furaha

  1. Tlaatlaah

    Mpaka sasa ni Makamu Mwenyekiti wa chadema taifa ndio pekee mwenye furaha zaidi, licha ya kuificha furaha hiyo isionekane hadharani kwa umma.

    But kiukweli muungwana ana furaha kupindukia, kwasababu, licha ya tuhuma za ufisadi kukaribia kumbandua kwenye nafasi yake, ila kwasasa anakwenda kupata fursa mpya ya kua Mwenyekiti wa Chadema taifa kirahisi sana mara baada ya mwenyekiti wa awali kuhukumiwa na kufungwa jela miaka kwa mi4 net...
  2. K

    Hakuna wakati kwenye historia yetu Watanzania wamekosa furaha kama 2025-2026

    Hakuna wakati kwenye historia yetu Watanzania wamekosa furaha kama 2025-2026. Sikumbuki ni wakati gani kila ukiongea na Mtanzania yeyote ni malalamishi tu kuanzia mwananchi wa kawaida mpaka viongozi
  3. Lamomy

    Ikitokea leo kipenzi chetu Tundu Lissu akishinda kesi yake dhidi ya Jamhuri, kipi utafanya ili kuonyesha furaha yako?

    Je, utachinja jogoo lako pendwa? Je, utafanya ibada ya shukrani kwa Mungu? Je, utaishukuru mahakama kutenda haki? Je, utashinda bar kulewa na kuiendeleza weekend kwa kishindo cha wakoma..!! Je, utaserebuka kwa muziki? Je, tutarajie mimba nyingi siku ya leo? Nyavu kutikiswa kwa wingi...
  4. L

    Mwaka Mmoja madarakani Wa Rais Samia umekuwa wenye Matumaini Tabasamu Furaha na Mwanga Mpya kwa Taifa letu . Hakuna Aliyeachwa Nyuma

    Ndugu zangu Watanzania, Ni Mwaka Mmoja Wa Rais wetu Mpendwa Kitini ,Ni Mwaka Mmoja madarakani,ni mwaka mmoja mamlakani ,ni Mwaka mmoja Ofisi kuu ,ni mwaka mmoja wa utumishi wa umma uliotukuka ,ni mwaka mmoja wa kutoa majawabu toshelezi ,ni mwaka mmoja wa mafanikio . Ni Mwaka mmoja ambao hakuna...
  5. O

    Machozi ya Furaha na Ushindi wa Kifalme kwa Kenya

    Uwanja ulikuwa kimya kwa sekunde chache kabla ya msisimko mkubwa kulipuka. Hewa ilijaa harufu ya ushindi na joto la mapambano makali kwenye mchezo wa Raga ya Sevens. Australia walikuwa wagumu, lakini Kenya ilikuwa na roho ya simba. Dakika za mwisho zilizalisha wakati wa kihistoria. Mbuga...
  6. Frank Wanjiru

    Azim Dewji: Wanasimba hawahitaji kujua Hisa wala thamani ya timu yao,wanahitaji furaha ya ushindi tuu.

    “Kwanza niwaambie Wanasimba hawana haja ya hisa sijui wamenyimwa hisa.. Nachoamini Wanasimba hawataki hisa wanataka furaha, ili ushinde unahitaji Wachezaji ndio maana Mwekezaji anawaleta. Hawa Viongozi wengine Machawa tu, unasema timu inauzwa ilikuwa na thamani gani miaka 10 nyuma?” Azim...
  7. L

    Kwa Sasa CHADEMA ni Kama Wajenzi wa Mnara wa Babeli huku CCM ikiendelea kuchanja Mbuga Mioyoni Mwa Watanzania. Furaha Yangu ni CHADEMA Ikifarakana

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Sasa CHADEMA ni kama Wajenzi wa Mnara wa Babeli. Wanaruka na kukanyagana utafikiri Walevi wa gongo . Kila mtu anaruka kivyake na kutoka kivyake . Kila mtu anapuyanga kivyake ,kila mtu na njia yake . Chama kimeota Mapembe na kila mtu ana ndevu utafikiri Mabeberu...
  8. StoikKadi Express TZ

    Kadi za mwaliko: Usiruhusu usimamizi wa wageni uharibu siku yako ya furaha

    Usiruhusu usimamizi wa wageni uharibu siku yako ya furaha. Fikiria siku ya tukio lako: wageni wanafika, kamati inahangaika kuthibitisha kadi, orodha za wageni hazieleweki, na hakuna uhakika wa nani amehudhuria. Huo si mpangilio unaoutaka kwenye tukio lako. KADI EXPRESS inabadilisha namna...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Ndoa nyingi zinazodumu kwa furaha ni zile ambazo hakuna ndugu na marafiki hasa wa kutembeleana nyumbani

    NDOA NYINGI ZINAZODUMU KWA FURAHA NI ZILE AMBAZO HAKUNA NDUGU WALA MARAFIKI HASA WA KUTEMBELEANA NYUMBANI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Jasusi Sabato imeshaingia. Leo sitakuwa na maneno mengi. Wala maneno ya kero, kashfa na kejeli. Nitatumia lugha ya kisabato Sabato. Kilokole lovelorn...
  10. D

    Tanzania nchi ya kwanza barani Africa kwa watu wake kuwa na kipato kikubwa na furaha

    Utafiti uliofanywa na indepemdent firm kutoka marekani waonesha Tanzania imepanda viwango vya hali ya juu kwa gdp pet capita kuwa kuwa kuwa na uwekezaji kuongezeka sana kwa sera stable na predictable za awamu hii. Kipindi cha nyumba yaani cha JPM nchi ilitaka kudumbukia shimoni na sasa...
  11. Matunzo 02

    Karne ya 21; kanuni 10 za kuwa na furaha.

    1. Usiwe na wasiwasi. 2. Usihofu. 3. Usivuke daraja kabla hujalifikia. 4. Pambana na tatizo pale linapokukabili. 5. Usibebe matatizo yako mpaka kitandani. 6. Usiazime matatizo ya wengine. 7. Usifikirie jana kwa mema wala mabaya maana imeshapita zingatia sasa. 8. Uwe msikilizaji mzuri. 9...
  12. ndege JOHN

    kizazi before gen Z Utoto wetu ulikuwa na furaha ya vitu vidogo sana

    Sisi wa kizazi chetu before gen Z tulienjoy maisha kwa vitu ambavyo watoto wa leo wanaweza wasivielewe. Tulikula zambarau na maapera ya mtini, tukachezea magari ya plastiki, na sikukuu tuliisubiri kwa hamu kana kwamba tunasubiri matokeo ya mtihani. Siku ya sikukuu ukipata nguo mpya, hata...
  13. Jitu la kienyeji

    Utajiri hauwezi kununua furaha je umaskini unanunua nini?

    Watu wengi wanafikiri umaskini unatokana na udogo wa mshahara, lakini ukweli mchungu ni kwamba unatokana na mlolongo wa makosa ya kifedha unaoyafanya kila tarehe Mosi. Unapokea fedha, unalipia kila mtu mwingine kwanza, kisha unalia huna akiba pindi mwezi unapoisha. Kama alivyowahi kusema...
  14. min -me

    Nahisi furaha itaenda kuniua 🤣🤣

    Picha linaanza nimepiga pesa kwenye mishe mishe zangu😅😅 Halafu leo simba inanipa raha ya kutisha na pira tamu mno🤣 Hizi baraka sijui kwa nini hawapewi wengine ni mimi tu ,mpinga Kristo 😁 kama wanavyodai😊
  15. Design Your Idea

    Inafikirisha sana mtu ulieweza kumwambia nakupenda na akakukubalia na ukawa mwingi wa furaha lakini mtu huyo huyo leo unainukua pisto kumchapa risasi

    Yeremia 17:9, "Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua?"
  16. Waufukweni

    Unadhani ni couple gani hapa ina furaha?

  17. Marry Diana

    Leo Nina furaha sana, hata kuhisi nimepitiliza

    Siwezi jizuia,nimefurahi Sana Leo,vipo vitu vingi humpa mwanamke furaha ,ni vidogo Sana,kama dressing table &room kushine vitu anavyopenda,kupata vitu Kwa wakati,kujibiwa maswali Kwa wakati lakini kumpata mwenza anayejali na kucare. Oooh tuachane na hayo,furaha yangu Leo ni kuchaguliwa na...
  18. wamp

    Ninayo furaha kujiunga na JamiiForums

    Kwa takribani miaka 10 nimekua msomaji wa JamiiForums bila kua mchangiaji, sasa rasmi nimejiunga rasmi nitajumuika kuchangia mada mbalimbali Shukrani sana.
  19. Carlos The Jackal

    Watanzania Wamekua na Huruma kwa Afya ya Mzee Warioba, Watanzania hapohapo wamelipuka Furaha kwa Kifo cha Mzee Hafidh. watawala mjitafakari mara moja

    Huruma, Huzuni, Maombi yameelekezwa kwa Mzee Warioba
  20. funaku

    Furaha ya wanayanga ni kumuudhi Simba!

    Roho zetu leo hii ni burudani sana ...Selemani Mwalimu kafunga Goli muhimu sanaa!!
Back
Top Bottom