Natamani kufahamu utofauti wa LC 300 ZX nyeusi dhidi ya LC 300 ZX nyeupe.
Nimekuta mahali LAND CRUISER 300 ZX nyeusi inapigiwa "debe" kama kwamba ni "bora" kuliko rangi zingine kama nyeupe.
Nimeona pia viongozi wengi wanaotumia LC 300, magari yao ni rangi nyeusi.
Naomba kufahamishwa...