Lionel Messi wa Inter Miami amepigwa faini kwa kumpiga kofi Quinn Sullivan mchezaji wa klabu ya Philadelphia Union wakati wa mchezo ulioisha kwa sare ya 2-2 katika Mechi ya Ligi Kuu ya Soka (MLS) Jumatano mnamo Agosti 19.
Messi mwenye umri wa miaka 39, alimpiga Sullivan kofi kichwani kuelekea...