faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Fahamu maua ya Rosela na faida zake

    Rosela ni ni maua yanaoteshwa au kupandwa mazingira ya kawaida haswa nyumbani, maua haya yanapatikana kirahisi katika nyumba za ndugu, jamaa na marafiki na sehemu zinginezo japo kuwa baadhi ya watu huyaita maua damu MATUMIZI YA ROSELA NA FAIDA ZAKE KWA BINADAMU Maua ya rosella utengenezwa...
  2. JamiiForums Tanzania Hizi ndio faida za kutofunga simu(lock)

    Kila mmoja ana mtazamo wake kuhusu kufunga simu au kutofunga hizi hapa ni baadhi ya faida za kutofunga. 1. Faida ya kwanza. Binadamu tunatembelea hatujui hata sek 1 ijayo,unaweza kudondoka ghafla na ikakosa msaada kama umefunga simu yako. Huwezi kuongea wala kugusa kitu. Cha kwanza huwa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Faida zitatazotokana na upinzani kumweka Tundu Lissu au Bernard Membe kugombea Urais

    Hata kama hakutatokea Vyama vya Upinzani vikashinda lakini kutakuwa na faida kubwa sana kati ya hawa wawili wakipewa kipaumbele cha kugombea Urais hapa nchini. Kwangu mimi wote wakigombea ni sawa au hata mmoja kati ya hao ni sawa. Ukiacha hao hata Zitto Kabwe pia inagwa sijamtaja ila ana uwezo...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Boniface Budodi atangaza kugombea Ubunge Maswa Magh kwa TLP,atuma salamu kwa Mashimba Ndaki " Nakuja mtumishi wenu nisiye na faida Maswa nipokeeni "

    Hakika TLP kumenoga, Mhe Boniface Budodi atangaza nia ya kugombea Ubunge kupitia TLP, Atuma salamu kwa Mhe Mashimba Ndaki, Awaomba wana Maswa wampokee mtoto wao na mtumishi wao, Awaomba wamuunge mkono Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli kuelekea Oct 2020,
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kuna faida gani nchi kuhamia kundi la nchi zenye uchumi wa kati?

    Ninavyojua mimi kuna nchi ambazo hazitaki kuhamia huko kwa sababu ukishakuwa huko unajiondoa kwenye kundi la nchi zinazotakiwa kusaidiwa na kupata misamaha baadhi na unahamia haraka kwenye kundi la nchi zinazokopesheka. Kwa maana hiyo Tanzania imepata sifa ya kuwa nchi ya kupata mikopo zaidi...
  6. JamiiForums Tanzania Ipi faida yangu, mbona siioni?

    IPI FAIDA YANGU, MBONA SIIONI? Na, Robert Heriel Nipo nipo, sina hili wa lile, sina lila wala fila. Sina mbele wala nyuma. Nimekuwa mtu wa hivi hivi, Loooh! Niite Taikon wa Fasihi, nisiye na faida. Hata nyanya linatumika kwenye kachumbari, tena ni kiungo kizuri cha mboga. Tena lafaa kwa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya hisa Tanzania, faida inapatikana?

    Nimeshawishiwa ni wekeze kwenye hisa, naambiwa hii ndio future. Wale mliowekeza huko, future mmeisha iona? Je, ni mahala sahihi kuwekeza?
  8. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi tulivyo na Dreamliners na Bombardiers za kutosha hadi zinabeba Samaki badala ya Abiria, kwa Tanzania nahisi ATCL imepata Faida Kubwa sana

    Shirika la Ndege la Kenya (KQ) limekadiria kupata Hasara ya Dola Milioni 100 katika Kipindi hiki cha janga la CORONA. Kwa jinsi Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) lilivyo na Ndege zake nyingi tu na zikibeba Sato na Sangara wakikaa Vitini nadhani Wamepata Faida. ======== Kenya Airways...
  9. JamiiForums Tanzania Faida kuu tatu za udongo maalum wa kupandia miche uitwao Peat Moss

    PEAT MOSS NI NINI? Peat moss ni udongo maalumu unaotumika kwa ajili ya kuandaa miche hasa kwenye upande wa miche ya mboga mboga na matunda kama vile nyanya,hoho,papai n.k Udongo huu huzalishwa katika nchi za ulaya kama vile Norway,Finland na husambazwa duniani kote ili utumike katika shughuli...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Maana, aina na faida za "Connection"

    "CONNECTION" Nimekosa Kiswahili fasaha labda Watalaamu mtaniambia Kiswahili cha "Connection". " "Connection" hapa namaanisha kupata urahisi kutoka kwa mtu, watu au mazingira ili kuweza kukusaidia wewe na mwisho wa siku ufanikishe kusudi ulilonalo maishani mwako/jambo unalolifanya maishani...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani jifunzeni kutumia unyanyasaji mnaofanyiwa kwa faida yenu - tumieni mahabusu kwa kuhamasisha maelfu kukamatwa dunia yote ione!

    Mara nyingine ili Magufuli na serikali yake waelewe kwamba wanafanya unyanyasaji usiokubalika kwa vyama vya upinzani, inatakiwa vyama vya upinzani waje na namna ya kutumia unyanyasaji huo kwa faida yao wenyewe. Wafuasi wa vyama vya upinzani wanapaswa kuelewa siku zote wale wanaopigania haki zao...
  12. JamiiForums Tanzania Faida za Mafuta ya Mkaratusi

    Mkaratusi ni mti wenye harufu nzuri na unapatikana kila sehemu duniani. Mafuta hukamuliwa kutoka kwenye majani yake na kuweza kutumika kama tiba Hutuliza kikohozi. Hii ni kwa kujichua kwa mafuta kwenye kifua na koo kuondoa dalili zote za kikohozi. Husafisha kifua, kwa vifua vya kubana na kamasi...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faida na hasara za East Africa Community (EAC)

    Ndugu wana JF naomba kiwasilisha. Naomba tujikite kujadili kwa kina faida na hasara za kuungana na kuwa jumuiya ya Afrika mashariki. Kwa historian muungano huu uliwahi kuwepo na ukavunjika kwa sababu kadha wa kadha. Je, zile sababu zilizosababisha kuvunjika kwa Afrika mashariki ya zamani...
  14. JamiiForums Tanzania Zijue faida mbalimbali za kula papai kiafya

    Papai, tunda lenye ladha nzuri kama sukari, siyo tu ni tamu kulila, lakini ni chanzo kikuu cha virutubisho muhimu vinavyotoa kinga ya mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali, yakiwemo yale hatari ambayo huchukua maisha ya watu kila kukicha. Leo soma faida za tunda hili ili ujiepushe na maradhi...
  15. JamiiForums Tanzania Nilioa nikiwa na miaka 17 hadi leo ndoa yetu ina miaka 5

    Ndio hivyo usimuache mke wa ujanani kwako. Karibu kama una swali nitakujibu
  16. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vya Kimataifa vinapata faida gani kuzusha uongo kuihusu Tanzania na Rais Magufuli ?!. Angalia uongo/uzushi wa The Guardian la UK!

    Wanabodi, Wanabodi, kila nipatapo fursa huwa ninawaletea makala ndefu za Kwa Maslahi ya Taifa, hivyo leo nimepata fursa tena naendelea na zile makala zangu za kuhamasisha uzalendo kwa jina la "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinaendeshwa kwa mfumo wa maswali, leo nazungumzia media za kimataifa...
  17. JamiiForums Tanzania Hasara 10 na faida 5 za kuchepuka katika ndoa

    Kila jambo lina pande mbili, upande wa uzuri na upande wa ubaya, lakini katika kufanya maamuzi basi ni vyema kuegemea upande wenye mazuri zaidi kuliko mabaya. Kuchepuka ni aina nyingine ya usaliti anaoufanya mtu kwa mpenzi wake, japo wahenga walinena acha michepuko baki njia kuu, michupeku...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ubunge Tanzania ni ulaji tu hakuna faida kwa nchi

    Watanzania tunadanganya na wabunge kwa kujifanya kama vile wanatusaidia. Bunge kwa mfumo wa sasa ndiyo sehemu ya matumizi bila faida yeyote kwa taifa 1. Kwanza Budget ambazo wanatumia muda kujadili na kuchukua pesa nyingi serikali kwenye utekelezaji hawatumii pesa kama walivyopanga. Hivyo...
  19. JamiiForums Tanzania Nini faida ya kumiliki gari?

    Wanajamvi naomba tujuzane kuhusu faida ya kumiliki gari hasa kwa watu wa kipato cha chini wakati huo wakiwa na changamoto nyingi na za msingi zikiwakabili ikiwemo kutokuwa na makazi (nyumba) na bima za afya.
  20. JamiiForums Tanzania Biashara ya Madini ya Dhahabu: Fahamu Uwekezaji Wake, Changamoto na Faida

    Wadau poleni na swaumu mulio katika mfungo wa mwezi wa Ramadhani. Napenda kujulishwa kwa mwenye uzoefu biashara ya dhahabu inalipa vipi kwa mtaji wa million 5, tahadhali za kuchukua dhidi ya utapeli, vibali vya biashara na maeneo ambayo yako suitable kwa hiyo biashara. Natanguliza shukrani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…