dunia

  1. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kusaidia Mataifa ya Afrika kuelekea kombe la dunia kufika mbali katika mashindano?

    Kumekuwa na hali ya mazoea au unyonge ambao mataifa ya Afrika kuwa nayo katika mashindano ya kombe la Dunia na ni wazi huonekana fikra na mawazo yq kushindwa au kutokufanya vizuri kuanzia katika akili zao(saikolojia) hadi vitendo kwa mara ya kwanza nimemuona rais wa chama cha soka cha cameroon...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Yanga imeifunga Club ya Tunisia, ambayo inashiriki kombe la Dunia, Malawi na Angola hazijawahi

    Yanga imeifunga Club kutoka Tunisia ambayo inashiriki Kombe la Dunia mwaka huu, na ni timu ambayo inafanya vizuri sana AFCON, na timu za taifa kutoka nchi za kiarabu kama Egypt, Tunisia, Morroco, Algeria huwa zinaundwa na wachezaji kutoka ligi ya ndani. Tofauti kabisa na timu za taifa za nchi...
  3. JamiiForums Tanzania Crazy! Hivi kuna nchi inaongozwa vizuri sasa hivi Dunia hii?

    Naona kama kuna mtandao mkubwa Dunia nzima ambao umejipanga kuharibu na kubomoa mfumo wa Dunia kama tuujuavyo, Sasa hivi sidhani kama kuna nchi inaongozwa vizuri au ina Kiongozi yoyote wa maana anayejali haswa maslahi ya watu, Dunia nzima is f--ked up now, hakuna pa kukimbilia.
  4. JamiiForums Tanzania TANZIA Stekamba Dunia, member wa JF ni mmoja wa marehemu wa ajali ya Ndege Bukoba

    Ajali ya ndege iliyoua watu 19 kule Bukoba imeondoka na mmoja wa member wa JF Stekamba Dunia
  5. JamiiForums Tanzania Pesa ya Kombe la Dunia Qatar

    Pesa ya Kombe la Dunia huko Qatar 2022 hii hapa: • Winner - USD $42m (97.9b tsh) • Runner-up - USD $40m (93.2b tsh) • Third Place - USD $27m (62.9b tsh) • Fourth Place - USD $25m (58.3b tsh) • Quarter-Finals - USD $17m (39.7b tsh) • Round of 16 - USD $13m (30.3b tsh). Unashabikia timu gani na...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Najaribu kufikiri kama Albert Einstein angelikuwa hai mpaka leo, elimu ya sayansi kuhusu dunia ingekuwa imefika wapi?

    1. Special theory of relativity 2. General theory of relativity 3. Time dilation 4. Warping of spacetime 5. Spacetime continuum 6. E=mc2 7. Gravity as bending of spacetime 8............................................... Hivi vitu ni vigumu kuvielewa.......
  7. JamiiForums Tanzania Dunia imegeuka, ni heri ya Trump kuliko Biden.

    Dunia Iko sehemu mbaya ya uhaba wa nishati, chakula, kupanda kwa maisha na kukaribia vita vya nukilia kutokana na vita na vikwazo dhidi ya Russia. Wakati Trump alikuwa anaamini kwenye dialogue Biden anaamini kwenye mtutu wa bunduki. Trump alifanya mazungumzo mengi na watu anaotofautiana nao la...
  8. L

    JamiiForums Tanzania CPC inajali mustakabali wa Dunia

    Gianna Amani Wadau mbalimbali wameeleza kuwa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) kinajali mstakabali wa watu wote duniani, amani haki na ushiriki wa pamoja katika kutatua changamoto zinazoikabili dunia hivi sasa na siku zijazo. Hayo yalielezwa na baadhi ya wachangia mada na washiriki katika...
  9. JamiiForums Tanzania Historia ya dunia inapaswa kumkumbuka huyu mwamba wa Kirusi, kwani alishawahi kuuokoa ulimwengu

    Huyu mwamba hapo pichani anaitwa bwana Vachili Archipov. Alikuwa ni mwanajeshi wa jeshi la Urusi kitengo cha kulipua mabomu kwenye manowari jeshi ya kivita huko Urusi, wakati huo ikijulikana kama USSR (Ukraine ilikuwa sehemu ya USSR). Ilikuwaje kuwaje mpaka akauokoa ulimwengu dhidi ya maafa...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dunia haina usawa, Miguna Miguna kaamua kulianzisha dhidi ya Raila Odinga

    Huyu jamaa kama mnakumbukumbu ndiye aliyemwapisha aliyekuwa jamaa yake wakati huo ndugu Raila Odinga baada ya uchaguzi uliompatia ushindi Rais mstaafu Uhuru Kenyatta. Jamaa baada ya kuona mambo magumu alikimbilia uhamishoni Canada. Katika hali isiyokuwa ya kawaida jana amempiga na kitu kizito...
  11. JamiiForums Tanzania Tunisia hatarini kufungiwa na kukosa Kombe la Dunia

    Hali hiyo inaweza kutokea ikiwa ni mwezi mmoja tu umesalia kabla ya kuanza kwa michuano hiyo Nchini Qatar kama Serikali ya Tunisia itaendelea kuingilia masuala ya soka. Onyo hilo limetolewa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) baada ya Waziri wa Vijana na Michezo wa Tunisia, Kamel Deguiche...
  12. JamiiForums Tanzania Usikubali Mtu akaandika Historia yako. Andika mwenyewe Kwa ajili ya watoto/kizazi chako

    USIKKUBALI MTU MWINGINE AKAANDIKA HISTORIA YAKO, ANDIKA MWENYEWE KWA AJILI YA WATOTO/KIZAZI CHAKO. Anaandika Robert Heriel Baba Wakati Sisi wengine tukishindwa kutaja vizazi hata Vinne Kurudi nyuma, mfano, Baba, Babu, Baba yake Babu. Babu yake Babu. Wenzetu Wayahudi watoto wao wanauwezo wa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano mkuu wa 20 wa CPC una umaalum gani kwa dunia?

    Mkutano Mkuu wa 20 wa Wajumbe Wote wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) umefanyika hivi karibuni mjini Beijing. Matokeo makubwa ya kisiasa na kiitikadi yaliyopatikana kwenye mkutano huo si kama tu yataekeleza maendeleo ya China katika kipindi kichacho, bali pia yatanufaisha dunia nzima...
  14. L

    JamiiForums Tanzania China inaithibitishia dunia kuwa njia za kisasa

    Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC ulimalizika hivi karibuni mjini Beijing. “Njia ya China Kujiendeleza Kisasa” iliyotolewa kwenye Mkutano huo sio tu ilivunja mantiki ya baadhi ya nchi kwamba "usasa ndio mtindo wa kimagharibi”, bali pia inatoa njia mpya ya kujiendeleza...
  15. JamiiForums Tanzania Pamoja na kumtenga Dunia bado inamuhitaji Russia

    US nuclear industry has a Russia problem New state-funded atomic energy reactors need the type of fuel only Moscow can provide US nuclear industry has a Russia problem. US companies may fail to launch next generation nuclear power plants with new Small Modular Reactors (SMR) without supplies...
  16. JamiiForums Tanzania Ronaldo kama ataendelea na tabia zake za ovyo basi atajipotezea heshima yake ndani ya Dunia ya Soka

    Jana 20 October 2022 ilichezeka mechi kati ya Manchester United na Tottenham Spurs, mechi za Ligi Kuu ya Uingereza EPL na mechi ikaisha kwa ushindi kwa Manchester United iliondoka na ushindi wa goli 2 kwa 0 ndani ya dimba la Old Trafford. Tukio lililovuma zaidi la Cr7 timu yake ilishinda mchezo...
  17. JamiiForums Tanzania Kamanda wa Bavicha Calvin Lekule afariki dunia -Alitabiriwa kifo wiki moja nyuma

    Habari wana JF, Chadema imepata pigo kwa kumpoteza kamanda Calvin Lekule ambaye alikuwa mpambanaji sana, Lekule alikuwa mwanaharakati kama alivyo mdude, alikuwa anapinga sana police brutality na uonevu wa aina yeyote kwa vitendo na bila kuogopa. Wiki moja iliyopita alitabiriwa kifo na mmoja wa...
  18. JamiiForums Tanzania 🚨Boni akauliza Hivi Mazda Atenza Upatikanaji wa Spear na Body parts ukoje, wajumbe wakamjibu Dunia ishakua Kijiji we nunua tu usiwaze..

    Hili jibu alipewa Bonilove wakati anataka kununua Mazda Atenza na Boni Bila hiyana akavuta mzigo na picha ndo likaanzia hapa,.. . Boni ni mkazi wa makao makuu ya nchi wenyewe wanapaita Dodoma na ni mmoja wa wasirikali waliotoka Dar wakaenda Dom Kikazi, Ni kijana flani mtu wa maji, misosi na...
  19. JamiiForums Tanzania N'Golo Kante kukosa Michuano ya Kombe la Dunia 2022 baada ya kufanyiwa upasuaji

    Kiungo huyo wa Chelsea na Ufaransa amefanyiwa upasuaji kutoka na majeraha ya nyama za paja ambayo yatamuweka nje ya uwanja kwa muda wa miezi minne. Kante, 31, alipata majeraha hayo wakati katika mechi ya sare 2-2 dhidi ya Tottenham, Agosti 14, 2022 na tangu hapo hajawa fiti kurejea uwanjani...
  20. JamiiForums Tanzania Haupo ulivyo, Dunia haipo ilivyo!

    HAUPO ULIVYO! DUNIA HAIPO ILIVYO! Mpaka miaka mitano iliyopita sikuwa naamini katika mambo ya kiroho, niliamini katika elimu yangu,na bahati mbaya nilikua nimesomea mambo ya sayansi katika miaka yangu yote ya sekondari(kidato I-VI)hivyo niliamini sana katika elimu, sayansi na teknolojia,wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…