elimu

  1. JamiiForums Tanzania Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), kuanza kuandika Vitabu vya Kiada kwa Masomo ya Ufundi Kidato cha Kwanza hadi cha nne

    Akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa makubaliano hayo jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Juni 17, 2021 Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk. Leonard Akwilapo amesema ni wazi kuwa wataalamu wa masomo ya ufundi wapo kwenye vyuo vya ufundi na hana shaka na wataalamu...
  2. JamiiForums Tanzania Mnaoshindana na Diamond na ninyi basi anzeni kukata viuno ili mshindane vizuri

    Nimekua nikishangaa sana baadhi ya wanasiasa badala ya kufanya kazi ambayo Watanzania wamewatuma kufanya sasa wamegeuka kushindana na Diamond. Kijana wa watu anajituma kwa akili na uwezo wake sasa kuna wanasiasa wameibuka mitandaoni na kuanza kumsemasema kijana wa watu. Sasa mimi naona ili...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi wenzetu mnawezaje kutunza hela? Tupeane elimu kidogo ya kutunza pesa

    Wadau wenye elimu kidogo ya kutunza pesa ebu tuelimishane yaaani mimi kwakweli nimeshindwa kabisa yaaani utanipa laki sasa hivi lazima nitaitumia tu yaani lazima litatokea jambo linahitaji hiyo laki na zaidi yaani sijui inakuwaje kila nikisema hii situmii utasakia mtoto sijui anaumwa yaani...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali, nina elimu ya kidato cha nne

    Natafuta kazi yoyote halali. Elimu yangu ni kidato cha nne pia nimehitimu mafunzo ya udereva veta ila sina uzoefu sana sababu sijawahi fanya kazi ya udereva popote ila nikipewa kazi nafanya properly.
  5. JamiiForums Tanzania Mzizi mkuu wa changamoto za mfumo wa Elimu Tanzania

    Mzizi mkuu wa changamoto za mfumo wa Elimu Tanzania ni kwamba RoteLearning ndio injini, moyo na roho ya elimu rasmi. Rote Learning ni mfumo wa kujifunza ambao mwanafunzi hutakiwa kukariri na kukumbuka. Mbadala wake ni pamoja na mbinu za kujifunza zinazozingatia fikra tunduizi, majaribio ya...
  6. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Idara ya Elimu (Sekondari) Wilaya ya Ulanga wanafanya kazi kwa mazoea

    Habarini za muda huu ndugu zangu, Malalamiko yangu ni kwa Idara ya Elimu Sekondari katika wilaya ya Ulanga. Hawa jamaa sijui ni uzembe au kujisahau katika majukumu yao. Kumekuwa na utofauti wa ulipwaji stahiki mbalimbali kati ya idara ya msingi na sekondari. Mfano, suala la ulipaji nauli za...
  7. JamiiForums Tanzania Hongera JamiiForums, Sauti yenu Imefika Wizara ya Elimu kuhusu Watoto kutokufunga Shule Likizo

    Nimefurahi sana baada ya malalamiko yaliyotolewa hapa kuhusu Wanafunzi kutokufunga shule wakati wa Likizo. Nimeona barua ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kitengo cha Udhibiti Ubora wakizataka shule hizo kutoa maelezo kwa nini hawakufunga shule. Nikiwa kama Mwalimu kitaaluma naungana...
  8. JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga: wale wahudumu bungeni wana Elimu Kiasi gani?

    Habari za humu Wadau!? Kama mada inavyosema ni kuwa wale wahudumu bungeni wanapenda kuvaa sana vikoti mara leo nyekundu, mara siku nyingine bluu naomba kuuliza wana elimu kiasi gani? Form four au ni mpaka chuo, Na je ni kusomea kuwa mhudumu wa bunge au ni connection zako, naomba kujua...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kupewa elimu ya Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE)

    Habari za wakati huu. Kwa yoyote anaeweza kunipa elimu kidogo ya Soko la Hisa Dar es Salaam jinsi yakununua hisa na namna unavyo pata faida au hasara. ====== Unashauriwa kusoma>>> UCHUMI: Hisa ni nini? Maana ya soko la hisa na sababu za kupanda na kushuka kwa bei za hisa Uwekezaji katika...
  10. JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Serikali inatoa elimu bila ada sio elimu bure

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, David Silinde amesema serikali inatoa elimu bila ada sio elimu bure hivyo wazazi washiriki katika kutoa michango mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya shule. Aidha Waziri wa Elimu, Joyce Ndalichako amesema waraka wa serikali namba 3 wa 2016 ulieleza...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania Commission for Universities (TCU) Admissions Almanac for 2021/2022 Admission Cycle

    Tanzania Commission for Universities: News & Events 1. Final_Third Draft Admission Guidebook Equivalent Applicants 19052021.pdf 2. Undergraduate Admission Guidebook for 2021/2022 (For Holders of Form Six Qualifications) 3. Undergraduate Admission Guidebook for 2021/2022 (For Holders of...
  12. M

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro, toeni elimu kwa askari wa usalama barabarani; wanatuchelewesha kazini

    Wanabodi leo mara ya pili nimepatwa na shida ndiyo nikajua kuna tatizo. Nineamka saa 11 niwahi ofisini trafiki amekamata daladala yetu kisa dereva hakusimama kwenye zebra. Toka saa 12 hadi sasa hivi saa 1:30 tumekalishwa hapa wanamsubiria tajiri wa gari, vitu havieleweki kabisa. Nashindwa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu juu ya kozi hii ya kijana wangu!

    Amechaguliwa kwenda kusomea kozi ya performing and visual arts (bado siajajua kama ni certificate au diploma. Mzazi mimi sina uelewa wowote wa masuala ya elimu, achilia mbali habari za vyuo na makozi yake. Kwa kozi kama hiyo, wadau naomba mnijuze na kunishauri; itamfanya awe nani? Msaada wake...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Niko tayari kujitolea katika taasisi yoyote ya maswala ya Bima/ insurance kwa kazi yoyote nia kujifunza zaidi kwa elimu niliyonayo Asanteni

    Habari Wana JF, Kwa Jina Naitwa Steven Naishi Ilala Dar es salaaam namiaka 24 Pia ni Kijana mchapa Kazi mwaminifu kwa kila majukumu nayofanya, Katika swala langu la kielimu nimehitimu level zote ikiwemo O level, Advanced level na kwa sasa ni kijana naehitimu elimu yang yangu chuoni nikiwa...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri: Natarajia kuhamia Dar es Salaam

    Ni Kijana ninayetarajia kuelekea Dar kutafuta degree katika moja ya vyuo vilivyopo mkoani Dar es Salaam sasa kama kijana kuna muda ntahitajika kujichanganya katika shughuli mbalimbali za kujipatia kipato nipate hela ya kodi, chakula n.k Hivyo kwa wenyeji au waliowahi kuishi wanipatie maelekezo...
  16. JamiiForums Tanzania Panya Magawa astaafu kazi ya kufichua mabomu kimataifa

    Panya wa Tanzania mwenye sifa ya kufichua mabomu kimataifa astaafu Cambodia Magawa (panya) aliyejishindia tuzo kwa ushujaa wake anastaafu katika kazi yake ya kufichua mabomu yaliotegwa ardhini. Kila ugunduzi alioufanya ulipunguza hatari ya kuumia au kifo kwa watu wa Kambodia. Katika kazi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Je, Kilimo ni ajira?

    Uchumi wa viwanda unakuja baada ya kupitia hatua kadhaa wa kadha,uchumi wa viwanda unajengwa kuanzia kwenye mitaala na sera,sera ya elimu zinazohakisi uhalisia wa teknologia ya viwanda. Itakuwa ngumu kufanikiwa kwa kiwango kikubwa kama hatuwezi kupitia hatua muhimu.
  18. JamiiForums Tanzania Nani mwanzilishi wa mtaala wa elimu yetu?

    Samahani wakuu naomba kufahamu hilo kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Nimejaribu kujiuliza elimu yetu vs msaada katika maisha ya kawaida our educational is non creativity, hata ukiuliza nini matarajio hakuna anayeweza elezea zaidi ya baada ya kumaliza ntaajiriwa. Nimwaza sana juu ya elimu...
  19. JamiiForums Tanzania Elimu yangu ni kidato cha sita, natafuta ajira

    Habari za majukumu ndugu zangu, kwa mwenye connection ya ajira au kibarua naomba msaada, nipo MBEYA elimu kidato Cha sita naitaji nipambane ata kibarua kidgo ili nipate sehemu ya kujikeep bize nkisubr Mambo ya vyuo. Kwa mwenye msaada wowote namba yangu ni 0782284770
  20. JamiiForums Tanzania Sina nia mbaya, naomba kujua Elimu ya Babu Tale

    Shukrani kwa wote. Hivi kwanini hii nchi mtu akiwa na influence kidogo tu anakimbilia siasa? Wasanii, Comedian waigizaji wote wanataka Ubunge, hivi wana uelewa wa kutosha kuwapa dhamana ya kutuwakilisha bungeni kweli? Unaweza kuwa mzuri kwenye muziki lakini haimaanishi hata kwenye ubunge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…