faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna haja gani kumtazama marehemu ikiwa tunamfahamu na tumeishi naye miaka mingi kabla ya kifo?

    Kuna faida gani labda ya Kimantiki Watu Kulazimisha (Kung'ang'ania) Kumuangalia Marehemu akiwa 'Jenezani' tena ameshalala Usingizi wake wa Milele na kwamba hata ukipita Kumuaga kwa kumsogelea au kumgusa na kulia kila aina ya kilio wala hawezi kukujua sana sana utakuwa ni kama vile unapaka tu...
  2. JamiiForums Tanzania Tunatamani ugaidi au tunatengeneza propaganda? Kwa faida ya nani?

    Kitendo cha kumkamata Mbowe na kumtuhumu kuwa ni gaidi tunajaribu kutengeneza dhana mbaya sana mioyoni mwa watanzania masikini wapenda amani. Tanzania miaka yote haijawahi kufikia hatua hii Wala kuwa na kikundi cha watu wenye kuwaza kuwa magaidi. Sana sana tulichoshuhudia ni utekaji...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Ni nini faida za CWT Kwa wanachama wake ambao ni walimu

    Kama Uzi unavyojieleza. Chama Cha walimu Tanzania (CWT), kimeanzishwa zaidi ya miaka 40 iliyopita. Ninaomba wanachama wa CWT waeleze faida za CWT Kwa wanachama wao ambao ni walimu Pili ninaomba kujua asilimia 2% inayokatwa kutoka Kwa mwalimu ambaye ni mwanachama zinamfaidisha nini mwalimu...
  4. JamiiForums Tanzania Vodacom imetutangazia hasara vipi kuhusu faida na fedha za CSR?

    Nimemuona CEO wa Vodacom akijiingiza kwenye Siasa kwa kujidai kuonesha hasara wanayoipata eti watu kuacha kutumia miamala. Sijawahi kumsikia akitutajia faida ipatikanayo na zaidi sijawahi kusikia shule,zahanati ,au kituo cha afya kilichojengwa kwa fedha za Corporate Social Responsibility kutoka...
  5. JamiiForums Tanzania SoC01 Njia ya upatikanaji wa fedha kupitia mzunguko wa fedha nchini

    Mzunguko wa fedha ni kiwango cha fedha ambacho kipo katika jamii kupitia matumizi mbalimbali ya serikali. Mzunguko wa fedha hutokana na sera mbalimbali ambazo ni zimewekwa na Bank kuu katika kuruhusu kiwango cha mzunguko wa fedha KWA NAMNA GANI MZUNGUKO WA FEDHA UNAWEZA KUWA MDOGO Mzunguko wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Pata faida kwa kufanya biashara ya Maziwa mtindi

    ONGEZA KIPATO ZAIDI KWA KUSINDIKA NA KUFANYA BIASHARA YA MAZIWA MTINDI. Watu wengi wamegubikwa na kutofahamu kiundani hasa kuhusu utengenezaji na ufanyaji biashara ya Maziwa mtindi na kushindwa kutumia fursa hii adhimu inayoweza kuongeza kipato zaidi katika maisha. Maziwa ni malighafi ambayo...
  7. JamiiForums Tanzania Ndege zilizonunuliwa na Hayati Dkt. Magufuli zina kazi gani?

    Habari wakuu, Nauliza zile ndege zilizonunuliwa kwa mbwembwe na kejeli nyingi kwa wapinzani kwamba ni wapingaji Ndege ambazo CAG alisema hazjawahi kuingza faida ila hasara tu maana yake znaendeshwa kwa pesa ya mlipa kodi wa miamala ya simu nk Ndege hizi zmetengenezwa kwa matumizi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

    Najua kila kabila lina sifa zake nzuri na zisizofurahisha. Mfano Wanyaturu wengi ni warefu na weupe. Pia wana changamoto kwenye dental fomula zao yaani mpangilio wa meno haujakaa vizuri. Njoni mie mie nimeanzisha tu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Faida za kufeli katika biashara

    🙆‍♂️🙆‍♂️ FAIDA YA KUFELI KTK BIASHARA. 👩‍🦽 Nimekuwa nikiulizwa maswali mengi na watu mbalimbali juu ya suala la kufeli. 👆🏽MMI KILA NIKIANZISHA BIASHARA NAFELI JE NIFANYE JE NISIFELI? 👇👇 😆😆 Nimekuwa nikifurahi sana na kuwapa majibu mazuri, kwanza hata Mimi mwenye nimefeli mara 5 na...
  10. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Saikolojia ya kufanya makosa na faida zake

    Thomas Edison ni mgunduzi na muasisi wa kanuni za msingi za umeme aliyeishi kati ya mwaka 1847-1931. Wakati Thomas akiwa shule ya msingi walimu wake walisema ni mjinga na hana uwezo wa kujifunza hivyo ikampasa Thomas kuacha shule na kurudi nyumbani. Aliporudi nyumbani, Thomas alianza kufundishwa...
  11. JamiiForums Tanzania Maskini mali zisizo na Faida kwa Warithi!

    Habari zenu! Leo napenda kushare Fukunuzi moja watu husema "Mtoto ni mtumwa wa Mali za Urithi wakati akiwa mdogo Lakin ajapokuwa na kuzijua haki zake Ndipo Huwa bwana wa yote". Tatizo lililopo katika usemi huu sio utoto, Bali ni kuzijua haki zake na kusimama kidete ili azipate. Kuna...
  12. JamiiForums Tanzania Je, unawezaje kufanya biashara ya Nyumba za Kulala wageni Lodges, Guest Houses ukiwa mbali na Upate faida?

    Wakuu, habari za muda huu? Naomba tupeane uzoefu, Je unawezaje kufanya ufuatiliaji wa biashara ya Nyumba ya kulala wageni iwapo utakuwa Mkoa tofauti na ulipofungulia biashara yako? Nimepata wasiwasi baada ya kuona mmoja wa mtu aliyenihamasisha kuingia kwenye biashara hii nayeye akilalamika...
  13. JamiiForums Tanzania Kitengo cha maafa kivunjwe, hakina faida kwa Watanzania

    Kitengo cha maafa tangu kuanzishwa kwake chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu hakujawahi kusaidia waathirika wo wote na badala yake kimekuwa ni kitega uchumi na chanzo cha mapato cha serikali. Tulishuhudia wakati wananchi wenzetu wa mkoa wa Kagera walipopatwa na mkasa wa tetemeko la ardhi michango ya...
  14. JamiiForums Tanzania Changamoto za career za Human Resources (officer/manager)

    Hawa jamaa unawachukuliaje hapo ofisini kwako? unawaona kama Viranja wanoko? wanakufuatilia saana maisha yako? Ila kumbuka kazi zao sometimes zinawafunga kwa kuwa mambo mengine ni maagizo ya Mwajiri. Kama ilivyokuwa kwa Mahakama na Polisi enzi za awamu ya 5 tupe uzoefu wa kazini kwako kuhusu...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba kujua Faida ambazo Wananchi wanapata kwa kila mara kuangalia Picha za Rais akitoka Dom kuja Dar na Dar kwenda Dom kwa Ndege

    Binafsi nitafaidika zaidi nikiona Picha za Rais yypo maeneo mbalimbali ya nchi yenye Changamoto mbalimbali akionana na Wananchi wake na kutatua Matatizo yao ya Kimsingi. Mpaka hivi sasa GENTAMYCINE naitafuta Tija ya kila mara tu Mitandaoni tunaonyesha Picha za Rais akipunga mkono akipanda Ndege...
  16. JamiiForums Tanzania Amos Makalla bado hujaiona faida ya Katiba Mpya?

    Tunakumbuka kuwa mwisho wa mwezi wa 5 mkuu wa mkoa Dar aliitisha vikao mbalimbali tena kwa mbwembwe nyingi mbele ya camera na kuja na mapendekezo ya kuisuka upya Dar na kuwapanga upya machinga kwa kuwa hafurahishwi na namna ilivyo sasa. Akaenda mbali kwa kutoa maagizo kwa wakurugenzi kuanza...
  17. JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuuza Nyama (Butcher's Shop): Mambo Mbalimbali ya Kujifunza

    Habari za Mchana wana JF, Ndugu yenu hapa naomba info kuhusu biashara ya Nyama (Burchery), Bei wanazonunua Machinjioni inakuwa kiasi gani? wangapi wamefanikiwa through this business. WADAU WENGINE NAOHITAJI MUONGOZO WA BIASHARA HII MICHANGO NA MIONGOZO
  18. JamiiForums Tanzania Chukua hii kwa faida yako, tumia jivu kupambana na utitiri wa kuku

    Kama wew ni mfugaji wa kuku na unahangaika wadudu waitwao utitiri, basi suluhu ya jambo hili jepesi isiyokuwa na gharama. Ni jivu la moto iwe la mkaa au kuni. Namna ya kutumia waweza kulimwaga chumba ama banda lote pale unapomaliza unapofagia kila siku mpaka hali itakata yenyewe.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Nina changamoto ya namna ya kupima chakula na juice ya kutengeneza ili kupata faida kwenye biashara yangu

    Habari zenu wadau, Naomba kuuliza namna ya kupima chakula cha biahara mfano wali na nyama au ugali na mboga zake ili kupata faida Pia juice ya parachichi na embe au embe na passion huniletea hasara sijajua kuna kitu cha nyongeza cha kuweka ili kuifanya iwe nyingi au labda natengeneza nzito...
  20. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Pfizer kutengeneza faida ya Shs. Trillioni 70 mwaka huu wa 2021

    Taarifa hapo chini zinasema kwamba, kampuni ya kutengeneza chanjo za Corona, Pfizer, inatarajiwa kutengeneza faida ya shs.Trillion 70 kwa mwaka huu wa 2021 pekee, je, nawezaje nunua hisa walau 10 tu za kampuni hii? Ikumbukwe, hii ni bajeti halisi ya Tanzania kwa miaka zaidi ya miwili (2) ---...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…