za wapenzi wa F1 ni kuwa Sir hapati ushirikiano na agenda ni kumtoa kwenye reli huyu bingwa mara 7 hapo ndio utajua kuwa roho mbaya haipo...
  18. Gari gani Dogo (SUV) inayofaa kwa biashara?

    Wakuu poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa! Naomba kujuzwa brand ipi ya gari dogo lenye muundo wa SUV ambalo linaweza kutumia kuingiza Mia mbili Mia tatu angalau maisha yaendelee? ( Maana ni aina ya biashara nayotamani kuifanya ) Pia naomba kujuzwa na kushauriwa juu ya business idea...
  19. Kutumia Spare Parts Feki? Unacheza na Usalama wa Gari Lako

    Watu wengi siku hizi wanakimbilia bei nafuu bila kujiuliza kuhusu ubora wa bidhaa wanazoweka kwenye magari yao. Ukiambiwa brake pads ni elfu 30 badala ya elfu 80, unafurahi haraka bila kujua kuwa hiyo elfu 30 inaweza kukupeleka kwenye ajali. Siyo kila kilicho rahisi ni cha heri. Spare parts feki...
  20. Gari yangu haipandishi mshale wa speed na feni ya rejejeta haizunguki

    Wakuu habari Gari yangu haipandishi mshale wa speed ukiendesha pamoja na feni ya reheat haizunguki hivy kupelekea Gari kuchemsha shida inaweza kuwa nn? NB tatzo limeanza jioni hii wakati natoka job
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…