ebola

  1. PAYE

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Hakuna mgonjwa wa Ebola Tanzania, wananchi zingatie hatua za kujikinga

    Wizara ya Afya imetoa taarifa muhimu kwa umma kuhusu mwenendo wa ugonjwa wa Ebola unaoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), pamoja na kugundulika kwa mgonjwa nchini Kenya aliyesafiri kutoka DRC. Hata hivyo, Wizara imesisitiza kuwa hadi sasa hakuna ugonjwa wa Ebola...
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Larry Madowo Anyimwa Visa ya El Salvador kwa Sababu ya Ebola; Kenya Yaingia Orodha ya Nchi 8 Zilizozuiwa

    Mwandishi wa habari wa CNN, Larry Madowo, amefichua kunyimwa visa ya kuingia El Salvador kutokana na masharti ya kiafya yaliyowekwa na nchi hiyo kufuatia taarifa za maambukizi ya Ebola nchini Kenya. Katika ujumbe aliouchapisha kwenye mtandao wa X, Madowo alisema ombi lake lilikataliwa wakati...
  3. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda Calls for Calm After Reported Ebola Case in Nigeria

    Uganda's Ministry of Health has urged the public to remain calm but vigilant following reports of a confirmed Ebola case in Nigeria involving a Nigerian national who had recently traveled to the eastern Democratic Republic of Congo (DRC). In a public statement issued by the Office of the...
  4. bahati93

    JamiiForums Tanzania America please msituache Afrika tuangamie na Ebola

    America please msituache tuangamie na Ebola, Ewe rais Donald Trump fanya zaidi ya kile alichofanya Obama mwaka 2014 alipoudhibiti mlipuko wa Ebola huko Liberia. Sisi bado ni watoto kwenu ata kama tumepishana kauli bado tunakumbuka hisani zenu, mlitutoa Utumwani, mkatufungulia dunia kwa...
  5. O

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, Ebola inaweza kuenea kwa kupitia hewa?

    Kufuatia taarifa za visa vya Ebola nchini Kenya, kumekuwa na hofu na mijadala mtandaoni kuhusu namna virusi hivyo vinavyoenea, huku baadhi ya watu wakihofia kuwa mtu anaweza kupata Ebola kwa kupumua hewa moja na mtu aliyeambukizwa. Lakini je, Ebola huenea kupitia hewa kama mafua, COVID-19 au surua?
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania yaimarisha ukaguzi wa Ebola mipakani, Wasafiri wanaotoka maeneo hatari kufuatiliwa kwa siku 21

    Serikali ya Tanzania imetangaza hatua mpya za kudhibiti kuenea kwa ugonjwa wa Ebola, ikiwataka wasafiri wote wanaoingia nchini humo kufanyiwa uchunguzi wa afya, huku wale wanaotoka maeneo yenye hatari kubwa ya maambukizi wakifuatiliwa kwa siku 21. Katika taarifa iliyotolewa Jumamosi, Oktoba 17...
  7. Mindyou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya nchini Kenya yathibitisha visa vipya Vinne vya Ebola

    Wizara ya Afya nchini Kenya imethibitisha kurekodiwa kwa visa vipya vinne vya virusi vya Ebola, na kufanya jumla ya wagonjwa nchini humo kufikia saba, ikiwa ni pamoja na kisa cha kwanza cha aliyefariki. Nchi hiyo haikuwa imewahi kuripoti kisa chochote cha Ebola hadi Oktoba 6, kufuatia kifo cha...
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yathibitisha Visa vipya 4 vya Ebola. Jumla ya Wagonjwa yafikia 7

    Kenya imethibitisha visa vinne vipya vya Ebola aina ya Bundibugyo, na kufanya jumla ya visa kufikia saba, akiwemo mgonjwa wa kwanza aliyefariki. Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa Afya, Patrick Amoth, wagonjwa hao ni ndugu wa karibu wa marehemu na wahudumu watatu wa afya waliomhudumia...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yathibitisha mgonjwa wa tatu wa Ebola aina ya Bundibugyo

    Kenya imethibitisha mgonjwa wa tatu wa Ebola aina ya Bundibugyo. - Mgonjwa ni mwanamke mwenye umri wa miaka 65, ambaye ni ndugu wa karibu wa wagonjwa wawili wa kwanza. Alikuwa amewekwa karantini baada ya kugunduliwa kuwa miongoni mwa watu walikutana moja kwa moja na wagonjwa wawili wa awali...
  10. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Congo imethibitisha visa 9,144 vya ugonjwa wa Ebola

    Mamlaka za afya nchini DRC zimeripoti visa 9,144 vilivyothibitishwa vya Ebola pamoja na vifo 4,410 tangu kuanza kwa mlipuko huo mwezi Mei. Kituo cha udhibiti wa magonjwa Africa CDC kimeuelezea mlipuko huo kuwa wa kasi zaidi kuwahi kushuhudiwa katika historia ya ugonjwa huo barani Afrika...
  11. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yathibitisha kisa cha pili cha Ebola, mgonjwa wa miaka 39 agundulika akiwa Karantini

    Kenya imethibitisha kisa cha pili cha Ebola, baada ya mgonjwa mwenye umri wa miaka 39, ambaye ni ndugu wa karibu wa mgonjwa wa kwanza, kupatikana na virusi hivyo akiwa karantini. Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Patrick Amoth, amethibitisha. Kisa hiki kipya kinaonyesha umuhimu wa...
  12. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Alitengwa Haraka" Au Alikaa Na Wagonjwa Wengine? - Ebola Yazua Utata Nairobi Hospital. Je, Ni Nani Anasema Ukweli?

    Kisa cha kwanza cha Ebola nchini Kenya sasa kimeibua maswali mapya kuhusu namna mgonjwa huyo alivyoshughulikiwa katika Nairobi Hospital, baada ya taarifa zinazokinzana kutoka kwa Wizara ya Afya, Uongozi wa Hospitali hiyo na baadhi ya wafanyakazi kuibua utata kuhusu hatua zilizochukuliwa kabla ya...
  13. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ebola Kenya: Watu 10 Wawekwa Karantini Huku 57 Wakifuatiliwa - Serikali Yataja Hospitali Na Idadi Ya Vitanda Vya Dharura

    Kenya imeongeza ufuatiliaji baada ya kuthibitisha kesi ya kwanza ya Ebola nchini, huku idadi ya watu waliotambuliwa kuwa walitangamana na mgonjwa ikifikia 57. Kati yao, 10 wamewekwa karantini, huku ufuatiliaji wa wengine ukiendelea na idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka. Mgonjwa huyo, raia wa...
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya mgonjwa wa Ebola kutangazwa, Mbunge Ndindi aonya kuwa kama kuna pesa zilitolewa na Wamarekani za Ebola Kenya watarudisha

    Mbunge wa Kiharu, Ndindi Nyoro, ametoa kauli kufuatia taarifa ya Serikali kuhusu kuthibitishwa kwa kisa cha kwanza cha Ebola nchini Kenya. Kauli hiyo imekuja baada ya Waziri wa Afya, Aden Duale, kuthibitisha kuwa mgonjwa huyo ni raia wa Kenya aliyekuwa akiishi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa wa kwanza afariki kwa Ebola nchini Kenya

    Alitokea DRC, akaja Uganda the akachukua flight to Nairobi . Alipelekwa kwenye isolation Center at Nairobi hospital ambapo amekufa usiku wa leo. My take: Badala ya Marais wote wa East Africa kuungana kuanzisha tafiti za vaccine, or any other control measures, yanaungana na Chivayo kuiba hela...
  16. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Yathibitisha Kisa cha Kwanza cha Ebola Nairobi mtu mmoja afariki

    Kenya imethibitisha kisa cha kwanza cha Ebola nchini, huku Wizara ya Afya ikisema kisa hicho ni cha mtu aliyeingia nchini kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Waziri wa Afya, Aden Duale, alisema mgonjwa huyo ni raia wa Kenya ambaye amekuwa akiishi nchini DRC kwa miaka saba. Kwa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania DR Congo: Mwanasiasa auawa baada ya kuhamasisha uelewa kuhusu Ebola

    Mwanasiasa wa chama tawala nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Marie-Celestin Karondwa, amepigwa hadi kufariki dunia baada ya kushiriki kipindi cha redio kilicholenga kutoa elimu kuhusu Ebola. Tukio hilo lilitokea Jumapili, Septemba 27, 2026, Mjini Butembo, Mkoa wa Kivu Kaskazini...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mwitiko wa China kwenye Ebola nchini DRC waonyesha China ni mshirika wa kuaminika kwenye sekta ya afya kwa Afrika

    Kuanzia nusu ya pili ya mwaka huu, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kong ilikumbwa na mlipuko mpya wa ugonjwa wa Ebola, ambao hadi kufikia tarehe 22 mwezi Agosti, watu zaidi ya 5,500 walikuwa wamethibitishwa kuambukizwa ugonjwa huo, na zaidi ya 2,600 walikuwa wamethibitishwa kuambukizwa. Kwa kuwa...
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpox yafikia Kaunti 40, Watu 19 wafariki, huku Kenya ikijiandaa na tishio jingine la Ebola

    Kenya sasa imerekodi visa 1,298 vya Mpox na vifo 19 katika counties 40, huku serikali ikiongeza maandalizi dhidi ya Ebola kutokana na kuendelea kwa mlipuko huo katika ukanda wa Afrika. Takwimu za Ministry of Health zinaonyesha Mombasa ndiyo inaongoza kwa visa 452, ikifuatiwa na Nairobi yenye...
  20. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Club African yasingizia Ebola hili kubadilishiwa uwanja dhidi ya TP Mazembe

    Club Africain ya Tunisia yaomba kubadilishuwa uwanja dhidi ya TP Mazembe kwa kisingizio cha Ugonjwa wa Ebola, mechi hiyo ilipangwa kupigwa pale Lubumbashi ila Club Africain wametaka uwanja ubadilishwe
Back
Top Bottom