Wakuu Kwema?
Mimi kwa Sasa niko Dodoma kikazi, mnamo ijumaa Usiku alinipigia Jamaa yangu mmoja akaniambia mdogo wake kaja Dodoma kufanya Interview lakini kakosa pa kulala, hivyo anaomba nimu accommodate sababu kashatafuta chumba kakosa. Kwakua alienipigia ni Mshikaji wangu sana nkaona isiwe...