faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nahitaji kuanzisha biashara ya sigara

    Waheshimiwa baada ya mapambano makali sana. nimefanikiwa kupata mtaji wa shilingi milioni nne. Sasa kutokana na mimi mwenyewe kuwa mvutaji wa sigara. Nimefikiria kufanya biashara ya sigara kwa jumla na reja reja. Naomba kama kuna mwenye ufahamu kuhusu biashara hii anipe muongozo . Box moja la...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Faida 10 za kula Matango

    Ulaji wa matango na matikiti maji husaidia kuboresha kiwango cha maji ambayo huitajika mwilini, hii ni kutokana na matango kuwa na kiwango kikubwa cha maji ambayo husaidia kuondoa taka mwili pamoja na sumu mbalimbali ambazo miili yetu huzipata kupitia vyakula, madawa na hata vinywaji...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Faida za kiafya zitokanazo na kunywa maji ya kutosha

    Maji husaidia mmeng'enyo au usagaji wa Chakula na mara nyingine hutuliza Maumivu ya Kichwa endapo maumivu hayo yametokana na upungufu wa Maji mwilini. Kunywa Maji ya kutosha kunaweza kukusaidia kupata haja kubwa kiulaini na mara nyingi zaidi Pendezesha ngozi yako kwa kunywa Maji ya kutosha...
  4. JamiiForums Tanzania Benki kutangaza imepata faida kwa kuongeza tozo

    Kuna Benki Maarufu hapa nchini. Kila ikikaribia kipindi cha kutoa report ya mwaka wao hupandisha kila tozo na kuongeza tozo mpya na hivyo kusomea wadau wake kuwa imepata faida ya mabilioni. Ningetaraji Benk ifanye biashara na sio kufungua matawi kila meta kadhaa ambayo unaweza kuona tu kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Binafsi naona hii ndiyo faida kubwa ambayo Tanganyika inapata kupitia Muungano

    Faida ya kupata sehemu ya bahari, yaani exclusive economic zone(EEZ). Kisheria mile 200 kutoka pwani ya nchi ni eneo la kiuchumi la nchi husika. Hapo inamaana kilomita kama 320 kutoka pwani ya Tanzania bara kuingia bahari ya Hindi ni eneo letu la kiuchumi. Mafuta na uvuvi wa eneo hilo ni wetu...
  6. JamiiForums Tanzania Wenye wazo la ushawishi la kibiashara, karibuni

    Wanatakiwa vijana watano (5) wenye wazo la ushawishi la kibiashara, kila mmoja wazo lake lisizidi mtaji wa shilingi laki moja. Faida atakayoipata kwa mwenye wazo zuri, ni tutawekeza fedha na tutagawana faida 60/40. Kama wazo litakuwa zuri sana na baada ya kufanya majaribio na kuthibitisha liko...
  7. JamiiForums Tanzania Je, HISA zako zitakuwepo hata kampuni ikifirisika?

    Habari ya muda wanajamvi? Napenda kujua kitu kimoja kuhusu HISA, inasemekana kampuni inapopata hasara basi hakuna gawio. Swali ni kwamba je, HISA zako zitakuwepo hata kampuni ikifirisika na ili uziuze kwa bei ya hasara au ikifirisika unakosa kila kitu. ========= Makampuni mengi yanayokuwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa biashara ya kuingiza faida ya 150,000/= kwa siku/ 4,400,000 kwa mwezi

    Nawasalimu kwa jina la muungano wa Jamhuri ya Tanzania, Nimekua nikifatilia threads mbalimbali za biashara humu, Wengi naona wanasema ili kuingiza faida kubwa Kwa siku basi ni lazima Uwe na Mtaji Mkubwa, wengine walitoa mifano ya Anaemiliki duka la hardware ana mtaji nkubwa lakini hafikishi...
  9. JamiiForums Tanzania Anayejua faida ya ulinzi shirikishi (sungusungu)

    Kwanza natangulia kusema nitashukuru kwa watakaonielimisha. Faida hasa ya sungu sungu ni nini? Kazi ya polisi ni nini ili itofautiane na hii ya sungu sungu? Kuna umuhimu wa kuwa na sungu sungu katika mtaa wako? Najua kuna watakaosema wanapunguza wizi japo si kwa asilimia 100,je kama ipo na...
  10. JamiiForums Tanzania CRDB bank yapata faida ya billion 236 mwaka 2020

    Licha ya changamoto za corona zilizojitokeza, Benki ya CRDB imetangaza faida kabla ya kodi kiasi cha Sh236 bilioni mwaka 2020. Faida hiyo, ni sawa na ongezeko la asilimia 35 ikilinganisha na Sh172 bilioni iliyopata mwaka 2019, kabla janga la corona halijafika Afrika na kuathiri biashara kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Sioni faida ya Bunge hili kwa Wananchi, sio kwa uwakilishi wa kero zao wala kuisimamia Serikali, livunjwe tusipoteze muda

    Ni dhahiri hili bunge linaweza kuwa Bunge lisilo na tija kwa wananchi tangu nchi yetu imepata uhuru. Hata bunge la Chama kimoja enzi hizo wala halikuwa kama hili la sasa Kitendo cha kufanyia 'figisu' wapinzani na kuwabeba wagombe wa Chama kimeleta madhara makubwa sana kwa Taifa letu ...
  12. JamiiForums Tanzania ATCL shusheni bei ili mtengeneze soko kubwa la ndani, kwa namna hii mtapata faida. Kumbukeni the higher the price...

    Ni suala la kitalaamu kiuchumi ambalo lipo katika maisha ya kila siku. Kwamba bei ikiwa ndogo uwezo wa kulipia huduma huwa mkubwa na kuongeza soko. Kwa hiyo ili kuruhusu soko kubwa lipanuke na kuweza kupata wateja wengi ni vyema Atcl wakashusha bei kama ilivyokuwa kwa Fastjet. Mfano kama...
  13. J

    JamiiForums Tanzania CAG mstaafu Uttoh: Hakuna Shirika lolote la ndege duniani lililopata faida baada tu ya kuanzishwa, ATCL haijawahi kulipa Gawio Serikalini

    CAG mstaafu mh Uttoh amesema hakuna shirika la ndege lolote duniani lililowahi kupata faida katika miaka ya mwanzo ya operations zake. Kuhusu gawio mh Uttoh amesema dividend hutolewa baada ya biashara kupata faida na huamuliwa na bodi kiasi gani cha faida kigawiwe kama dividends. Uttoh amesema...
  14. JamiiForums Tanzania TANESCO inaweza ikatengeneza faida kubwa sana endapo wataanza kukopesha units za LUKU. Hii ni ngumu kwa mteja kukwepa marejesho

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wa humu JamiiForums. Kwanini TANESCO haikopeshi units za umeme wa LUKU kwa wateja wake? Mimi ninaona kama mchakato huu utawawezesha kupata faida kubwa sana kama riba kwa maana ni ngumu sana kwa mteja kukwepa marejesho. Tofauti ya mteja wa TANESCO na...
  15. JamiiForums Tanzania Fanya biashara ndani ya biashara yako, uokoe pesa unazopoteza na ujiongezee faida

    Kwenye biashara kuna mambo mengi sana ambayo kabla hujafikiria kuanzisha biashara unatakiwa kuyafikiria ili isije tokea sababu yyte (ya kibinadamu) ikakuangusha chini ukafunga biashara yako. Watu wengi sana kabla ya kuanzisha biashara zetu tunajiuliza "tutapata wapi bidhaa tunazotaka kuziuza"...
  16. JamiiForums Tanzania Musukuma: Profesa Sospeter Muhongo usomi wake hauna faida kwa Tanzania

    Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Musukuma amemshukia mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Profesa Sospeter Muhongo kwamba usomi wake hauna faida kwa Tanzania. Musukuma amesema ni wakati kwa Serikali kuwaamini wasomi aliowaita wa darasa la saba akidai kuwa wanakulia kwenye kazi. Mbunge huyo...
  17. JamiiForums Tanzania Zijue faida za kutumia Email za kampuni na siyo Gmail / Yahoo

    Matumizi ya email za kampuni (Corporate Business Email Address) ni moja ya njia rahisi kabisa ya kutangaza biashara yako kwa wateja. Kitu ambacho nilikuwa ninajiuliza sana, inawezekana vipi mtu akatuma taarifa za kampuni kwa kutumia email za gmail? Utamuhakikishia vipi mteja kama anadili na...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Ndege za mkopo na ndege za kununua taslimu, ni zipi zenye kuongoza faida kibiashara? Serikali chukueni ushauri wa wasomi hapa!

    Mimi sio mtalaamu wa mambo ya biashara, Ila nachotaka niombe Kwa wachambuzi na wataalamu wa hizi biashara mtuambie na muisaidie Serikali katika hii aviation business. Kwa mjibu wa bwana Assad, yeye analaumu Sana manunuzi ya kununua ndege kwa cash. Tunaomba wataalamu wa mambo ya biashara hasa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Ina maana Mbowe hana wahasibu na washauri wa kodi katika kampuni zake? Tusiichafue TRA kwa faida binafsi za kisiasa!

    Ninavyofahamu hata mzee Mgaya na lile duka lake la Hardware ana mhasibu na mshauri wa kodi ambaye husimama kama wakili wa maswala yake ya kiuhasibu na kodi. Ninavyojua ukiwa na kampuni ni lazima uwe na mhasibu na external auditor kwa mujibu wa kanuni na taratibu za TRA. Freeman Mbowe kuwa jela...
  20. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Rais ameagiza kufunguliwa kwa Online TV tu na sio Vyombo vingine vya Habari

    UFAFANUZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria. Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…