dunia

  1. X

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani wana economic cooperation with China? Dunia ina unafiki sana

    Moja ya jambo limeniacha na peace of mind ni kuwa neutral sana kwenye siasa za Tanzania zisizoeleweka. Nimeona mahali JF mleta mada ameleta document ya Desemba 2025 ambapo bunge la senate la Marekani limepanga kupitisha muswada unaagiza kutathmini ushirikiano wa Tanzania na China kijeshi...
  2. JamiiForums Tanzania Facts za kushangaza kuhusu satellites zinazozunguka dunia hivi sasa

    Watu wengi wakisikia satellite wanafikiria ni vifaa vichache tu vinavyozunguka dunia, lakini ukweli ni kwamba anga la karibu na dunia limejaa vitu vingi sana kuliko watu wanavyodhani. Kuna maelfu ya satellites zilizotumwa na nchi mbalimbali, makampuni binafsi, jeshi, vyuo vikuu na taasisi za...
  3. JamiiForums Tanzania Messi aumia kwenye mchezo wa ligi wiki chache kuelekea Kombe la Dunia, Waargentina wajawa na hofu

    Lionel Messi, nahodha wa Inter Miami na Argentina jana aliumia kwenye mchezo wa ligi ya MLS. Messi alitolewa dakika ya 73 na kuelekea moja kwa moja kwenye vyumba vya kubadilishia nguo huku akishika mguu wake. Hii inatokea wiki chache kabla ya mashindano makubwa ya World Cup. Jeraha la Messi...
  4. JamiiForums Tanzania Mambo tata ya dunia hufichwa gizani, huku ukweli ukipotezwa mbele ya macho yetu✍️

    👉Chanzo halisi cha uumbaji wa dunia bado ni mjadala mkubwa wenye mitazamo ya dini, sayansi na falsafa. 👉Siri ya maisha baada ya kifo imeendelea kuwa fumbo linalowagawa wanaoamini mbingu, kuzimu au kutokuwepo kwa maisha mengine. 👉Swali la kama Mungu yupo au hayupo linaendelea kuzua...
  5. JamiiForums Tanzania Kisa Ebola, Kikosi cha DR Congo cha Kombe la Dunia kukaa Karantini kwa Siku 21 ili kuruhusiwa kuingia Marekani

    Kikosi cha Kombe la Dunia cha DR Congo kitalazimika kujitenga kwa uangalizi maalum wa afya nchini Ubelgiji kwa siku 21 mfululizo ili kuruhusiwa kuingia Marekani. Hatua hiyo ya kiusalama imewekwa na maafisa wa Marekani kutokana na mlipuko unaoendelea wa ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kikosi cha wachezaji 26 cha Uingereza ( England ) Chini ya Thomas Tuchel kuelekea kombe la Dunia 2026 ( USA , Mexico , Canada )

    Tayari mkufuzi Tuchel kataja majina ya wachezaji watakao wakilisha Taifa la Uingereza ( England ) kwenye mashindano ya Kombe la Dunia Kikosi hiki kimepokelewa kwa mitazamo tofauti na wapenzi wa soka ulimwenguni ( mashabiki ) kukosekana kwa Wharton toka Cyrstal Palace , Levi Colwill toka...
  7. JamiiForums Tanzania Huyu mdada msomali nimesoma nae Kenya, leo naona picha ya marekani kwa kujipatia pesa kitapeli, aisee dunia ni ndogo😁

    AIsee fahima what happened😬 👇
  8. JamiiForums Tanzania Je, unaweza kweli kujilinda mwenyewe kwenye dunia ya sasa yenye hatari nyingi?

    Katika maisha ya sasa, watu wengi wameanza kuona umuhimu wa kujifunza self-defense kutokana na kuongezeka kwa matukio ya uhalifu, unyanyasaji, na mazingira yasiyotabirika. Lakini kujilinda sio kupigana tu — ni kujua namna ya kuwa salama, kuwa na confidence, na kufanya maamuzi sahihi kwenye hali...
  9. JamiiForums Tanzania Inawezekana kubalance kazi na maisha binafsi kwenye dunia ya sasa?

    Katika maisha ya sasa, watu wengi wamejikuta wakitumia muda mwingi kwenye kazi, biashara, au internet kiasi cha kusahau afya zao, familia, mahusiano, na muda wa kupumzika. Wengine wana pesa lakini hawana peace of mind, huku wengine wakichoka mentally kutokana na pressure za maisha ya kila siku...
  10. JamiiForums Tanzania Ni nani anaeindesha dunia?

    Ni nani anaetaka dunia iende kwa favour yake? Ni nani ana panga sytstem, structures and njia za maisha? eli -DEFIANT- cohen Mshana Jr Castle_Lite Maxence Melo
  11. X

    JamiiForums Tanzania Je, ulijua kati ya Benki 5 kubwa duniani 4 ni za China? Benki za Marekani zikifuata nyuma ya China

    The top 5 largest banks world largest banks by assets: 1. Industrial and Commercial Bank of China (ICBC) | China Assets: $7.30 trillion 2. Agricultural Bank of China | China Assets: $6.80 trillion 3. China Construction Bank | China Assets: $6.20trillion 4. Bank of China | China...
  12. JamiiForums Tanzania Akufukuzae Akwambii Toka, Kundi la Tanzania Kombe la dunia wanawake 2026 Poland

    Tanzania imepangwa Kundi B kwenye fainali za Kombe la Dunia kwa Wanawake U20 Poland 2026 #fifawomensworldcup @fifawomensworldcup @tanfootball
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania Yafuzu Kombe La Dunia la Wanawake U-20 Baada ya Kuwatandika Cameroon 2-0

    Congrats nyingi sana Kwa Timu ya Tanzania. Hongera Rais Samia na Mwinyi Kwa kuwanunulia mashabiki tiketi za Bure waje kushangilia timu yetu na hawajatuangisha. https://www.instagram.com/p/DYKofFiDbNy/?igsh=MTU3dHI1NGR2em04Ng== https://www.instagram.com/p/DYKismUjUz1/?igsh=MTcybGsycHV4NGxlcw==
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Ukishinda Dunia, Serikali Inashinda Pesa Yako — Sawe Tax Saga Yaibua Hasira Kenya

    “Hata Mabingwa Hawaponi!” — Sawe Tax Saga Yafungua Macho ya Wakenya Kuhusu Mzigo wa Ushuru Unaowakandamiza Wananchi Mjadala mkali umeibuka nchini baada ya taarifa kuwa marathon star alikatwa karibu KSh 18 million kama tax kutoka kwa winnings zake za zaidi ya KSh 48 million baada ya mashindano...
  15. JamiiForums Tanzania Mpo kwenye starehe, si mumeo, unabeba Mimba! Hivi una akili sawasawa?

    MPO KWENYE STAREHE, SI MUMEO UNABEBA MIMBA. HIVI UNAAKILI SAWASAWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Baba. 1. Binti Yangu, usijeniletea aibu za rejareja hapa. 2. Nilikufundisha tangu mwanzo, anayepata madhara zaidi ndiye anatakiwa kujihami. Nikakuambia Jambo lolote ambalo wewe ndio utakuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Muombolezaji afariki Dunia kwenye Msiba wa James Temba, Mwanafunzi Wa IFM Kilimanjaro

    Mwombolezaji Leah Ngowi, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 60 mkazi wa Kiboriloni wilayani Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, amefariki dunia akiwa kwenye msiba wa aliyekuwa mwanafunzi wa Taasisi ya Usimamizi wa Fedha (IFM), James Temba (24). Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Mei 7, 2026...
  17. JamiiForums Tanzania Wanne mbaroni kuhusiana na kesi ya James Temba

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya kikatili ya mwanafunzi wa Chuo cha IFM, James Rogers Temba, ambaye mwili wake ulikutwa ukielea kwenye maji ya Mto Msimbazi, eneo la Kipawa Ilala ukiwa hauna kichwa, Aprili 30, 2026. Polisi tayari...
  18. JamiiForums Tanzania Chanjo chini ya kalio..! Sitara ya huba ndani ya pepo ya dunia

    CHAPA YA NDANI KWA NDANI😋 Kwenye kuta za faragha, penye sitara na siri, chanjo chini ya ushaga, pasipo jicho la siri,Si jeraha la mahaba, bali pendo la fahari, Chale yako kalioni, alama isofutika. Hukuvaa kifuniko, kile cha asali wala kisepe angavu, Kwa mahaba ulinikaribishaa, hadi ndani...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Dunia haiheshimu walioanza mbio bali waliomaliza na matope ndio watakaoheshimika

    Dunia haiheshimu walioanza mbio kisha kuishia njiani bali inawaheshimu waliomaliza wakiwa na matope magotini. Kujikwaa sio laana bali nembo ya mashujaa kwamba ulikuwa uwanjani, hukubaki benchi Kwa hiyo ukianguka leo, tabasamu kisha jua Umepewa sababu nyingine ya kukimbia kwa hasira zaidi...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania yaingia kwenye ramani ya Dunia katika uzalishaji na Msambazaji wa Gesi ya Helium

    SONGWE: Tanzania imeanza rasmi Safari Mpya ya Kihistoria ikiingia kwenye ramani ya dunia kama Mzalishaji na Msambazaji wa kimkakati wa Gesi ya Helium. Hatua hiyo inafuatia baada ya kusainiwa kwa Mkataba wa Uchimbaji wa gesi hiyo baina ya Serikali na kampuni ya Helium One Global Limited kupitia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…