duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naona anayekuja kumrithi Diamond kwa kujulikana Tanzania na duniani ni mimi

    Hii ni affirmation.. Mtake msitake, am the next big thing Wacha nisiongee sana. Ila ndio hivyo.. I'm gonna be knowned all over the world by 2040. God, is King, he showed me the vision and am gonna make it happen.
  2. I

    Kazi za kuongopwa duniani!

    Ukipewa Bora utafute nchi ya kwenda uhamishoni . Nchi Kuwa na Zero Inflation
  3. NI KWANINI MPAKA LEO HAKUNA SHERIA YA KUILINDA NDOA DUNIANI UKITOA NCHI ZINAZOFATA SHARIA.

    Mpaka leo napoandika mada hii nakamilisha uchunguzi wangu wa kina katika swala la ndoa na kuhitimisha na swali moja.Ni kwanini mpaka leo hakuna nchi iliyopitisha sheria ya kuilinda ndoa kwa wanandoa? Mfano hakuna sheria ya ugoni.Yaani hakuna sheria kuwa nikikulombea mkeo utanishtaki wala hakuna...
  4. Israel yaongoza kwa teknolojia mbalimbali zenye manufaa kwa ulimwengu wote na Waarabu waongo za kwa mauaji ya kikatili duniani!!

    Hongera sana kwa Taifa Teule la Israel kwa kuwa wavumbuzi wa vitu mbalimbali ambavyo vina said Ila watu kote duniani. Na inasikitisha sana kwa watu wanaojiita Eti Wapalestina kwa wao kugundua Ugaidi, kuteka nyara watu na kuua watu kikatili na mambo mengine ya ajabu kuwafanya watu wengine!! Kwa...
  5. Wanawake wamemuangusha CEO namba moja duniani!

    Kweli wanaume wadhaifu sana kwenye uchi wa mwanamke, Jensen Huang CEO wa NVIDIA kampuni namba mbili kwa thamani duniani na inayoongoza kwenye AI amebwaga manyanga kwa kujiuzulu na kutimua mbio asifukuzwe na bodi ya NVIDIA baada kuingia katika skendo mbili za michepuko nje ya ndoa, mchepuko...
  6. Hakuna siku kutatokea mapinduzi ya kidaraja duniani?

    Kadri ambavyo watu wachache duniani wanazidi kuwa matajiri wakineemeka na kuishi maisha ya kifahari huku watu wengi zaidi wakiishi maisha ya ufukara na kwa kipato duni cha siku tu je hakuna siku yatatokea yale mapinduzi aliyosema Karl Marx ya darala la watu masikini wavuja jasho kuvamia daraja...
  7. Wanasiasa mashuhuri zaidi duniani walishawahi kufungwa

    Wanasiasa mashuhuri zaidi duniani, wengi wao walishawahi kufungwa. Achana na Nelson Mandela au Jomo Kenyatta, usifikirie kabisa kujikumbusha kuhusu Kamuzu Banda, hivi unajua nini kuhusu kufungwa kwa Kwame Nkrumah? Unajua kuwa Robert Mugabe aliwahi kufungwa? Tafuta taarifa za Olusegun...
  8. Hata sielewi namna mambo yalivyo duniani

    Tunazaliwa bila hiari yetu. Tunapewa masharti ya kuishi as if ulikubali kuja kuishi kwa masharti. Hivi ni nini maana halisi ya uwepo if all we do is end up dying.. Je kuna kusudi lolote la sisi kuwepo, beside kuzaliwa, kuishi na kufa? Maana we are living as if this life is our own and then...
  9. Kwa nini kuna masikini duniani ?

    Kwa nini kuna masikini duniani? Kwa nini serikali za nchi duniani zinaruhusu kuwepo masikini huku wachache wakiwa ni mabilionea ? Kwa nini zisichukue sehemu ya utajiri wa mabilioniea kuwagaia masikini? Kwa nini masikini hawajiungia pamoja kudai na kuwalazimisha matajiri wawagawie utajiri wao ?
  10. Kwa kweli Marekani ni model wa Demokrasia duniani.

    Kwa kweli Marekani ni model wa demokrasia duniani. Uchaguzi imefanyika ndani ya masaa sita washindi washajulikana na walioshindwa wamekubali kushindwa na maisha yanasogea. Hadi Rais kichaa Trump kakubali kushindwa na kuahidi kufanya kazi na democrats. Kwa marekani usipotekeleza sera zako...
  11. Ubepari utakufa duniani. Tusiusogelee!

    Huwezi kumiliki utajiri mwingi katikati ya watu wengi masikini ukabaki salama. Ni swala la muda tu iko siku watakunyang'anya kutegemea na hali yao itakavyoendelea kuwa bora au mbaya zaidi. Kama hali ya wengi kiuchumi itaendelea kuboreka watakuheshimu kwa utajiri wako, lakini kama hali zao...
  12. Ishi maisha ukijua duniani ni mahari pa mapito

    Kesho hatuijui, tukiwa kama binadamu, tuache dhambi, mipombe, ulevi, dhuluma, chuki, ni ushetani, Mungu wetu anapenda mtu mwenye moyo wa kujutia na toba ya kweli
  13. Waafrika tunajidharay sana ila duniani kote hakuna jamii yenye watu wakatili, wasiokuwa na utu na poor reasoning kama waarabu

    Kila sehemu hawa jamaa walipogusa lazima paache alama za ukatili. Ni aina ya watu wasiokumbatia facts bali mihemuko. Wanapenda kuona damu sana kuliko amani ndio maana wako radhi waue muyahudu na mkristo kama sifa hivi Hata baada ya miaka mingi kupita wamebaki kuwa namba moja katika jamii...
  14. R

    Maajabu: 80% ya wakimbizi duniani ni Waislamu, lakini hawaendi nchi za kiislamu ambazo ni 50 duniani! Kwanini?

    Hizi ni takwimu kutoka mtandaoni. Siwezi kuhakikisha ukweli wake, but all in all wengi wako Western World. Kwanini hawaendi kwa wenzao wanakwenda kwa " makafiri"? Ilham Omar ni mbunge Marekani, why not Pakistan Afghanistan and the like? kwanini alikimbikia kwa makafiri?
  15. vita, mauaji na machafuko si kitu kipya duniani, historia inatufundisha nini?

    Nashangaa kuona watu wanashangaa kana kwamba vurugu za kisiasa, mauaji na matumizi ya nguvu dhidi ya raia ni vitu ambavyo havijawahi kutokea duniani. Hebu tuangalie historia kidogo. Kuanzia falme za kale za China, wafalme wa Ulaya, vita vya kikoloni, mapinduzi, vita vya dunia hadi migogoro ya...
  16. Kuna watu wana mioyo ya chuma! Jamaa amemaliza miaka 28 akitembea kwa miguu duniani kote bila kupanda boti wala ndege

    Alikamatwa Darien Gap, akakutana na Dubu Siberia, kaogelea hadi Uingereza: Huyu ndiye Karl Bushby, mtu mwenye uthubutu mkubwa zaidi duniani! Je, unaweza kuvumilia miaka 28 ukiwa mbali na familia kwa ajili ya ndoto yako? Fahamu kisa cha Karl Bushby, mtu aliyetembea kwa miguu kutoka Chile hadi...
  17. Wafuasi CHADEMA na wanaharakati wa CHADEMA, Heshimuni Viongozi kwasababu serikali ni madhabahu ya Mungu hapa Duniani

    Serikali ni chombo chenye mamlaka ya kusimamia, kuongoza na kuendesha shughuli za eneo Fulani kama vile shule, kijiji, chuo au nchi kwa mujibu wa Katiba na sheria za sehemu husika au nchi husika. Ikumbukwe kuwa serikali zote Duniani ni madhabahu ya Mungu, yapaswa kuheshimiwa. Na hakuna mtu...
  18. K

    Kwa vile wakipotezwa, wakitekwa hawana wa kuwapigania wakae pembeni sote tuwe wapenzi watazamaji - duniani tunapita tu

    Huu ni ushauri uliojaa masikitiko na majonzi ndani yake. Machozi pekee hayatoshi kuwatia moyo, post za mitandaono hazitoshi kuwarudisha wanapotekwa, wanapopotezwa Yule aliyekuwa wakwao, alipoanza kuwaambia ukweli, wakamgeuka, wakamuwinda mwisho waliokuwa karibu yake wakachora ramani tukaishia...
  19. System haikutengenezwa kutukomboa, bali kutufanya watumwa

    Since a kid, used to feel like an outsider. Baada ya kujaribu ku fit in, naona imegoma kabisa. Unafanya kazi, mifumo inakufanya soul yako ijihisi kama iko kifungoni. Unajaribu kukaza, una burn out, ila utafanya je sasa, na hauja zaliwa na kuna MO, bakhresa? Kweli, the system wasn't...
  20. Ziwa Jipe hatarini kutoweka, samaki adimu wa ‘Jipe Tilapia’ wakabiliwa na tishio la kutoweka Duniani

    Andiko la Haika Kimaro, Kilimanjaro Ziwa Jipe, lililopo mpakani mwa Tanzania na Kenya, linakabiliwa na tishio kubwa la kupoteza uhai wake wa kiikolojia kutokana na kuongezeka kwa magugu maji, kupungua kwa kina cha maji, uharibifu wa mazingira na shughuli za kibinadamu zisizozingatia misingi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…