faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uongozi: Klabu ya Azam kwetu ni hasara sana. Haina faida yoyote ndo maana ni bora tujitoe tu

    "Pesa nyingi tunawekeza Azam. Nyingi sana lakini hamna la maana. Mashabiki wa Azam ni mashabiki wa Simba na Yanga. Huwa wanakuja kwetu kwa Mkopo na pia wanajua wanalipwa hawana moyo wa upendo kwa Azam. Kiukweli hakuna faida kwa hii team. Tumefanya uwekezaji mkubwa sana kwa team lakini ndo...
  2. JamiiForums Tanzania Ubunifu wa Tundu Lissu utaleta faida au madhara kwa jamii?

    Tundu Lissu ameamua kufuata ubunifu wa wanasiasa na viongozi kama Kwame Nkrumah, Nelson Mandela, Mahatma Gandhi, Muammar Gaddafi, Julius Malema, Thomas Sankara na wengine. Hao walibuni mitindo ya mavazi na mwonekano, na wafuasi wengi katika jamii zao wakawaiga. Kuna uwezekano mkubwa watu wengi...
  3. JamiiForums Tanzania Machafuko (Xenophobic attacks) Afrika Kusini faida kwa Utalii Tanzania

    Tutumie faida ya machafuko huko South Africa kukuza utalii Tanzania. Ikibidi itumike mbinu mbinu kuwa-support viongozi wa maandamano March to March na Dudula ili pawake kila siku kuharibika huku tunajaza watalii
  4. JamiiForums Tanzania Tengeneza Mwili Imara: Faida Kuu. za Collagen Kwenye Ngozi, Viungo na Nywele Zako.

    Sababu Kuu za Kutumia Collagen Kila Siku Kurudisha Ustahimilivu wa Ngozi: Collagen hufanya kazi kama "gundi" inayoshikilia ngozi. Inasaidia kupunguza mikunjo, kuzuia ngozi kulegea, na kuifanya ionekane nyororo, yenye unyevu na ya ujana zaidi. Kuimarisha Viungo na Mifupa: Inasaidia kulinda na...
  5. JamiiForums Tanzania Nikiwekeza milion 20 kwenye soko la hisa leo ningekua na milion ngap faida kwa siku moja??

    Wakuu nimeangalia trend ya NMB, Leo kuna change ya 300+ kwene share !! Nikawaza ningekua nimewekeza milion 20 leo ningetengeneza hela hii 1=15380 Tsh X=20,000,000 Kwaiyo milion 20 ingekua ni sawa na hisa 20000000/15380=1,300.39 Ningekua na hisa 1300 Kwa ongezeko la leo 300+ =1300+300=1,600...
  6. JamiiForums Tanzania Umeichakata mbususu asubuhi hii?

    Kuichapa asubuhi, ni muhimu na ni nzuri kiafya. Hakuitaji maandalizi kwani mbususu inakuwa imejaa mafuta ya kutosha hivo ni mwendo wa kuteleza tu. Kabla ya kuanza hakikisha kwanza unampigisha mwenza wako msaki na mjuluba, kwani yale mate ya asubuhi ni dawa ya kurefusha na kunenepesha mjuluba...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Overdrive ON vs OFF: Ipi ni bora katika mazingira ya mjini ya kuendesha kwa speed ndogo na Kusimama simama.

    Katika mazingira ya mjini ambapo mara nyingi tunaendesha kwa mwendo mdogo chini ya 45 km/h na kusimama-simama kutokana na matuta, mashimo, wapita njia, foleni, bodaboda, bajaji, makutano ya barabara, n.k. je ni bora kuacha Overdrive ikiwa ON au kuizima (OFF)? Overdrive (O/D) ni gia ya juu...
  8. JamiiForums Tanzania Pombe: Ukweli Kuhusu Faida na Hatari Zake

    KWANINI WATU WANAKUNYWA POMBE? JE POMBE INA FAIDA NI HATARI KWA AFYA? Pombe (ethanol) ni kinywaji kinachotumiwa na watu wengi duniani, lakini ndani ya mwili wako hufanya kazi kama kemikali yenye nguvu inayobadilisha namna ubongo na mwili vinavyofanya kazi. Hii ndiyo sababu mtu akinywa hubadilika...
  9. JamiiForums Tanzania Faida za kutumia bawasiri powder na bawasiri flud

    NI DAWA INAYOTIBU BAWASIRI BILA UPASUAJI BAWASIRI FLUD & BAWASIRI POWDER ⚫ Ni dawa asili iliyofanyiwa utafiti wa hali ya juu yenye uwezo wa kutibu aina zote za bawasiri yaani bawasiri ya nje na dawasiri ya ndani(internal and External hemorrhoids). FAIDA AMBAZO MTUMIAJI HUPATA BAADA YA...
  10. JamiiForums Tanzania Yote kuhusu D.S.E: Kampuni zilizotengeneza faida kubwa 2020-2024

    Moja ya kipengele muhimu cha kuangalia kabla ya kununua Hisa za kampuni flani,ni Mapato ya kampuni. Kampuni inaweza ikawa ina thamani kubwa labda kutokana na muhemko wa soko katika hiko kipindi lakini unapokuja kwenye biashara,ni kampuni nyengine ndiyo inayoongoza kwa kuzalisha mapato makubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua faida za ibada za asili/ matambiko

    Habari za Ijumaa wana JF. Mimi leo nimeona nije na hii mada tajwa nahitaji kujifunza mambo ya asili hasa matambiko faida zake pamoja hasara zake kama zikiwepo. Na vitu gani vinatakiwa katika kukamilisha zoezi hilo la kutambika. NB: Mimi asili yangu mkurya itapendeza sana kurya iwe case study...
  12. JamiiForums Tanzania Wasomi Wataja Faida za Mradi Mkubwa wa Mafuta Tanga

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na mfanyabiashara Alhaji Aliko Dangote wawaibua wasomi ◇Ni kuhusu mradi kusafisha mafuta ghafi wa zaidi ya Sh trin 40. ◇Wakoshwa na Rais, wataja sababu 5 kwanini Tanga ipo kimkakati. ◇Ipo ya miundombinu ya EACOP, Jografia, soko Kusini mwa Afrika
  13. JamiiForums Tanzania Faida za muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni zipi?

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una faida zipi? Isije ikawa tunapinga tu jambo lenye faida/manufaa.
  14. JamiiForums Tanzania Faida ambazo ingepata nchi ya Tanzania na mkoa wa Tanga kama bilionea Dangote angejenga kiwanda Cha Mafuta

    Ikiwa mradi wa refinery ya mafuta ya Aliko Dangote (au mradi wowote wa ukubwa huo) ungejengwa Tanga, Tanzania ingenufaika kwa kiwango kikubwa sana kiuchumi, kijamii na kimkakati. Tanga ina sifa ya kipekee kutokana na kuwa mwisho wa bomba la mafuta kutoka Uganda (EACOP), hivyo kuwa kitovu cha...
  15. JamiiForums Tanzania SI KWELI CHADEMA wametumia Picha ya AI kuongeza idadi ya wafuasi kwenye mkutano wao Arusha?

  16. JamiiForums Tanzania Wazo langu kwa hawa wazazi wenzangu linaweza kuwa na faida?

    Kutokana na harakati za maisha za hapa na pale, nimejikuta nimezaa na wanawake mbali mbali nje ya ndoa; na kabla ya wao kuingia kwenye mahusiano walijua kabisa mimi namilikiwa na mrs Equation x. Ila kwa kutaka kupata chata tu ya equation x iliwalazimu wao wenyewe, kwa mida yao kujibebea mimba...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna faida gani kuwa tajiri?

    Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Nikitazama maisha wanayoishi matajiri nikalinganisha na maisha wanayoishi maskini, nashindwa kuona tofauti ya kimsingi iliyopo kati yao. Fikiria matajiri kama Dangote, MO29 au Bakhressa wanamiliki utajiri uliotapakaa nchi nzima na baadhi...
  18. JamiiForums Tanzania Ona Mabenki ya Tanzania Yalivyopiga Faida Kubwa Baada ya Kuwakamua Wananchi Kwa Riba Kubwa za Mikopo na Makato yasiyoeleweka.

    Benki ya CRDB imeongoza Kwa kupiga faida kubwa yaani super normal profit baada ya kuibia Watanzania Kwa riba kubwa na makato yasiyoeleweka. https://www.instagram.com/p/DXwCODMjpnq/?igsh=MXFyMnhrZGRwbGx4OQ== My Take Serikali Inafaa kuingilia Kati Ili kuokoa Wananchi kama inajali lakini...
  19. JamiiForums Tanzania Faida za Asali Mbichi isiyochakatwa

    Haina uchakataji mwingi: Asali mbichi haijapashwa joto kali, hivyo huhifadhi virutubisho vyote vya asili. Ina enzymes hai: Ina vimeng’enya vinavyosaidia mmeng’enyo wa chakula na afya ya mwili. Ina bakteria wazuri (probiotics kwa kiasi): Husaidia usawa wa bakteria kwenye mfumo wa chakula. Ina...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaozuia mtandao mpaka sasa wamepata faida gani?

    Tangu mwaka jana jukwaa hili lilizuiwa kwa muda wa siku 90 na TCRA. Tulipitia wakati mgumu sana kwa sababu hili jukwaa lina manufaa mengi sana hasa kwa ustawi wa taifa letu. Ni kupitia jukwaa hili ambapo wananchi huwasilisha kero na changamoto mbalimbali zinazowakabili. Ni kupitia jukwaa hili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…