Nijuavyo, kuna namna mbili za kujifunza:
~ Informational learning!
~ Transformational learning!
INFORMATIONAL LEARNING huhusisha kufundishwa. Ndiyo mfumo unaotumika shuleni.
Lakini TRANSFORMATIONAL LEARNING hutokea kwa jitihada binafsi za mtu. Mara nyingi, matokeo ya maarifa yapatikanayo kwa...