Nimemuona CEO wa Vodacom akijiingiza kwenye Siasa kwa kujidai kuonesha hasara wanayoipata eti watu kuacha kutumia miamala.
Sijawahi kumsikia akitutajia faida ipatikanayo na zaidi sijawahi kusikia shule,zahanati ,au kituo cha afya kilichojengwa kwa fedha za Corporate Social Responsibility kutoka...
Mzunguko wa fedha ni kiwango cha fedha ambacho kipo katika jamii kupitia matumizi mbalimbali ya serikali. Mzunguko wa fedha hutokana na sera mbalimbali ambazo ni zimewekwa na Bank kuu katika kuruhusu kiwango cha mzunguko wa fedha
KWA NAMNA GANI MZUNGUKO WA FEDHA UNAWEZA KUWA MDOGO
Mzunguko wa...
ONGEZA KIPATO ZAIDI KWA KUSINDIKA NA KUFANYA BIASHARA YA MAZIWA MTINDI.
Watu wengi wamegubikwa na kutofahamu kiundani hasa kuhusu utengenezaji na ufanyaji biashara ya Maziwa mtindi na kushindwa kutumia fursa hii adhimu inayoweza kuongeza kipato zaidi katika maisha.
Maziwa ni malighafi ambayo...
Habari wakuu,
Nauliza zile ndege zilizonunuliwa kwa mbwembwe na kejeli nyingi kwa wapinzani kwamba ni wapingaji
Ndege ambazo CAG alisema hazjawahi kuingza faida ila hasara tu maana yake znaendeshwa kwa pesa ya mlipa kodi wa miamala ya simu nk
Ndege hizi zmetengenezwa kwa matumizi ya...
Najua kila kabila lina sifa zake nzuri na zisizofurahisha.
Mfano Wanyaturu wengi ni warefu na weupe. Pia wana changamoto kwenye dental fomula zao yaani mpangilio wa meno haujakaa vizuri.
Njoni mie mie nimeanzisha tu.
🙆♂️🙆♂️ FAIDA YA KUFELI KTK BIASHARA.
👩🦽 Nimekuwa nikiulizwa maswali mengi na watu mbalimbali juu ya suala la kufeli.
👆🏽MMI KILA NIKIANZISHA BIASHARA NAFELI JE NIFANYE JE NISIFELI?
👇👇
😆😆 Nimekuwa nikifurahi sana na kuwapa majibu mazuri, kwanza hata Mimi mwenye nimefeli mara 5 na...
Thomas Edison ni mgunduzi na muasisi wa kanuni za msingi za umeme aliyeishi kati ya mwaka 1847-1931. Wakati Thomas akiwa shule ya msingi walimu wake walisema ni mjinga na hana uwezo wa kujifunza hivyo ikampasa Thomas kuacha shule na kurudi nyumbani. Aliporudi nyumbani, Thomas alianza kufundishwa...
Habari zenu!
Leo napenda kushare Fukunuzi moja watu husema "Mtoto ni mtumwa wa Mali za Urithi wakati akiwa mdogo Lakin ajapokuwa na kuzijua haki zake Ndipo Huwa bwana wa yote".
Tatizo lililopo katika usemi huu sio utoto, Bali ni kuzijua haki zake na kusimama kidete ili azipate.
Kuna...
Wakuu, habari za muda huu?
Naomba tupeane uzoefu, Je unawezaje kufanya ufuatiliaji wa biashara ya Nyumba ya kulala wageni iwapo utakuwa Mkoa tofauti na ulipofungulia biashara yako?
Nimepata wasiwasi baada ya kuona mmoja wa mtu aliyenihamasisha kuingia kwenye biashara hii nayeye akilalamika...
Kitengo cha maafa tangu kuanzishwa kwake chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu hakujawahi kusaidia waathirika wo wote na badala yake kimekuwa ni kitega uchumi na chanzo cha mapato cha serikali.
Tulishuhudia wakati wananchi wenzetu wa mkoa wa Kagera walipopatwa na mkasa wa tetemeko la ardhi michango ya...
Hawa jamaa unawachukuliaje hapo ofisini kwako? unawaona kama Viranja wanoko?
wanakufuatilia saana maisha yako?
Ila kumbuka kazi zao sometimes zinawafunga kwa kuwa mambo mengine ni maagizo ya Mwajiri. Kama ilivyokuwa kwa Mahakama na Polisi enzi za awamu ya 5
tupe uzoefu wa kazini kwako kuhusu...
Binafsi nitafaidika zaidi nikiona Picha za Rais yypo maeneo mbalimbali ya nchi yenye Changamoto mbalimbali akionana na Wananchi wake na kutatua Matatizo yao ya Kimsingi.
Mpaka hivi sasa GENTAMYCINE naitafuta Tija ya kila mara tu Mitandaoni tunaonyesha Picha za Rais akipunga mkono akipanda Ndege...
Tunakumbuka kuwa mwisho wa mwezi wa 5 mkuu wa mkoa Dar aliitisha vikao mbalimbali tena kwa mbwembwe nyingi mbele ya camera na kuja na mapendekezo ya kuisuka upya Dar na kuwapanga upya machinga kwa kuwa hafurahishwi na namna ilivyo sasa.
Akaenda mbali kwa kutoa maagizo kwa wakurugenzi kuanza...
Habari za Mchana wana JF,
Ndugu yenu hapa naomba info kuhusu biashara ya Nyama (Burchery), Bei wanazonunua Machinjioni inakuwa kiasi gani? wangapi wamefanikiwa through this business.
WADAU WENGINE NAOHITAJI MUONGOZO WA BIASHARA HII
MICHANGO NA MIONGOZO
Kama wew ni mfugaji wa kuku na unahangaika wadudu waitwao utitiri, basi suluhu ya jambo hili jepesi isiyokuwa na gharama.
Ni jivu la moto iwe la mkaa au kuni.
Namna ya kutumia waweza kulimwaga chumba ama banda lote pale unapomaliza unapofagia kila siku mpaka hali itakata yenyewe.
Habari zenu wadau,
Naomba kuuliza namna ya kupima chakula cha biahara mfano wali na nyama au ugali na mboga zake ili kupata faida Pia juice ya parachichi na embe au embe na passion huniletea hasara sijajua kuna kitu cha nyongeza cha kuweka ili kuifanya iwe nyingi au labda natengeneza nzito...
Taarifa hapo chini zinasema kwamba, kampuni ya kutengeneza chanjo za Corona, Pfizer, inatarajiwa kutengeneza faida ya shs.Trillion 70 kwa mwaka huu wa 2021 pekee, je, nawezaje nunua hisa walau 10 tu za kampuni hii?
Ikumbukwe, hii ni bajeti halisi ya Tanzania kwa miaka zaidi ya miwili (2)
---...
Ni kwanini ni ngumu sana kupata mkopo kutoka Benki ya Kilimo?
Kwanini ili kukopa yabidi muanzishe kikundi ndiyo mpewe mkopo wakati kila mtu ana mopango yake malengo yake?
Waziri anafaida gani iwapo anaona kabisaaa matawi ya benki ya kilimo yako miji mikubwa yenye lami na vijijini hakuna hata...
Marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa (RIP) alikuwa ni Simba SC "lia lia' ila hakuwa na 'Kiherehere' alichonacho Rais Mstaafu Kikwete kwa Yanga SC.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Mwinyi ni Simba SC 'ndaki ndaki' ila hakuwa na 'Kiherehere' kwa Simba SC kama ulivyo Rais Mstaafu Kikwete...
Habari wakuu.
Hivi karibuni nimeanza kutangaza biashara instagram. Kwa kweli kuna tofauti kubwa kati ya biashara inayotangazwa na isiyotangazwa ila changamoto ni nyingi sana. Mara hela usikatwe na wasilipromote. Mara waseme hawawezi kutangaza, wanafungia account nk. Changamoto ni nyingi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.