duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Kwa nini Aliens kutoka anga za mbali hawajawahi kutufikia duniani??

    https://youtu.be/92sonpfS18U?si=LmJKb6a5XRMFnHQW
  2. M

    Ndio maana Muumba wetu akatupa muongozo (Katiba) tuufate dunia nzima ili kuepusha haya yanatokea duniani

    Ili kuepusha kupendeleana, dhulma baina yetu, kupendeleana, kuoneana ili jamii ipate haki, usawa, amani na utulivu. Muumba wetu atupa Quran na Sunnah ili jamii tuifuate na ituongoze. Lakini leo hii mambo yamekuwa shaghla baghla. Wasiokuwa waislam hasa mataifa ya magharibi yanaibika vita, nchi...
  3. H

    Dkt. Mwigulu: Njaa duniani inahitaji suluhisho la muda mrefu

    DKT. MWIGULU: NJAA DUNIANI INAHITAJI SULUHISHO LA MUDA MREFU Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema mapambano dhidi ya njaa yanahitaji uwekezaji wa muda mrefu katika kilimo endelevu, maendeleo ya vijijini na mifumo imara ya chakula, sambamba na misaada ya dharura. Amesema hayo Oktoba 22...
  4. Haitakaa iwepo Demokrasia duniani

    Hadi pale nchi zote zitakapo kuwa na nguvu sawa ya kijeshi na vyama vyote vitakapo kuwa na nguvu sawa za kijeshi.
  5. M

    Uislamu ndio dini ya haki duniani

    Kwanini mambo haya sisi waislam tunapenda kuyaficha na tunayafanya sana mfano kwetu Zanzibar,Tanga na dar es salaam Yani ulawiti ni jambo la kawaida madrasa
  6. UV CCM BAADA YA KUAMBIWA NI WALA RUSHWA WASEMA SAMIA NI MUNGU WA 3 DUNIANI

  7. Tundu Lisu hana record yoyote ya kuaminika kwamba ni mtetezi wa haki za binadamu iwe ni kwao Singida, Tanzania, Africa au kokote duniani.

    Na kwahivyo, hakustahili hata kuorodheshwa tu miongoni mwa watetezi wa haki za binadamu wa kuwania tuzo ya haki za binadamu ya kimataifa ya SHAKHAROV. Zaidi ya yeye tundu lisu kua mkiuka haki za binadamu na katiba ya nchi yake, kama kuna mdau yeyote wa heshima wa JF mwenye ushahidi wa records...
  8. Je unajua kwanini upo hapa Duniani?

    Kusudi la sisi kuwepo hapa duniani ni nini hasa, ikiwa kila sekunde watu wapya wanaendelea kuzaliwa na kuingia kwenye huu mzunguko wa kijinga? Hivi hamuoni kama tunaishi kwenye utani mkubwa sana uliopitiliza?. Eti tunazaliwa ili tuje kumuabudu Mungu. Serious? Yaani Mungu Mwenyezi, Muumba wa...
  9. Hii ndio dini number moja kwa masharti magumu zadi duniani

    Kwenye ulimwengu ambapo kila dini inahubiri utakatifu na maisha ya ucha Mungu, kuna imani moja kutoka nchini India inayovuka mipaka yote ya akili ya kibinadamu—Ujaini (Jainism). Hii si dini ya kawaida; ni nidhamu ya kiwango cha juu cha kiroho ili uweze kuwa mtakatifu kweli. Wajaini wana fuata...
  10. Lula asiposhinda Brazil itakuwa mwisho wa Demokrasia duniani

    Lula asiposhinda Brazil itakuwa mwisho wa nchi Demokrasia duniani, waliopata Demokrasia wataendelea kubaki hao hao, demokrasia itatoweka kwao pia. Ambao hawakupata demokrasia hawatakaa waipate.
  11. C

    Tanzania yashika nafasi ya 6 Duniani kwa watu ambao wanaoishi na umasikini

    Taasisi ya World Data Lab imetoa takwimu mpya zinazoonyesha nchi zenye idadi kubwa zaidi ya watu wanaoishi katika hali ya umaskini uliokithiri duniani kwa mwaka 2026. Kulingana na data hizo, Nigeria inongoza orodha hiyo kwa kuwa na watu milioni 73.1 wanaoishi katika umaskini uliokithiri...
  12. Tanzania yashika nafasi ya sita kwa kuwa na masikini wengi zaidi Duniani

    Utafiti uliofanywa na taasisi ya World Data Lab umeitaja Tanzania kuwa nchi ya sita katika orodha ya nchi ambazo watu wake wanaishi kwenye umaskini uliopindukia (extreme poverty). Lakini wiki iliyopita serikali ilitangaza kuuza hatifungani (bond) ya miaka 25 ambayo ilikuwa inalipa kiwango cha...
  13. Watu wanaoishi katika umaskini uliokithiri duniani huwaza kuhusu ngono na uchawi, wakiamini kuwa wamelogwa

    Utafiti unaonyesha kuwa 100% ya watu wanaoishi katika umaskini uliokithiri duniani huwaza kuhusu ngono na uchawi, wakiamini kuwa wamelogwa na ndugu zao au kwamba mmoja wao alitolewa kafara. Huwezi kumkuta maskini akiwaza maendeleo; never! Mawazo yao ni ngono, unafiki, umbea na majungu...
  14. Gari Ghali Zaidi Duniani: Mercedes 300 SLR!

    Kama unadhani Bugatti Chiron ya dola milioni 3.5 (TSh bilioni 9.5) ndiyo mwisho wa matumizi ya kijinga ya fedha, basi hujaiona 1955 Mercedes-Benz 300 SLR Uhlenhaut Coupé iliyouzwa kwa dola milioni 142 (TSh bilioni 380)! Kwa bei ya Mercedes hii moja tu, unaweza kununua msururu wa Bugatti Chiron...
  15. Baadhi ya roho huja duniani ili tu kufunga kurasa ambazo familia zao waliziacha wazi

    Ishara kwamba pengine hutazaliwa tena upya (hutaingia kwenye mzunguko mwingine wa roho) Reincarnation... 1. Hukuwahi kupata watoto, na wala hukuwa na hamu nao kabisa. Hukuona sababu ya kuacha uzao nyuma yako ili kuthibitisha kuwa umetimiza yaliyokuleta duniani. Ni kana kwamba mikosi, laana, au...
  16. Kamera kubwa zaidi duniani ilivyopiga picha za kushangaza zaidi

    Juu katika Milima ya Andes nchini Chile, Kituo cha Uchunguzi cha Vera C. Rubin kina kamera kubwa zaidi ya kidigitali kuwahi kujengwa duniani, mashine iliyoundwa kunasa picha za Ulimwengu kwa undani ambao haujawahi kufikiwa hapo awali. Ujenzi wa kituo hicho ulianza mwaka 2015, na kilitoa picha...
  17. Tanzania bado ni ya 5 duniani kwa maambukizi ya UKIMWI. Usidanganyike na zile chudai za kavu kavu ukaona kawaida kuteleza. Jilinde na linda na wenzako

    Inawezekana kwa VVU kudumu miaka 8 bila kusababisha dalili zinazoonekana na baadhi ya watu huishi na VVU kwa miaka 10 bila kujua kwamba wana VVU. SOURCE: UNIAIDS
  18. Masomo tuliyoyadharau shule ndiyo dili duniani huko, Civics na General Studies, tujiendeleze wakuu

    Maswali alioa kua anaulizwa jihan ndio Yale tulio ya DHARAU mwanzo, issues za civics mfano life skills, hizo mambo tulikua hatugusi tunapiga chini heee kumbe DILI. Walio soma science subjects, Kuna namna hawana uwezo wa kujieleza duniani huko arts subjects tuliwachukulia poa ila wako vizuri...
  19. Kweli nyani haoni kundule hapa duniani!

    Katika kuperuzi peruzi kwangu huko mitandaoni nilijionea mbunge wa ujerumani aliyeshiriki katika mkutano wa 153 hapa arusha akilaama juu ya disappearance ya watu hapa Tanzania, lakini nikajiuliza je hili ni lakwetu pekee?,nikakuta hapana, Nilichokikuta ni kwamba katika kanchi kadogo kama...
  20. Heri ya Siku ya Afya ya Akili Duniani!

    Kwa nje unaweza ukawa unaonekana mwenye furaha na mafanikio, lakini kwa ndani unapambana na mzigo wa sonoma(depression) na wasiwasi uliopitiliza (anxiety). Kila siku unaweza ukawa unaamka na uchochoro wa msongo wa mawazo unaotokana na changamoto za maisha na hofu ya kuonekana "dhaifu" kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…