Jumamosi iliyopita nilihudhuria mahafali ya watoto wetu wa chekechea katika baadhi ya shule za Tanga Mjini. Baada ya shughuli hizo, familia yangu tuliamua kwenda eneo la Forodhani (Freezone), ambalo linatumika kwa shughuli mbalimbali za burudani na mapumziko.
Tulipofika hapo, tulishuka na...
AMKENI!
@Africa_In_EN
imechapisha madudu ya kimama na kumwanika Ndejembi Urafiki wake na Abdul iko on recordLakini pia alifunguliwa kesi Uingereza na anadaiwa faini na hadi leo hajalipa! Ndo nawaambia hawa TISS ya Mombo ni 🚮 - Makamu wa Rais mzima ameacha vimeo huko UK! Na tungejua huyo faini...
KUNA RUSHWA KUBWA LATRA DODOMA.
LATRA Wanakamata bajaji na pikipiki na kuwalazimisha madereva kulipa faini 25000/=.
Dereva akiomba Control number wanakuwa wakali na kuanza vitisho.
Ikumbukwe kuwa malipo yote ya serikali yanafanyika kwa mfumo wa control number.
Mamlaka zitusaidie.
Makanisa nchini Kenya yanajipata njia panda kufuatia onyo kutoka kwa Afisa Mkuu wa Ulinzi wa Taarifa (ODPC), Immaculate Kassait, kwamba taasisi za kidini zinahatarisha kutozwa faini ya hadi Shilingi milioni 5 iwapo zitarusha ibada na mikusanyiko hewani moja kwa moja (livestream) bila kupata...
Hii ndio Tanzania ambayo MH TUNDU LISSU anapigania.
Watanganyikana sababu zaidi ya Bilioni ya kwann ni lazima muungane na LISSU .
Watanganyika wangapi wapo Jela?? Kwa makosa ya Gram 2 za bangi, mara Nyama ya Sungura kilo Moja, sijui Ngozi ya fisi , watu wefungwa miaka 30.
Leo Mgeni...
Je, kuna Mtanzania aliyewahi kukamatwa na TAWA au mamlaka nyingine za uhifadhi wa wanyamapori kwa kosa kama hili, akalipa faini na kuruhusiwa kuendelea na safari yake?
Tukutane hapa tushirikishane uzoefu.
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imesema raia wa kigeni, Alshehir Ahmed Abdallah, aliyekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza akiwa na nyara za serikali, alilipa faini ya shilingi milioni 3.97 baada ya kukiri kosa hilo.
Katika taarifa yake, TAWA imesema tukio hilo lilitokea...
Wakili Maduhu amesema Mahakama ilipaswa kuzingatia kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ni mkosaji wa mara ya kwanza na kutathmini uwezekano wa kumpa adhabu ya faini badala ya kifungo cha miaka minne alichohukumiwa.
Akizungumza kuhusu kesi ya Lissu katika mawasilisho chini ya Kituo cha...
Aliyekuwa Gavana wa Kiambu, Ferdinand Waititu, amehukumiwa kifungo cha miaka 13 gerezani au kulipa faini ya jumla ya KSh21 milioni katika kesi ya ufisadi na utakatishaji fedha za umma zenye thamani ya KSh588 milioni.
Hukumu hiyo ilitolewa Jumatatu, Novemba 2, 2026, na Jaji Harrison Barasa wa...
Naomba ufafanuzi kutoka LATRA, juzi nilikamatwa na LATRA sijalipia Pikipiki yangu lakini wakati naomba Control Number wanasema natakiwa kulipa faini kwanza ambayo ni Sh 15,000 lakini cha ajabu hiyo faini hupewi Namba ya Malipo wanataka cash.
Tukio lilitokea Morogoro sehemu moja inaitwa Kiroka...
Anonymous
Thread
control
control number
faini
hawana
latra
maafisa
namba
number
Baraza la Madaktari na Madaktari wa Meno nchini Kenya (KMPDC) limeitoza Faini Hospitali ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kiasi cha KSh1 milioni kutokana na usimamizi mbovu na mapungufu katika matibabu ya Valarie Cherono Misoi, aliyefariki dunia baada ya kujifungua mnamo Agosti 2019.
Kamati ya nidhamu...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia wateja wake katika Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani waliositishiwa huduma za maji kutokana na madeni, kuwa katika maadhimisho ya mwezi huu wa Huduma kwa mteja, Mamlaka imetoa msamaha maalum kwa mteja kurejeshewa huduma...
Kwa mujibu wa The Road Traffic (Drivers Licence Point System) Regulations, 2014, G.N. No. 109 of 2014, as amended by G.N. No. 420 of 2025, kosa la barabarani linaweza kukupunguzia pointi 1 au 3, kulingana na aina ya kosa.
Points zikiisha, utafungiwa leseni kwa miezi sita. Ikiwa utaendesha chombo...
Mimi niko Bukoba, gari langu pia lipo Bukoba, traffic ananisimamisha anasema gari lina faini 120,000 ilipigwa Dar es salaam,
Dereva aliyeandikwa simjui na gari tarehe husika lilikuwa Bukoba, naomba jinsi ya kutatua shida hii maana traffic hawaoneshi ushirikiano kabisa ,
ABIRIA WANAOPANDA BODABODA WASIO NA LESENI NAO WATOZWE FAINI. KABLA HUJAPANDA BODABODA, ULIZA LESENI KWANZA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Leseni ni kama kadi tuu.
Inaweza kuwa softcopy kwa wenye simu kubwa, au hardcopy kwa wasio na simu. Sio mzigo mkubwa.
Haya mambo mtu anajifunza...
Katika kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kufanya usafi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa mwezi mmoja kwa wafanyabiashara wa eneo la Kariakoo kuondoa msongamano kwenye barabara zinazotakiwa kupitisha magari, sambamba na kusafisha mitaro iliyojaa majitaka...
MPOGOLO: ATAYETUPA UCHAFU JIJINI DAR FAINI LAKI 3 HADI MILIONI 1 AU KIFUNGO CHA MIEZI 12–24
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, amesema mtu atakayebainika kutupa taka hovyo jijini Dar es Salaam atatozwa faini ya shilingi 300,000 hadi milioni moja au kuhukumiwa kifungo cha miezi 12...
Kero yangu ni Ofisi ya Kata ya Gongo lamboto iliyopo Pugu Kona, Maafisa Biashara wa Halmashauri wamekuwa wakikamata Wafanyabiashara na wasiokuwa na leseni au wenye leseni lizizoisha na wengine kuhusu kodi ya Service Levy ambayo kwa asilimia 80 watu hawana uelewa kuhusu kodi hiyo.
Baada ya...
Anonymous
Thread
biashara
faini
gongolamboto
kulipa
maafisa
polisi
service
service levy
Mchezaji wa Simba SC, Ibraheem Jaabar, amejikuta katika hali ngumu baada ya kupewa adhabu na Bodi ya Ligi kufuatia tukio la kumpiga kiwiko mchezaji wa Pamba Jiji, Abdulkarim Iddy, katika mechi ya Ligi Kuu. Jaabar ametozwa faini ya shilingi milioni tano (5,000,000/=) na adhabu ya kadi nyekundu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.