gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama binguni kuna madini ya kila aina na ya thamani.Je yanafaida gani ikiwa hayatumiki?

    Lazima tuulizane maswali yenye mantiki hapa. Tulienda shule ili tupate ufahamu tusibaki kule au kuwa walewale wa zamani au kama babu zetu wa enzi zile. Usomapo Biblia hasa kuhusu uzuri wa mbinguni/Peponi au paradiso unakuta panaelezwa kuwa ni pazuri sana na hakuna mfano wa kupafananisha...
  2. JamiiForums Tanzania Tukielekea mwisho wa mwaka umetembea kwa miguu umbali mrefu kiasi gani ?

    Tunapoelekea ukingoni mwa mwaka 2025, kila mmoja wetu ana kumbukumbu inayomfanya acheke au kutikisa kichwa. Kwangu mimi, tukio lisilosahaulika ni safari ya miguu iliyoanza kwa mkasa na kuishia kwa ushindi. Baada ya kupoteza simu yangu na kukwama bila njia mbadala ya usafiri, nilijikuta...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza katoni za maji, kuna faida kiasi gani.

    habari zenu jamii forums ningependa kujua faida ya kujua katoni za maji makubwa ya lita 1 na nusu Wanaouza wanaweza kuyaleta kwa gari zao, hakuna gharama za usafiri
  4. JamiiForums Tanzania Naomba msaada. Ni shule gani Dar es salaam ya kata yenye hostel

    Naomba anayejua shule jijini Dar ambayo ni kutwa ila inazo hostel ndani ya eneo la shule iwe hostel ya wasichana. Asante
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kuwa Data Analyst

    Wakuu, moja kati ya passions nilizonazo ni pamoja na kuwa "data analyst ". Nipo kwenye process ya kumalizia SQL queries course relating to data analytics. Katika research ambayo nimefanya huko YouTube, wanasa ni lazima nizijue zofuatazo. 1. Sql 2. Advanced excel ikiwemo "pivot table and Vlookup...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Namna gani nitapata seatime?

    Habari za muda huu Wana JF , Mimi ni mgeni humu Nina mpango wa kusoma short course za ubaharia pale DMI chuo Cha bahari , changamoto yangu nawaza baada ya mafunzo seatime nitapewa na chuo au nitatafuta mwenyewe?. Mwenye ujuzi anisaidie .
  7. H

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwa kiwango gani Maafisa Kazi wa Mikoa wanatimiza wajibu?

    Kukosekana kwa Ufuatiliaji Madhubuti* Maafisa kazi wengi hawatembelei maeneo ya kazi kwa ukaguzi wa mara kwa mara, hali inayowapa waajiri mwanya wa kuendelea kukiuka haki za wafanyakazi. Ukimya wa Maafisa Kazi Wakati wa Migogoro* Kumekuwa na kesi nyingi ambapo wafanyakazi wanatendewa...
  8. JamiiForums Tanzania Ni jambo/kitu gani watanzania tunacho kinachofanya tuonewe wivu na nchi zingine?

    Hoja ya kwamba tunaonewa wivu na nchi nyingine duniani imekuwa ni kama alama ya siasa za CCM kwenye kuzuia isikosolewe. Hivi ni jambo ama kitu gani tulichonacho Tanzania kinachofanya tuonewe wivu na nchi zingine?
  9. JamiiForums Tanzania Tukielekea kufunga mwaka, ni matukio gani ambayo yametokea mwaka 2025 hayawezi kufutika kwenye kumbukumbu zako?

    Wakuu tupo Disemba, zikiwa zimebaki siku kadhaa kufunga mwaka 2025 na kuuanza mwaka mpya 2026. Ni mambo gani uliyoyashuhudia au umeyapitia na pengine mazuri au mabaya ambayo huwezi kuyasahau. Maoni yenu kwenye comment yataamua huu mwaka ulikuwa baraka au wa laana. Haya twende kazi, nasoma kumment
  10. JamiiForums Tanzania 'Sheikh ubwabwa' ni mtu wa aina gani?

    Naomba sifa hata Kwa picha za hawa wanaotrend kwasasa kama sheubwabwa. Naomba Uzi wangu uheshimiwe usikashifu mtu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vipi huko chawa, mnakunywa amani?

    Nyie Vyawa, mnakunywa amani? Kuoga je? Kwanza hamuogi nyie maana ni wachafu wa mwili mpaka akili. Watu wanaandamana mpate haki za kupata huduma bora bila kukosekana huduma na uwajibikaji pale mambo kama haya yanapotokea. Ila sababu mna vichwa tupu mnawaona wanaharibu amani nyie mnataka amani...
  12. JamiiForums Tanzania CCM walisema Samia hana deni, Sasa atafanya kazi gani?

    Luhaga mpina aliposema kuwa watu wa Kisesa bado wanamdai Samia Suluhu Hassan maendeleo, baadhi ya wana CCM walilipuka kwa hasira mithili ya Volkano. Kama wana CCM waliamini kuwa Samia Suluhu Hassan Hana deni la kuleta maendeleo Kwa watanzania nchi nzima, Kwa miaka mitano hijayo akiwa Rais ...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bashe alikosea kitu gani?

    Kama kuna mtu anajua nini huyu jamaa alokosea atutonye maana alikuwa waziri mbunifu na mwenye uwezo wa hali ya juu wa kujieleza
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jenista Mhagama alikuwa Waziri wa Afya wakati wa maandamano, kaondoka na siri gani?

    1. Wananchi wangapi walipelekwa hospitali kupata matibabu kwa majeraha ya risasi? 2. Wananchi wangapi walikufa kwa risasi? 3. Miili ya wananchi wangapi walipewa ndugu zao? 4. Miili ya wananchi wangapi haikuchukuliwa na ndugu zao? Yeye kama waziri wa afya alijua taarifa hizi? Je, hizi taarifa...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi mkeo anapokuambia usimwagie ndani anakua na maana gani haswa?

    Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri hapa. Anasema jana wakati wanabanjuana na mkewe..mkewe alimsisitiza eti asimwagie ndani. Sasa jamaa amechanganyikiwa hapa anasema iweje mkewe ampe hayo masharti..? Nikasema ngoja nije niwaulize wadau wa humu. Eti wakuu ina maana gani hiyo?
  16. JamiiForums Tanzania Itachukua muda kiasi gani binadamu kufikia ustaarabu wa asilimia mia moja!

    Nimekaa nikatathimini kuhusu ustaarabu naona tunasafari ndefu sana!, na hili ni moja kati ya swala nyeti maana linagusa katika kila sehemu!. iwe ni maendeleo,siasa,michezo,tamaduni,imani n.k hauwezi ukawa binadamu mwenye akili timamu kama hauzingatii ustaarabu!. Naghafirika sana pale napoona...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Ni bidhaa gani Tanzania zina msamaha wa kodi ukitaka kuagiza kutoka nje ya nchi?

    Wakuu,msada kwenye tuta tafadhali,kama kichwa kilivyojieleza hapo juu,niko mtupu kabisa kwenye engo hiyo,nmejaribu ku gugo sjapata chochote cha maana. Naomba wakuu mnisaidie hili. Nawasilisha "Ndonger,mkongwe kwenye jukwaa"
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasanii sijui watumie njia gani kujirudi kwa wananchi. Wanajikuta wanaua tasnia kwa karanga za kuonjeshwa

    Wakuu! Wasanii tuwasamee au tuendelee kushikilia hapohapo mpaka kieleweke?
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hii video iliyowekwa na Spika mstaafu Dr. Tulia Instagram ina maana gani?

    Kutoka Instagram, Dr. Tulia ameweka video ya binti akifanya usafi kwa kufagia na kushindwa kutoa jani ambalo limeanguka chini kwa kutumia mfagio wake. Kwa hali ya kushangaza binti huyo anaonekana akihangaika kuchukua mashine ya kufanyia usafi (leaf blower) kujaribu kulivuta jani hilo bila...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kanisa Katoliki lipo tangu Karne ya 4, huyu Mama ana jipya gani kulitisha?

    Ajizima na kujiwasha mshumaa hee. Kitima kumchana makavu apiga kelele hee. Kanisa moja takatifu la mitume limeishi na serikali aina zote wee Samia unajipya gani wee. Kipi hasa utishe watu. Waambiwa ukweli wajiliza sio. Ubabe waonyeshee hao. Huku umekikwaa kisiki cha mpingo walahi. Watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…