Ili kuepusha kupendeleana, dhulma baina yetu, kupendeleana, kuoneana ili jamii ipate haki, usawa, amani na utulivu. Muumba wetu atupa Quran na Sunnah ili jamii tuifuate na ituongoze.
Lakini leo hii mambo yamekuwa shaghla baghla.
Wasiokuwa waislam hasa mataifa ya magharibi yanaibika vita, nchi...
DKT. MWIGULU: NJAA DUNIANI INAHITAJI SULUHISHO LA MUDA MREFU
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema mapambano dhidi ya njaa yanahitaji uwekezaji wa muda mrefu katika kilimo endelevu, maendeleo ya vijijini na mifumo imara ya chakula, sambamba na misaada ya dharura.
Amesema hayo Oktoba 22...
Kwanini mambo haya sisi waislam tunapenda kuyaficha na tunayafanya sana mfano kwetu Zanzibar,Tanga na dar es salaam Yani ulawiti ni jambo la kawaida madrasa
Na kwahivyo,
hakustahili hata kuorodheshwa tu miongoni mwa watetezi wa haki za binadamu wa kuwania tuzo ya haki za binadamu ya kimataifa ya SHAKHAROV.
Zaidi ya yeye tundu lisu kua mkiuka haki za binadamu na katiba ya nchi yake,
kama kuna mdau yeyote wa heshima wa JF mwenye ushahidi wa records...
Kusudi la sisi kuwepo hapa duniani ni nini hasa, ikiwa kila sekunde watu wapya wanaendelea kuzaliwa na kuingia kwenye huu mzunguko wa kijinga? Hivi hamuoni kama tunaishi kwenye utani mkubwa sana uliopitiliza?.
Eti tunazaliwa ili tuje kumuabudu Mungu. Serious? Yaani Mungu Mwenyezi, Muumba wa...
Kwenye ulimwengu ambapo kila dini inahubiri utakatifu na maisha ya ucha Mungu, kuna imani moja kutoka nchini India inayovuka mipaka yote ya akili ya kibinadamu—Ujaini (Jainism). Hii si dini ya kawaida; ni nidhamu ya kiwango cha juu cha kiroho ili uweze kuwa mtakatifu kweli.
Wajaini wana fuata...
Lula asiposhinda Brazil itakuwa mwisho wa nchi Demokrasia duniani, waliopata Demokrasia wataendelea kubaki hao hao, demokrasia itatoweka kwao pia. Ambao hawakupata demokrasia hawatakaa waipate.
Taasisi ya World Data Lab imetoa takwimu mpya zinazoonyesha nchi zenye idadi kubwa zaidi ya watu wanaoishi katika hali ya umaskini uliokithiri duniani kwa mwaka 2026.
Kulingana na data hizo, Nigeria inongoza orodha hiyo kwa kuwa na watu milioni 73.1 wanaoishi katika umaskini uliokithiri...
Utafiti uliofanywa na taasisi ya World Data Lab umeitaja Tanzania kuwa nchi ya sita katika orodha ya nchi ambazo watu wake wanaishi kwenye umaskini uliopindukia (extreme poverty). Lakini wiki iliyopita serikali ilitangaza kuuza hatifungani (bond) ya miaka 25 ambayo ilikuwa inalipa kiwango cha...
Utafiti unaonyesha kuwa 100% ya watu wanaoishi katika umaskini uliokithiri duniani huwaza kuhusu ngono na uchawi, wakiamini kuwa wamelogwa na ndugu zao au kwamba mmoja wao alitolewa kafara.
Huwezi kumkuta maskini akiwaza maendeleo; never! Mawazo yao ni ngono, unafiki, umbea na majungu...
Kama unadhani Bugatti Chiron ya dola milioni 3.5 (TSh bilioni 9.5) ndiyo mwisho wa matumizi ya kijinga ya fedha, basi hujaiona 1955 Mercedes-Benz 300 SLR Uhlenhaut Coupé iliyouzwa kwa dola milioni 142 (TSh bilioni 380)!
Kwa bei ya Mercedes hii moja tu, unaweza kununua msururu wa Bugatti Chiron...
Ishara kwamba pengine hutazaliwa tena upya (hutaingia kwenye mzunguko mwingine wa roho) Reincarnation...
1. Hukuwahi kupata watoto, na wala hukuwa na hamu nao kabisa. Hukuona sababu ya kuacha uzao nyuma yako ili kuthibitisha kuwa umetimiza yaliyokuleta duniani.
Ni kana kwamba mikosi, laana, au...
Juu katika Milima ya Andes nchini Chile, Kituo cha Uchunguzi cha Vera C. Rubin kina kamera kubwa zaidi ya kidigitali kuwahi kujengwa duniani, mashine iliyoundwa kunasa picha za Ulimwengu kwa undani ambao haujawahi kufikiwa hapo awali. Ujenzi wa kituo hicho ulianza mwaka 2015, na kilitoa picha...
Inawezekana kwa VVU kudumu miaka 8 bila kusababisha dalili zinazoonekana na baadhi ya watu huishi na VVU kwa miaka 10 bila kujua kwamba wana VVU.
SOURCE: UNIAIDS
Maswali alioa kua anaulizwa jihan ndio Yale tulio ya DHARAU mwanzo, issues za civics mfano life skills, hizo mambo tulikua hatugusi tunapiga chini heee kumbe DILI.
Walio soma science subjects, Kuna namna hawana uwezo wa kujieleza duniani huko arts subjects tuliwachukulia poa ila wako vizuri...
Katika kuperuzi peruzi kwangu huko mitandaoni nilijionea mbunge wa ujerumani aliyeshiriki katika mkutano wa 153 hapa arusha akilaama juu ya disappearance ya watu hapa Tanzania, lakini nikajiuliza je hili ni lakwetu pekee?,nikakuta hapana,
Nilichokikuta ni kwamba katika kanchi kadogo kama...
Kwa nje unaweza ukawa unaonekana mwenye furaha na mafanikio, lakini kwa ndani unapambana na mzigo wa sonoma(depression) na wasiwasi uliopitiliza (anxiety).
Kila siku unaweza ukawa unaamka na uchochoro wa msongo wa mawazo unaotokana na changamoto za maisha na hofu ya kuonekana "dhaifu" kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.