faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Picha:-Ni tunda /Chakula gani cha Asili ambacho unakipenda zaidi?.Nitakuambia baadhi ya faida ya matunda hayo

    Kwanza nikili kuwa Kila mtu ana Tunda/chakula chake anachokipenda au anatamani ale Kila siku. Ni vyema Kila mtu ataje ikiwezekana kwa picha Aina ya chakula/Tunda hilo Halafu tutakuambia Lina faida gani kwenye mwili wako. Kariba. Tunda hili ni staferi pamoja na Topetope. Faida zake Papai...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Makadilio ya Gharama za Gym na Faida Yake

    Wakuu kwema, nipo kwenye kisenta flani hivi kimechangamka na hakuna gym. Naomba kujua mwenye ABC za gym hasara na faida zake, NB zisiwe zile too clasic Asanteni
  3. JamiiForums Tanzania LISSU na Msimamo wa CHADEMA, Je ni Faida au Hasara?

    1. Je, CHADEMA wanaweza kususia uchaguzi, NDIO, wanaweza kama chama lakini kwa sasa wametangaza hawatasusia uchaguzi, kwasababu waliwahi kuona madhara yake. Ukisusa wenzako wala 2. Je, CHADEMA wanaweza kuzuia Uchaguzi? HAPANA hiyo sio kazi yao, mwenye mamlaka ya kutangaza na kuhairisha uchaguzi...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini tunafundishwa namba za Kirumi shuleni? Je Zina faida gani maishani?

    Nikiwa elimu ya msingi, nimecharazwa sana bakora kisa namba za Kirumi. Huku maishani haya makorokocho hayajawahi kuniingizia hata Senti Moja. Kwanini wizara isiondoe masomo haya yakishenzi yasiyo na tija kwa taifa letu?
  5. JamiiForums Tanzania Zijue faida za kupiga punyeto kwa afya yako

    Tendo la kupiga punyeto ni tendo ambalo nimepingwa vikali na jamii na linaonekana kama ukosefu wa maadili katika mwanadamu. Ili kufanya watu waache kufanya tendo hili kuna watu walioleta hoja kadhaa kuwa tendo hili lina madhara kwa yeyote anayefanya hivi bila kufanya utafiti wowote. Kuna...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanamke msomi ni faida kwa ndugu zake na sio mume

    Bro, chukua hii. Usijidanganye huyo mwanamke msomi na mwenye kazi uliyeoa kwamba hiyo elimu na kazi yake itakuwa na faida kwenye ndoa yenu Bro, wanawake ni wachoyo na wabinafsi kupita maelezo, huo mshahara wake utaenda kwa wazazi na ndugu zake, kinachobaki atakitumia kwenye vipodozi, nguo...
  7. JamiiForums Tanzania Faida za mchaichai

    FAIDA ZA MCHAICHAI (LEMONGRASS) Huu Mmea ni Mmea Mkubwa sana ktk sekta ya Afya. Watu wengi wenye hekima wamelima mashamba makubwa ya mchaichai kwa ajili ya tiba. Huu Mmea kuna Magonjwa unatibu ambayo hayatibiki kirahisi kwa dawa za kisasa.. ila yanakuja kutibiwa na mmea huu , ambao ni...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Zijue Faida za Kuwahi Kwenye Ibada

    Zijue Faida za Kuwahi Kwenye Ibada Kutofika Kwenye Ibada kwa Wakati Imekuwa ni desturi au tabia ya watu wengi kutokufika sehemu fulani kwa wakati. Hili tunaliona katika maisha yetu ya kila siku. Wapo ambao kila siku ni kuchelewa sehemu zao za kazi. Wengine kuchelewa nyumba za ibada na sehemu...
  9. JamiiForums Tanzania Kupunguza kero ya Watumishi kuhama, Serikali ingefanya yafuatayo kwa faida ya wote

    Tuliona ajira za afya mwishoni mwa 2024, Pia Tumeona ajira za walimu zimetoka kwa baadhi ya mikoa mfano Dar, Moro, Pwani n.k na utaratibu ni ule ule, wanakupanga popote, sio ulipoombea wala ulipo, Kwa nini Kabla ya kutoa post za allocation za vituo kwa ajira mpya, mfano wanajua Dar, Shinyanga...
  10. JamiiForums Tanzania Fahamu faida ya mmea huu wa Nopal

    Napal cactus ni mmea wenye asili ya jangwani hasa unapatikana maeneo ya Afrika, Amerika na Asia. Kutokana faida zake na muingiliano wa watu imefanya kusamba maeneo mbalimbali duniani kote. Nopal imekuwa chakula pendwa zaidi Mexico, Asia na baadhi ya maeneo ya Afrika magharibi. hutumika zaidi...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Wimbi kubwa la wahitimu tegemezi wanaomaliza vyuo wasioweza kujitegemea, kuna faida ya kuwa na elimu ya chuo kama huwezi kujilisha?

    Tunawaona wahitimu wengi sana wakibaki majumbani au kwenda kwa dada zao walioolewa baada ya kuhitimu. Speaking from experience vijana wengi baada ya kumaliza chuo huanza kuomba ajira bila mafanikio (hawana connection, hawana experience), mwaka unakatika wanaona kujitolea (volunteering) kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Ongeza mafanikio: Faida tano muhimu za kuandika namba 24 kwenye kiganja cha mkono.

    ONGEZA MAFANIKIO: FAIDA TANO MUHIMU ZA KUANDIKA NAMBA 24 KWENYE KIGANJA CHA MKONO. SEHEMU YA PILI. 👉Katika sehemu iliyo pita niliweka msingi wa awali ili kuweza kuelewa ni nini hiyo namba 24. Ule ulikua kama mwanzo tu na kuna baadhi ya watu walikurupuka kwenda kuchora namba 24 kwenye viganja*...
  13. JamiiForums Tanzania Faida ya kupakia mizigo kwenye gari unayo agiza nje, unapunguza gharama ya usafiri

    Kwa wale wanao agiza magari nchi za Japan,China,Singapore,UK,Canada na USA kipindi unapo agiza gari kama umenunua bidhaa nyingine mfano spare,electronics,nguo na machine ni vyema ukapakia ndani ya gari uliagiza ili kupunguza gharama za kusafirisha hizo bidhaa kwenye meli nyingine. Unachotakiwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Faida ya Kikwete ni zipi kwenye uangalizi wake wa chaguzi za nchi nyingine?

    Faida ya Kikwete ni zipi kwenye uangalizi wake wa chaguzi za nchi nyingine? Huyu mzee ni wa ajabu sana akienda huko Kenya na mataifa mengine anajifanya ni wa kisasa na ni mtu wa demokrasia. Akirudi Nyumbani ni kujifungia Dodoma na wana CCM na hakuna demokrasia yeyote kwa manufaa ya tumbo lake na...
  15. JamiiForums Tanzania Nataka niingeze faida angalau Tsh 2000/= kwa siku UTT AMIS, niwekeze Tsh ngapi?

    Wakuu, nataka niwe napata faida ya Tsh 2000 Kila siku.. niwekeze Tsh ngapi UTT AMIS..? 2000/= kwangu inanitosha kabisa.
  16. JamiiForums Tanzania Huu mtindo wa CCM wa kuwapa madaraka ya juu wazee wastaafu waliochoka ndio utamaduni wao!

    Kuna vitu vinashangaza mnoo katika siasa za CCM ambapo kile kinachoimbwa majukwaani (kuwawezesha vijana na wanawake) ni tofauti kabisa na kile kinachofanyika. Hili la wazee wastaafu waliochoka na kuchokwa kurejeshwa kinguvu kwenye ulingo wa kisiasa ni miongoni mwa maajabu ya siasa za CCM. Hizi...
  17. JamiiForums Tanzania Msigwa: Wenje ni Muongo na Mzushi na aahidi sasa atamchana chana zaidi kwa faida ya wote

  18. JamiiForums Tanzania Faida za Parachichi kwa Nywele: Kutoka Grace Hair and Body Gardener

    Parachichi ni tunda ambalo limesheheni virutubisho muhimu kama potassium, amino acids, na protein, ambavyo ni muhimu kwa mwili wa binadamu. Leo, nitazungumzia umuhimu wa parachichi katika nywele na jinsi ya kutumia bidhaa ya Grace Hair and Body Gardener ambazo zimetengenezwa na mafuta ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kiuchumi: Faida za Kamari ni Zipi?

    (1) Hupunguza hamasa ya uzalishaji kwa kuwafanya watu waamini kuwa wanaweza kupata pesa kwa kucheza kamari tu. (2) Husaidia sana kuongezeka kwa idadi ya masikini na idadi ya matajir na hivyo kupanua pengo baina ya masikini na matajiri. (3) Hutengeza maskini wengi sana kwenye jamii na kupunguza...
  20. JamiiForums Tanzania Faida 6 za Ajabu za Asali kwa Ngozi Yako

    Asali imekuwa ikitumika kwa karne nyingi kama tiba asilia ya magonjwa mbalimbali, lakini je, unajua kuwa ina faida za ajabu kwa ngozi yako? Kutoka kwa unyevu hadi sifa za kupambana na chunusi, asali ni kiungo ambacho kinaweza kujumuishwa katika utaratibu wako wa kutunza ngozi. 1. Moisturizer ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…