gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Unaweza kutumia kiasi gani cha hela kumnunulia zawadi EX wako? Brad Pitt ametumia £60m

    Pamoja na zawadi ya £60m Brad pia ameinunua nyumba waliyoishi na Jeniffer wakiwa wanandoa na kumpa Jennifer kama zawadi. Nyumba hii iliuzwa kama sehemu ya makubaliano ya talaka. Brad aliongea na Jennifer baada ya ndoa yake na Angelina Jolie kuanza kusua sua na Jennifer alimueleza mapenzi yake...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya kumfahamu na kumjua mtu?

    Wataalamu wa lugha naombeni mnieleweshe. N.B kama hujui usicomment nisije nikakupiga bure!
  3. JamiiForums Tanzania Wavaaji huwa Wana maana gani?

    Kuna aina ya bangili huwa zinauzwa na wamasai za copper Mara nyingi huvaliwa na wanaume, je huwa Zina msaada gani mwilini au hasara gani kwa mvaaji?. Nawasilisha
  4. JamiiForums Tanzania Kuna shida gani CRDB Bukoba?

    Wakuu. nipo huku mkoa wa BUKOBA hakika nimesikitika kupata taarifa kutoka kwa wajasiriamali wa hapa juu ya benki hiyo tawi la Bukoba kusitisha utoaji mikopo na kufunga matawi yake yote ndani ya mji. tawi la Zamzam limefungwa na yale yote yaliyoko pemmbezoni mwa mji. Wajasiriamali wanasema kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ni game gani kwenye simu au PC ulicheza ka kufika the highest score?

    Weka screenshots za scores waje watu wakuchallenge. Namaanisha games za aina yoyote za kielekronic na zingine zikijumuisha PlayStaions. Mi jana nimekutana na haka kadude kaninusumbua mwenye aidia anipe. Kama umekacheza na unako tupigie picha kakiwa kamevurugika na baada ya kukapanga 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ni gharama kiasi gani zitatumika kulipia server kwa website yenye watembeleaji sawa na jamii forum ?

    Ni fedha kiasi gani zitatumika kulipia server kwa site kama hii ya Jamii Forum Msaada tafadhali kwa mwenye uelewa na hizi mambo
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nitumie Mbinu gani Simu ipokelewe Utumishi?

    Wadau Mambo vip? Nimejaribu sana kuanzia Jumatatu Mpaka Leo Kila nikipiga simu Sekretarieti ya Ajira Simu ipo Busy na kuna muda ikifika haipatikani. Naombeni wadau mliofanikiwa kuwapata hewani mmetumia mbinu gani? Na Muda mwingine inaita lakini haipokelewii.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Pombe gani inayolewesha sana,kwangu naona valuer imedunda?

    Wakuu, Nakunywa valuer daily but silewi kabisa. Mbadala wake ni pombe gani hivi?
  9. JamiiForums Tanzania Kati ya Kahama na Katoro ni mji gani unafaa zaidi kwa biashara ya Juice Bar

    Wakuu, habari zenu, Samahan mimi nipo Mwanza nina juice bar naona hapa biashara kidogo imekua ngumu nawaza kuhamia mji mmoja kati ya Katoro au Kahama, Naombeni ushauri kwa wenyeji wapi panafaa zaidi kwa biashara hyo na urahisi wa kupata eneo na matunda, pia aina ya watu sehemu izo, ASANTENI
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ni sababu gani zilipelekea chama cha TANU kubadili jina mwaka 1977?

    kwa wanaoelewa sababu zilizopelekea chama cha TANU kugeuzwa kuwa Chama Cha Mapinduzi anijuze tafadhari maana mimi kama mimi sioni haja ya TANU kuwa chama cha mapinduzi.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Jina " Mfaume" ni wenyeji wa mkoa gani na kabila gani?

    Naomba kujuzwa tafadhali
  12. JamiiForums Tanzania Akili gani anayoipenda Mwenyezi Mungu?

    ▪ Ni Nani Ulul Albab? ▪ Aliyejaaliwa Hikima, amepewa kheri nyingi Mwenyezi Mungu anawapenda watumiao akili, au wenye kutia mambo akilini (Ulul Albab) . Hii ni kauli Yake katika Kitabu Kitukufu, Qur’an: "Na wale wanaojiepusha kufanya ibada ya masanamu, na wakanyenyekea kwa Mwenyezi Mungu...
  13. JamiiForums Tanzania Hii picha ipo katika movie gani?

    Hii ni movie gani?
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Siri ya Pinda kuongezwa kwenye ‘Kikosi Kazi’ ni wajumbe kuelemewa na hoja ya Katiba Mpya

    Kazi kubwa ya Kikosi Kazi cha Rais ni kupata maoni kuhusu kudorora kwa Hali ya Demokrasia nchini lkn yenyewe imejikita zaidi kwenye upatikanaji wa Katiba Mpya. Baada ya Kikosi Kazi kupendekeza katiba isubiri hadi 2025 wajumbe waligawanyika kuna wanaotaka mchakato uanze sasa na kuna wanaosema...
  15. JamiiForums Tanzania Utumishi wanaposema MDS and local Government wana maana gani?

    Hivi utumishi wanaposema MDs ndio wana maana gani? Mfano kazi za afisa biashara, mtu ukibahatika kupata ndio kusema utapelekwa huko Nanjilinji vijijini au ndio utakua Dar es Salaam tu?
  16. JamiiForums Tanzania Kama ulishawahi kusweka mahabusu unakumbuka kituko gani au kimbwenga gani ulichokutana nacho huko ndani?

    Salaam Wakuu! Kwa wale walioshawahi kukaa mahabusu ni kituko gani unakumbuka au tukio gani unalikumbuka ulikutana nalo huko ndani wakati ukiwa unanyea ndoo na uliingia kwa kosa gani? 😊 😊 Tupieni uzoefu🤭
  17. JamiiForums Tanzania Jina "Msangawale" ni wenyeji wa mkoa gani/kabila gani?

    Mwenye kujua naomba anijulishe tafadhali. Kama anajua na maana ya jina itakuwa vizuri zaidi. With much thanks in advance.
  18. I

    JamiiForums Tanzania Chuo gani (cha ndani au nje) ambacho unaweza kusoma masters online na cheti kikatambuliwa Tanzania?

    Kuna siku napataga muda mwingi wa free baada ya kumaliza mambo yangu. Ningependa nichukue mda huu kujiendeleza kimasomo kwa kusoma degree ya pili yaani masters ila iwe kwa njia ya mtandao. Je, kuna wenye uzoefu na suala hili wanishauri ni chuo gani kinachotoa huduma hii. Na kama kikiwa cha nje...
  19. JamiiForums Tanzania Je, ni madhara gani yatatokea endapo parking fees itaunganishwa kwenye mafuta?

    Kwanza mafuta yenyewe tayari yameshakuwa too expensive, sioni shida huu usumbufu wa parking nao tukaepukana nao, tulipe hiyo parking fees huko huko kwenye mafuta tujue moja. Hizo pesa za kuwalipa watu kuzunguka na vimashine nchi nzima kwenye jua kali ni bora wakafanya Sensa tu. Wenye magari...
  20. JamiiForums Tanzania Wizi mpya, makufuli yanafunguliwa kwa gesi kimya bila kelele, tununue makufuli yapi?

    Ni kimya kimya tu, kufuli linapigwa moto wa gesi linaachia lenyewe ama kuyeyuka.... Nakumbuka kuna kipindi flani hapo miaka ya 2021 kuna mwizi alikuwa anahisiwa ndiye anaibia sana maduka ya mtaani kwa mbinu hii, alipoona watu wanamhisi ndiye ila hawana ushahidi ikabidi ahame mji, ni maduka kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…