elimu

  1. JamiiForums Tanzania Maisha ya baadaye ya watoto wetu yanahitaji wawe na Elimu, network na investment

    Sina sababu ya kueleza mengi sna kuhusu Elimu na investment kwa kuwa kila mahali yanazungumzwa na kurudiwa rudiwa. Lakini watu wote wanasahau element muhimu sana ya network. Network ni namna ambavyo unajijenga ndani ya kundi muhimu la marafiki, washirika, alumnus mbalimbali na ata wale wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya pili Afrika kuamini uchawi na ushirikina. Elimu duni, kuamini dini sababu kuu za kuamini uchawi sana

    Nchi zinazoongoza kwa kuamini ushirikina (uchawi) barani Afrika. 1. Cameroon 2. Tanzania. DINI NI SABABU YA WATANZANIA KUAMINI SANA UCHAWI NA USHIRIKINA Ukiamini dini za ukristo na uislamu ni lazima pia uamini na ushirikina maana imani hizo zinategemana. Quran imeongelea ushirikina na ina...
  3. JamiiForums Tanzania Elimu ya biashara, uchumi na ujasiliamali ingeanza kufundishwa darasa la kwanza mpaka Phd

    Na sio hii kitu elimu ya dini, yaaaani serikali inafikia hatua kutilia mkazo tahahusi yza kidini wakati masuala ya umuhimu kama hapo juuu mtuu unakutana nayo secondary taifa tungekuwa mbali. Nawasilisha. Habari za jioni from Moshi town
  4. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ifafanue uwezo, sifa na elimu za Wakuu wa Wilaya na Mikoa

    Kuna vituko huko mikoani. Kuna wakuu wa wilaya na Mikoa hawajulikani Wana sifa zipi na elimu zao, kulingana na ujuzi wao kupewa nafasi hizo muhimu. Ninashauri Katiba mpya kuwepo kifungu cha Sheria kinachoonesha uwezo, sifa na elimu za wakuu wa wilaya na Mikoa. Niwatakie mchana mwema.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Jennifer Dickson: Mwanzilishi wa maktaba ya kijamii wilayani Mwanga atunukiwa tuzo ya Malkia wa Nguvu Ajaye 2024

    Mwanzilishi wa maktaba ya kijamii wilayani Mwanga, Jennifer Dickson akifurahia tuzo ya Malkia wa Nguvu ajaye katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. ------ Nyota ya Mwanafunzi wa Kike wa kitanzania Jennifer Dickson na mwanzilishi wa maktaba ya kijamii wilayani Mwanga anayesoma elimu ya...
  6. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Mkenda na wasaidizi wako

    Mimi si mtumishi wala kufanyakazi yoyote katika sekta ya elimu. Mimi ni mdau na mzazi. Mh waziri. Kila mtu atasema anavyotaka kwa kuwa nchi yetu ina uhuru wa kujielezea ili mradi hakuna sheria inayokiukwa. Mh. Katika sekta hii ya elimu siasa inatumika na haiepukiki. Lakini ni lazima tujiminye...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Duniani asilimia kubwa ya wanavyuo wana part-time jobs inayowafanya kuepuka kuwa tegemezi

    "Uko duniani asilimia kubwa ya wanavyuo wana part-time jobs inayowafanya kuepuka kuwa tegemezi pindi wanapograduate. Na hii inatokana na mifumo mizuri ya uendeshaji inayozingatia upatikanaji wa mda kwa mwanachuo kujitafuta nje ya ratiba ya masomo yake. "Huku kwetu, nmekutana na kijana mmoja...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mtaalam atoa elimu ya kuotesha miche ya michungwa

    ..Mtaalamu anaeleza hatua kwa hatua namna bora ya kuotesha miche ya Michungwa. ..Nadhani maarifa haya ni nadra kuyapata kwingine.
  9. JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kwa waajiri

    Salaam, Napenda kuchukua fursa hii kuwapa elimu kwenu wamiliki wa makampuni (wasimamizi wake) na wasiomiliki kampuni kwa maana biashara Local au wasimamizi wa ajira zisizo rasmi hasa linapokuja Suala la UAJIRI. Kitendo cha kumuajiri mfanyakazi kinakwenda sambamba na mambo yafuatayo: 1...
  10. JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri wa Elimu ya kwamba walimu wafanye mtihani kabla ya ajira ni ya udhalilishaji

    Watabisha sana lakini kauli ya waziri wa elimu kuhusu ajira za walimu ni kauli za udhalilishaji wa waalimu na Maprofesa wa vyuo husika! Kama mitaala ya vyuo vya walimu inasimamiwa na wizara ya elimu! Kama vyuo vyetu vina ubora unaokidhi vigezo! Kwanini waziri anawataka walimu wafanye mitihani...
  11. JamiiForums Tanzania Prof. Mkumbo aweka wazi muingiliano wa kimajukumu kati ya TAMISEMI na Wizara ya Elimu. Apanga kukaa vikao kutatua changamoto

    Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imebainisha leo Jumanne Mei 16, 2023, kwamba kuna mgongano na mwingiliano wa majukumu katika uendeshaji wa elimu na uendeshaji wa shule kwa ngazi ya elimu ya awali, msingi na sekondari. Kulingana na Mwenyekiti wa kamati hiyo, Profesa Kitila Mkumbo...
  12. JamiiForums Tanzania Mlikuwa mna maana gani kwenye tahasusi ya elimu za dini kutumia Divinity?

    Kuna sehemu kama inaonekana wa kristo wamekosewa heshima kuwekwa kwenye kundi divinity maana yake ni uungu. Mean A divinity is a religious being, like a god or angel. It's also a word for the study of religion, which is studied at divinity school. If you know the word divine means holy or...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta Mdada/Binti wa kazi Smart Mwenye Elimu Kuanzia Form 4 kwa ajili ya kazi ya duka

    Eneo Duka Lilipo : DAR - STOP OVER MAJUKUMU : 1.Kuuza Vitu Dukani 2.Kuwashawishi Wateja Kununua Kwa kuwaelezea Faida na Hasara ya Kutotumia Bidhaa Husika. 3.Usafi wa Vitu na Duka Zima kwa Ujumla 4.Ku record Mauzo ya Siku husika/Matumizi ya Siku Nzima,nk. SIFA ZA BINTI ANAEHITAJIKA 1.Uwe...
  14. JamiiForums Tanzania Madai ya Wanafunzi wa Rutabo kupewa chakula kidogo, Afisa Elimu asema 'tatizo ni siku ya Wali na Nyama'

    Baada ya member wa JamiiForums.com kuripoti kuwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Rutabo hawapewi Chakula cha Kutosha kutokana na uhaba wa Chakula na kudai kuwa hatua hazichukuliwi, Serikali imechukua hatua. Awali member alidai Shule hiyo inawapikia Wanafunzi Chakula kidogo hali inayowalazimu...
  15. JamiiForums Tanzania Binti yako kama hana elimu asikanyage Dar es Salaam

    Ndefu kidogo.... Leo acha niseme kidogo kuhusu dada zetu tuseme Betina aka Tyner. Picha linaanza akifika Dar, ngozi halisi inaanza kuonekana. Kumbe hakuwa mweusi tii bali ni rangi ya chokoleti. Maji ya chumvi, vipodozi, misosi flani, sabuni na mafuta anayoanza kupaka. Kombinesheni yote hii...
  16. JamiiForums Tanzania Majukumu ya Wizara ya Elimu na Wizara TAMISEMI kwenye elimu ni yapi

    Habari wananzengo, Napenda kujuzwa juu ya majukumu ya Wizara ya Elimu kwenye elimu na Wizara TAMISEMI kwenye elimu. Na, Je hakuna uwezekani majukumu yao kuingiliana?
  17. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda UN: Uganda imekidhi kuwa nchi ya uchumi wa kati wa chini (lower-middle income) baada ya kuboresha afya, elimu na viwango vya kipato kwa wananchi

    Umoja wa Mataifa (UN) umetangaza kuwa Uganda imekidhi vigezo vya kuorodheshwa kama nchi ya kipato cha kati cha chini (lower-middle income) baada ya kuboresha kwa kiasi kikubwa afya, elimu na viwango vya kipato vya wananchi wake. Bibi Susan Ngongi Namondo, mratibu wa Umoja wa Mataifa nchini...
  18. JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania ina shida gani? Eti Physics, Kiswahili na Geography nayo ni combination moja

    Lengo ni nini? Haya maamuzi yamefanyika kwa kushirikisha wataalamu kweli? Tunakusudia kujenga taifa la aina gani? Mtu akisoma Physics, Kiswahili na Economics (PKE) anaadaliwa kuwa nani? Au anayesoma Chemistry, Comerce na Mathematics (CCM) mnamuandaa kuwa nani kama sio kuwa chawa? Nadhani idadi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wa vyuo vikuu wengi wana depression. Vijana ambao hawajavuka hata form 4 wanazidi kujipata tu, sababu hawana aibu na hawajipi class ya juu

    Elimu ya chuo kikuu ni muhimu lakini karama ya kuzalisha pesa ni muhimu zaidi. Average age ya kuhitimu ama kumaliza digrii ya kwanza Tanzania ni miaka 24. Vijana wengi waliohitimu chuo wana msongo mkubwa wa mawazo sababu ajira hakuna. Na pia elimu imewaweka daraja la juu hawawezi kufanya kazi...
  20. JamiiForums Tanzania Picha: Maoni ya mdau kuhusu tofauti ya wazungu na waafrika katika elimu

    Picha inajieleza. Comments za wadau zinahuzunisha zaidi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…