duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoyo Zhou

    Mashindano ya Mashua ya Dragoni ya Kichina yakaribishwa duniani

    Siku hizi Wachina wanaoishi sehemu mbalimbali duniani wamefanya mashindano ya Mashua ya Dragoni ili kusherehekea Tamasha la kijadi la Mashua za Dragoni. Katika miaka ya hivi karibuni, mashindano hayo yamekaribishwa na watu wa nchi mbalimbali duniani. Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na...
  2. Victor Mlaki

    Umekuja na zawadi ya kipekee Duniani itoe acha kufuata mtiririko; Hauwezi kumfurahisha kila mtu

    Uwepo wa mtu yeyote Duniani ni uwepo wa zawadi awe anajua au hajui. Uumbaji umeweka zawadi ndani ya kila kitu kwa ajili ya kila kitu. Zawadi uliyokuja nayo siyo kwa ajili yako ila ni kwa ajili ya Jamii. Mti wa muembe zawadi unayoitoa ni maembe ila wenyewe hauli maembe. Zawadi uliyokuja nayo ni...
  3. Abelaurent

    Duniani sisi ni wahamiaji kutoka Mercury

    Habarini wana wa JF, Natumaini mko salama na afya njema. Kwa wale ambao kwa namna moja au nyingine hawako katika hali nzuri kiafya, nawaombea pumziko na nafuu katika miili yenu. Ningependa uzi huu usomwe na “The JF Great Thinkers” pamoja na wadau wengine wote mnaopenda mijadala ya kina ya...
  4. Waufukweni

    Ripoti: Akili Unde (AI) yachochea ongezeko la ukatili mtandaoni dhidi ya Wanawake Duniani

    Ripoti ya The Economist Intelligence Unit (EIU) kwa kushirikiana na mashirika ya Umoja wa Mataifa kama UN Women na UNFPA inasema kuwa ukatili unaochochewa na teknolojia na mifumo ya Akili Unde (AI) umekuwa dharura kubwa ya kimataifa, ambapo kati ya asilimia 16 hadi 58 ya wanawake duniani...
  5. S

    Jiandae mabadiliko makubwa sana ya kiuchumi yanakuja duniani kati ya sasa na kuendelea

    Kwanza kabisa niseme kuwa hayo niliyoandika hapo chini ni summary kwa mujibu wa yale ambayo Mungu anawaonyesha watu wake katika ulimwengu wa roho na kwa hiyo sifa heshima utukufu arudishiwe Mungu na si mwanadamu awaye yeyote yule. Ni upendo mkubwa sana wa Mungu kuwa hutujulisha wanadamu yale...
  6. adriz

    Sherehe na maandano makubwa ya Mashoga Duniani yamefanyika Tel Aviv Israel baada ya kusimama kwa miaka miwili

    Moja kwa moja. Hatimaye jana Tarehe 12 /6 /2026 lile parade kubwa na maarufu zaidi la Mashoga Duniani "Pride Parade" limefanyika Tel Aviv , baada ya October 7 kutokana na tishio la kiusalama tamasha Hilo kubwa la LGBTQ halikufanyika limekuja tena kufanyika mwaka huu na inakadiwa watu takribani...
  7. Equation x

    Kusudi la kuwepo duniani ni lipi?

    Ni kuwepo duniani ili kutafuta hela, kushindana au ni kuwepo duniani ili tuishi? Nimejaribu kufanya utafiti mdogo na kugundua kuwa, watu wengi wanatumia nguvu kubwa ya kutafuta hela, vyeo, kushindana ukubwa, wingi wa mali n.k; sasa nikawa najiuliza hawa kweli wanajua kusudi la kuwepo duniani...
  8. Parabolic

    Dkt. Nchimbi kumwakilisha Rais Samia Siku ya Mazingira Duniani Dodoma

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dk Emmanuel Nchimbi anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Siku ya Mazingira Duniani (WED) 2026 akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassani, ambapo kitaifa yanafanyika leo Juni 5, 2026 jijini Dodoma katika...
  9. Mstahiki Mea

    Nifanye nini ili niwe tajiri number 1 duniani?

    Anayejua pakuanzia wadau natamani sana siku namimi niandikwe forbers kama tajiri number moja duniani naomba ushauri nadhani mimi ni mtanzania wapili baada ya ule kijana mwingine wa madale tunaomba ushauri kufanikisha ndoto zetu japo sijui pakuanzia
  10. R

    JF ina raha yake! Unapata habari yoyote unayoihitaki duniani hasa baada ya kifunguliwa/ kuifungua, maana vpn kilikuwa ni kipengere

    ASANTE Maxence Melo and Team! Raha tupu!
  11. Mkalukungone Mwamba

    World Meteorological Organization zinaonyesha kuwa hali ya El Niño inaendelea kujitokeza na inatarajiwa kuathiri mifumo ya joto na mvua duniani

    Jiandaeni kwa El Niño. Taarifa za hivi karibuni kutoka World Meteorological Organization zinaonyesha kuwa hali ya El Niño inaendelea kujitokeza na inatarajiwa kuathiri mifumo ya joto na mvua duniani, jambo ambalo linaongeza hatari ya matukio makubwa ya hali ya hewa katika miezi ijayo. Ingawa...
  12. gonya

    Data Science: Nguzo mpya ya maendeleo ya kiuchumi Tanzania na Duniani

    Katika karne ya 21, dunia imeingia katika enzi mpya ya kidijitali ambapo kila kitu kinategemea taarifa (data). Kila unapotumia simu yako, kufanya malipo ya kidijitali, kuvinjari mitandao ya kijamii, au hata kutazama video mtandaoni, unazalisha data. Data hii, ikiwa itachambuliwa vizuri, inaweza...
  13. Moto wa volcano

    Bruh jiheshimu kamwe usi Double text Huyo sio mwanamke peke yake Duniani

    Gentleman ijue thamani yako usitumie nguvu nyingi kwa mwanamke ambaye ha match energy yako . Statistics inaonesha wanawake ni wengi zaidi , look for the other , usizingue tutakuvua ubingwa
  14. D

    Je, nini kifanyike ili kama Taifa tutoke kwenye mkwamo wa kidiplomasia duniani?

    Kama taifa tunapitia matukio magumu. Hayajawahi tokea huko nyuma. Kabla ya Okt29 hakuna aliyeamini kama yangeweza tokea machafuko ya vile, mimi ni mmoja wapo. Kuna wadau nakumbuka niliwakatalia kabisa kwamba baada ya uchaguzi hata kama kutatokea uonevu basi wananchi tutanywea. Kilichotokea baada...
  15. SAMBOZAM

    Mbinu 75 za kuwa homeless duniani

    Achana na mkeo 2. Nenda ulaya urudi 3. Soma sana 4. Usisome kabisa 5. Jua kuandika 6. Uwe mwongeaji 7. Ujue hotuba za nyerere 8. Hamia mkoa nilioko kwa sasa 9. Usijue soko liko umbali gani 10. Safiri mikoa mingi 11. Ishi hotelini muda mrefu 12. Ishi lodge muda mrefu 13. Pata fedha usisafiri...
  16. MamaSamia2025

    Mwalimu Jambau wa Singida apewe tuzo ya heshima na NCHI kwa kuvumbua vipaji vya watoto na kuhakikisha wanakuwa wanariadha wakubwa duniani

    Kuna watu wachache sana duniani ambao pesa sio kipaumbele chao cha kwanza maishani. Yaani wanaweza fanya kitu bila kuzingatia maslahi yoyote ya kifedha. Mwalimu Jambau wa shule ya msingi Lighwa huko Singida ni miongoni mwao. Hauwezi kuzungumzia mafanikio ya wanariadha wakubwa toka mkoani Singida...
  17. I

    Ford Foundation Misaada au Mtego wa Kimataifa? Historia ya FF je ina mchango wowote klatika uchochezi wa machafuko popote Duniani haswa Afrika

    Uchunguzi wa Kina · JICHO La Afrika 2026 | Makala ya Uchunguzi Uchunguzi Maalum NA ITS MALEKOGJ. malekoj27@gmail.com 0798888486 Ford Foundation: Siri Zilizofichwa kwa Miaka 70 — Jinsi Philanthropy Inavyoweza Kuwa Silaha ya Kisiasa Kipindi TUTAKACHOANGALIA 1936 – 2025 Nchi Zilizohusika...
  18. X

    BBC: "Watengenezaji wa magari duniani wanapata shida kushindana na China"

    Baada ya BBC kutembelea viwanda vya magari ya umeme Beijing na Hefei kisha ikatembelea Beijing Auto Show 2026, maonyesho makubwa zaidi ya magari duniani: "China imepiga hatua kubwa ya kiteknolojia, ubunifu, ufanisi na kasi ya maendeleo inayovutia na kutisha kwa wakati mmoja. Kiasi kwamba hata...
  19. Zack Abdul

    Tanzania Nchi 10 Bora kwa Ukuaji Uchumi Duniani

    Tanzania imeendelea kujiweka katika ramani ya dunia baada ya kutajwa kuwa miongoni mwa nchi 10 zilizokuwa na ukuaji mkubwa zaidi wa uchumi duniani katika kipindi cha robo karne iliyopita. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Tanzania imeorodheshwa pamoja na mataifa kama China, India, Vietnam, Ethiopia...
  20. Echolima1

    Israel haijawahi kuvamia/Kuchokoza nchi yoyote duniani!!!

    Kumekuwa na dhana potofu zinazoenezwa na Wafuga Midevu na Majini wakiongozwa na Mzee wa UHARO Ritz na mjinga mwenzako zitto junior wakidai kuwa Israel ni wachokozi na wanavamia nchi zingine. Nami nimeamua leo kuwapa ukweli kuwa Israel haijawahi kuichokoza/kuishambulia nchi yoyote duniani...
Back
Top Bottom