gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna matatizo gani yaliyofanyika na kutokea wakati Jakaya Kikwete yupo madarakani yanashabihiana na haya yanayoendea sasa nchini?

    Mathalani, ufisadi na ubadhirifu wa kukwapua bila aibu. Mifano ipo mingi tu. Umeme kukatika kanakwamba tupo jangwa la Sahara wakati vyanzo vipo vingi tu. Kukosekana mafuta ya magari ya uhakika. Haya mambo yalishamiri sana 2005 mpaka 2015. Ila kwa sasa yamerudi kwa mtindo uleule? Why?
  2. JamiiForums Tanzania Wewe unatumia njia gani kupata ujasiri wa kuzungumza mbele ya watu wanaokuzidi kila kitu?

    Habari wana JF, Baadhi yetu tumewahi kupata bahati ya kukaa na wakubwa au kutoa speech mbele ya watu wenye vyeo vikubwa kutuzidi, au kwenye interview nk. Confidence na utulivu ni jambo muhimu sana wakati huo. Binafsi huwa nawadharau watu wote wanaonitazama ili kupata confidence. Wewe...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi huu utititili wa makanisa una faida Gani wakati maovu ndo yanazidi kuwa mengi?

    Mi nilikili wingi wa makanisa uendane na kubadilisha tabia za waamini wao. Hebu fikiri hapa dar wizi, udokozi, ujambazi unaongeza daily na watu wanashinda makanisani, au kanisa ni fashion tu. I'm sure hata padre, askofu mchungaji akiipata fursa ya kuiba lazima aitumie kama ilivyokuwa kipindi Cha...
  4. JamiiForums Tanzania DED Temeke: Tangazo lako lina malengo gani?

    Kipindi huyu Mwalimu anapewa vibali na Katibu Mkuu ofisi ya Rais ofisi yako haikuweka Tangazo kuupa umma taarifa. Hili tangazo umelitoa kwa msukumo wa kisiasa ukiamini unawafurahisha wakubwa zako, inasemekana Mwalimu huyu ni miongoni mwa waliokataa uteuzi wa Rais. Hapa busara haijatumika...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya msimamo mkali wa kidini na umasikini?

    Katika utafiti wangu nimegundua kila dini au imani huwa inawatu wenye misimamo mikali iliyopitiliza ( Religious extremists) Hawa wapo lwenye Ulokole, Usabato, Ukatoriki, Uislam hata Umizimu. Ila katika kila imani kundi hili huwa linaonekana ni nyonge sana kwa kipato na kiuchumi. Wengi...
  6. JamiiForums Tanzania Mambo ya Tano ya Jide ni kitu gani?

    Ni kwaya ama ni nini? Jide my sista are u serious? Kwaya? Mwaka 2023? It is high time now wakongwe wa bongo fleva waambiwe ukweli. 2023 is not 2003. Mambo yamebadilika. Something which was good in 2003 may not be good in 2023. Jide unahitaji kufanya upya research yako. It is high time now...
  7. JamiiForums Tanzania Ni vitu gani vijana wa kiafrika tunaweza kujifunza kutoka kwa wajapani?

    Habari wanajf Japani ni nchi inayoendelea kwa Kasi Sana, vijana wapo busy sana , wanajali mda sana, na wanasaidiana wao kwa wao hata mitandao yaao ya kijamii Ina mada zinazolenga kujifunza kitu fulani. Vijana wa kiafrika tuna mambo mengi sana ya kujifunza kutoka kwa wajapani ili kulikomboa...
  8. JamiiForums Tanzania Ni vitu gani vijana wa kiafrika tunaweza kujifunza kutoka kwa Wajapani?

    Habari wanajf Japani ni nchi inayoendelea kwa Kasi Sana, vijana wapo busy sana , wanajali mda sana, na wanasaidiana wao kwa wao. Hata mitandao yaao ya kijamii Ina mada zinazolenga kujifunza kitu fulani. Vijana wa kiafrika tuna mambo mengi sana ya kujifunza kutoka kwa wajapani ili kulikomboa...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kuna utofauti gani kati ya BAC na BAF?

    Kuna utofauti gani kati ya kozi ya BAC na BAF na hipi ni better zaidi?
  10. JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani wa kulipia king'amuzi wakati umeme hakuna?

    Wakuu habari zenu.Mimi siyo mwanasiasa japo siasa naona inanishindisha giza na kunilaza giza.Ndani ya siku 30 nilizolipitia king'amuzi changu cha AZAM nakadiria kutumia bandle hilo kwa siku 11 tu. Siku zingine umeme hakuna. Sijui wenzangu mnaiona hiyo hasara wanayonipatia TANESCO
  11. JamiiForums Tanzania Unasikiliza nyimbo gani kalii hapo

    Hapa nasikiliza mahaba ya alikiba ngoma inayo fata ni burnaboy common person
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: Nauli ya ndege Dar-Kigoma daraja la economy ni kiasi gani?

    Ndugu wanabodi naomba kujua gharama kwenda na kurudi kutokea Dar.
  13. JamiiForums Tanzania Hivi walioanzisha utaratibu wa mwanamke kulipiwa mahari walikuwa na sababu gani za msingi?

    Ujue hapa duniani kume kuwapo na tuvitu vitu twa ajabu tusito na kichwa wala miguu ambato tumeanzishwa bila sababu yoyote ya msingi na watu mpaka leo wanatufanya bila ya kuwa na sababu ya msingi. Sasa tuizungumzie "mahari" 1. Hivi walio anzisha haka kautaratibu ka mwanamke kulipiwa mahari...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Haya ni manukato/perfume gani?

    Habari wakuu Siku chache zilizopita nilitembelewa na mgeni nyumbani. Alikuwa amejipulizia manukato/perfume ambayo harufu yake imebaki kwa wiki nzima sasa kwenye sofa aliyokuwa amekaa. Kwa wajuzi wa manukato naomba kujua ni brand gani za perfume zinaweza kudumu muda mrefu kiasi hiki. Mimi ni...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini matamko ya Kanisa Katoliki kuhusu Serikali mienendo ya Serikali mbalimbali duniani huwa yanakuwa na nguvu zaidi na pengine tofauti na mengine

    Wajuzi mnijuze kwanini kanisa katoliki likitoa matamko yake juu ya Serikali huwa yanakuwa na nguvu zaidi kuliko madhehebu mengine? Mfano tangu sakata la bandari liibuke waraka wa kanisa katoliki ndio ulipata mileage na attention kubwa tofauti na madhehebu mengine ambayo pamoja na kutoa pia...
  16. JamiiForums Tanzania Meza ya wanaume: Ni baada ya muda gani kwenye mahusiano mapya unaingia peku?

    Na kubwa kuzidi yote mara nyingi wanaume ndio huwa tunaamua game ichezwe vipi kuanzia location, staili, raundi ngapi na hata kwenye suala la kuvaa helmet (conddom), wanawake uwanjani huwa wana nguvu ndogo sana ya maamuzi. Game za kwanza najua wengi huwa tunaipiga kwa ndom, ila kuna kipindi...
  17. JamiiForums Tanzania Ni kwa kiasi gani tunaweza kupima ukweli wa historia inayofundishwa mashuleni?

    Wasalamu ndugu wana JF wote. Historia ni somo muhimu na lenye tija sana kwa kuzingatia ukweli kwamba historia inatunza kumbukumbu muhimu kwa taifa, Kuanzia ngazi ya shule za msingi mpaka vyuo vikuu somo hili limekuwa linawajengea wanafunzi , walimu na wanahistoria kwa ujumla uwezo wa kutoa hoja...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Je, kitu gani ni hatari lakini watu wengi wanakichukulia poa?

    Kuna vitu vingi katika maisha yetu ambavyo vina hatari kubwa, lakini tunavichukulia poa tu na maisha yanasonga bila kufikiria athari zake. Ukija kushtuka huwezi kurudi kunyuma, na ukibahatika kunyanyuka basi unakuwa umepoteza pakubwa. Mfano kula vitu ovyo ovyo, tunajua tunajaza sumu kibao...
  19. JamiiForums Tanzania Nataka kurudi shule(nisome IT) chuo gani kizuri bandugu?

    Dunia sasa hivi imehamia kwenye ( computer technology) nataka nisome IT, chuo gani kizuri? UCC au VETA? Kama ni ucc branch gani wapo vizuri? (Udsm au Posta?) Nataka kwanza nisome kozi yupi fupi za IT then baada ya hapo ndo nitafikiri nisome certificate then Diploma. Vitu vyangu vingi (...
  20. JamiiForums Tanzania Je, unadhani Upinzani Tanzania umebeba matumaini ya wananchi kwa kiasi gani?

    Wanamudu na kustahimili uzito wa matumaini na matarajio ya wa Tanzania? Wanathamini na kuheshimu thamani wanayopewa na wananchi? Unaaminika kwa kiasi gani kubeba jukumu kubwa na zito la kuongoza nchi? Nini kifanyike upinzani uwe na sura, sauti na uelekeo moja? Hebu njoo taratibu na kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…