faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Mtazamaji (observer) katika uchaguzi ni nani, ana majukumu gani na yana faida gani kwa nchi?

    Mtazamaji wa Uchaguzi ni Nani? Katika chaguzi zote Duniani huwa kuna watu wanaitwa WATAZAMAJI(OBSERVERS) hawa wanaweza kuwa watu Binafsi kutoka ndani na nje ya Nchi. MAJUKUMU Jukumu kuu la watazamaji ni kutazama matendo na shughuli zinazoendelea katika mchakato wa Uchaguzi na kuhitimisha...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania kujipatia faida ya asilimia 60 nayo Uganda ikipata asilimia 40 kutokana na uwekezaji wa mafuta

    Makubaliano ya bomba la mafuta: Tanzania kujipatia faida ya asilimia 60 nayo Uganda ikipata asilimia 40 Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli na mwenzake wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni katika picha ya awali Viongozi wa Tanzania na Uganda hatimaye wamekubaliana kuhusu ujenzi wa bomba la...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huku Watanzania wakichekelea changamoto za SGR ya Kenya, TAZARA waliyopewa kama msaada miaka zaidi ya 40 haijawapa faida yoyote

    Imekua desturi kwa baadhi ya Watanzania kusubiria kama fisi kila tangazo hasi la SGR ya Kenya, huwapa muhemko fulani hivi wa kuja kupost humu kwa raha, huku wakisahau TAZARA waliyojengewa na Mchina kama msaada imetimiza miaka zaidi ya 40 bila kuwapa faida yoyote. -------------------------...
  4. JamiiForums Tanzania JE MADINI HAYA YANAWEZA KUWA NA FAIDA?

  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bamburi, Kampuni ya saruji Kenya yaongeza faida kwa asilimia 82%

    Mwendo ndio huu tu hamna kingine nchi hii. ======= Bamburi cement has posted a Ksh.83 per cent profit growth to Ksh.721 million through the first half of 2020. The near double earnings acceleration is highly attributable to costs containment efforts and gains marked in the period. The firm...
  6. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ni faida gani unaipata kwa matamshi haya?

    Kama watanzania hatuwezi kunyamaza kimya tukiwachekea wanasiasa wa hivi inaonekana kuna faida fulani wanayo ipata kwa kupitia haya matamko. Mnataka kutuaminisha nini watanzania na tukisha amini hicho mnachotaka tukiamini Kisha nini kifuate? Tunajua haya matamko yenu yana nia ovu Ila mjue tu...
  7. JamiiForums Tanzania Nataka nifanye biashara ya magazeti kisasa, faida yake ikoje?

    Habari wakuu, napenda kujua hii biashara ya magezeti inafanyikaje na faida yake ipoje nataka niifanye kisasa zaidi.
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri wa faida kwa Benard Kamilius Membe

    Membe, Wewe umri wako bado unakuruhusu 100% kugombea Urais hata miaka 10 ijayo. Ningekuomba kwa sababu moja kubwa na muhimu sana tena itakayokujengea heshima kubwa sana, kwakua chama chako cha ACT bado ni kichanga na kinahitaji kujijenga, hebu ingieni makubaliano na CHADEMA muunganishe nguvu ya...
  9. JamiiForums Tanzania Wazazi Wenzangu: Kuna umuhimu (faida) gani kwa baadhi ya watoto kuwa na majina mawili? Jina la shuleni pamoja na lile la nyumbani?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya cold war, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Ngoja leo...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Faida 4 Za Kugeuza Bidhaa Au Huduma Unayotoa Kuwa Kampuni Ndogo Na Hatua Rahisi Za Kusajili Kampuni

    Business Digitalization Solution tumekuwa kwa zaidi ya miaka minne tukiwasaidia wajasiriamali wadogo kukua, yaani kutoka hatua ya mjasiriamali mmoja hadi kuwa kampuni ndogo inayotambulika. Kwa kawaida, kama mtaji wako ni kati ya milioni moja mpaka milioni kumi, basi unakuwa na sifa za kuitwa...
  11. JamiiForums Tanzania Ficha IP Adress yako kwa kutumia VPN (Android users)

    Habari wadau, ngoja niende moja kwa moja kwenye mada. IP Adress (Internet Protocol) ni anwani ambayo device mfano simu au computer inakua nayo pindi inapokua imeunganishwa na intaneti hivyo mtu mwingine kuweza kujua mmiliki wa hiko kifaa ni nani. VPN (Virtual Private Network) ni simulator...
  12. JamiiForums Tanzania Mjadala: Kwanini tusiwe na Ukomo wa kuwa Mbunge na Udiwani? Kuna faida nyingi sana kufanya hivyo

    Ndugu Wajumbe, Taifa letu lina raia zaidi ya Milioni 60 na kila baada ya Miaka mitano tunafanya uchaguzi wa kuchagua wabunge madiwani.Lakini katika hio miaka mitano mitano huwa tunakuwa na zaidi ya Wabunge 350 pamoja na wa viti maalumi ambao wote hulipwa kila mmoja zaidi ya TZS Bilioni 2 kwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je, hizi chaguzi za ndani CCM zimetuletea faida au zina athari kwa mwenendo wa chama?

    JE, HIZI CHAGUZI ZA NDANI CCM ZIMETULETEA FAIDA AU ZINZ ATHARI KWA MWENENDO WA CHAMA? NITOE PONGEZI NA SHUKRANI ZANGU KWA UCHAGUZI WA HAKI, WENYE UTULIVU NA WA BUSARA ULIOTEKELEZWA NA CHAMA CHETU USHAURI WANGU: CHAGUZI WA NDANI: Uchaguzi umekwenda vizuri na wanachama wamefanya Maamuzi yao...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada wadau, naombeni kujua hasara na faida za "ingredients" zilizopo kwenye maji

    Wadau natakunguliza shukrani kwenu kwa majibu ntakayopata naamini ntakuwa nimejifunza jambo, mfano; TDS 40, CALCIUM 4, MAGNESIUM 12, SULPHATE, CLORIDE na nyinginezo. Naomba kujua kwanini zipo zinawekwa kwenye maji, na zina faida au hasara gani? na zinatengenezwa na nini? Kwenye chupa za maji...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi faida ya "show off" ni nini?

    Kujionesha kwamba una nyumba kubwa! Kujionesha kwamba una ujauzito (Tumbo kubwa!) Kujionesha kwamba na wewe unaitwa baba mtandaoni. Kujionesha kwamba una gari kali. Kujionesha kwamba wewe una Shamba kubwa! Tupia picha za mahindi yako, matikikiti yamejaa shambani huku umenyoosha mikono na...
  16. JamiiForums Tanzania Ahadi za faida kubwa, hufanya masikini wengi watapeliwe kirahisi

    Maskini hutapeliwa zaidi na hii ni sababu kubwa, weka laki moja baada ya miezi mitatu utarudishiwa laki tatu Utapeli kimsingi upo tangu enzi na kila mtu anaweza kutapeliwa kwa namna moja au nyingine James Randi alisema, No matter how smart or educated you are, you can easily be deceived. So no...
  17. JamiiForums Tanzania Dulla Planet wa East Africa akabidhiwa gari kali

    Wakuu pita pita zangu kule Instagram nimekutana na post ya Dulla wa planet bongo akishukuru uongozi wa East Afrca kwa kumkabidhi gari aina ya marcediz benz hii ni baada ya kukitumikia kituo hicho miaka 12. Je, hii ni mbinu mpya East Africa redio wamekujanayo baada yakuuona watangazaji wao wana...
  18. JamiiForums Tanzania Ipi faida ya Mzee Alli Hassan Mwinyi kuwepo Dodoma kama Baba wa Taifa aliyebakia?

    Upo uwezekano kuwa mzee wetu Alli Hassan Mwinyi alipewa uongozi wa nchi bila kuwa na upeo imara wa kiuongozi. Tofauti kabisa na wazee wenzake, huyu amekuwa hata haelewi umuhimu wa uwepo wa katiba Tanzania. Haelewi maana ya uongozi wa katiba katika nchi. Ni aibu kwa mzee kama Mwinyi ambaye...
  19. JamiiForums Tanzania Biashara ipi inatoa faida ya haraka zaidi kati ya Genge duka na biashara ya chakula?

    Habari za mchana kila mmoja wetu. Poleni na majukumu. Naomba usaidizi wenu wakuu najua huku kuna watu wa namna tofauti,wafanyabiashara wakubwa,wadogo,wakati,waajiriwa na kuendelea. Kuna biashara mbili kati ya hizo 👆juu moja wapo naitamani kufanya lkni sina uzoefu nazo kwa upande faida na...
  20. JamiiForums Tanzania Jana nimeona faida ya ukali kazini, hongereni Watumishi wakali kazini

    Kwanza kabisa pongezi kwa mkuu wa nchi kwa kuwa mkali. Kabla ya Rais Magufuli discipline kazini ili 20% kwa sasa imepanda sana tunaweza kukadiria 80%. Ule ujinga wa "unanijua mimi ni nani"? Haupo tena. Mada husika Jana katika Ofisi za Manispaa ya Temeke niliona umuhimu wa Rais Magufuli na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…