Israel mambo yake yanaogofya sana! Kama taifa lenu halipo timamu kujifanya kutunishia misuli Israel basi mjue mnaweza msitoboe miaka ijao.
Kisa cha kwanza punda kuongea.
Baalam
wakati wana wa Israel wametoka Utumwani misri wanaelekea taifani mwao waliweka kambi pembezoni mwa mto jordan eneo la...
KUNA MUDA DUNIA INAWAPENDELEA WENYE PESA TU 😔
Huu ni ukweli mchungu kwa maskini ila ndio ukweli ama uukatae au uukubali bado utabaki tu kuwa ukweli .
Dunia sio salama sana kwa Maskini japo kuna mambo tunasema ni mpango wa Mungu ila waathirika wakubwa hata kwenye hayo mambo huwa ni Maskini...
Habari wanajf!
Basi kama kawaida yetu kujadili na kupeana mawili matatu, basi leo nakuletea mambo yaliyopo duniani ambao kwa 99% ndio uhalisia.
Hii ni tafiti yenye ushahidi wa kutosha, mambo hayo ni;
1. Ukitaka kukosa furaha jaribu kufuatilia mambo ya watu, kama kufuatilia imani za watu...
PICHA KUONESHA ALIYEKUWA BEKI WA KAIZER CHIEF
Beki wa Kaizer Chiefs Luke Fleurs amefariki dunia kwa kusikitisha baada ya kupigwa risasi wakati wa utekaji nyara.
Siwezi kuamini hili baada ya kumuona siku chache zilizopita, wakati wa huzuni ya ajabu, rambirambi zangu za dhati kwa wapendwa wake...
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.
Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu...
Hawa jamaa huwa wanaijihisi kuwa wao ndio wanajua kumuabudu Mungu kuliko wengine, Mungu muumba wa dunia aliona mbali sana, kuwanyima mamlaka hawa jamaa.
Licha ya wengi wo kuisoma dini vilivyo, ila hekima miongoni mwao ni sifuri kabisa.
Wakiwa kwenye hii funga yao basi watatangaza dunia nzima...
Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania, Silas Lucas Isangi akikabidhi vifaa vya Michezo kwa nahodha wa timu Dectaforce Boniface na Msaidizi wake Hamida Nassoro Mussa Kwa niaba ya Wanariadha 9 na Kocha mmoja wanaokwenda kwenye Mbio za Dunia za Nyika Huko Belgrade, Nchini Serbia.
Rais amekabidhi...
Kijana mmoja aliejulikana kwa jina maarufu chinga Mwenye wa miaka 48 amekunywa sumu akiwa katika kituo cha polisi Murieti Mkoa wa Arusha.
Kijana huyo Mkazi wa FFU iliyopo kata ya Murieti alikuwa akifanya kazi migodini ya uchimbaji wa Madini alikuwa na mgogoro wa kifamilia yeye na. Mke wake...
Mkuu wa dunia hii ni MUNGU wa mbinguni, ila asilimia kubwa ya watu wanamuabidu shetani na Mungu anepewa kisogo.
Ngoja nikueleze kitu. Kuna vitu vya kwanza kabisa ni lazima uviwahi ili uiteke hii dunia. Shetani kapiga bao kubwa kwa sababu vitu vyote katika dunia hii, vile vikubwa amevishikilia...
Hapa ngoja nizungumze kitu kimoja, muone jinsi dunia ilivyo. Hii dunia ina watawala wake ambao kimsingi si wale wanaomuabudu Mungu, kuna mambo mengi wanataka kuyaficha, hawataki wewe uyajue hata kidogo. Yaani kuna taarifa hutakiwi kuwa nazo.
Hata hapa Tanzania hii ipo, yaani kuna taarifa ambazo...
Assalam Alaykum!
Wadau wa JF kila siku kumekuwepo na kawaida ya kuunda nyuzi tofauti za watu kuomba ushauri wa kujikwamua kimaisha lakini wengi wa wachangiaji hawaoneshi nia na azma ya kusaidia,waomba ushauri wengi huangukia patupu leo mimi @Muhafidhina nimeamua kutoa ushauri kwa vijana...
Nimepokea taarifa, mfanyabiashara maarufu nchini, Mustafa Sabodo amefariki Dunia. Sabodo ametokea mkoani Lindi na alijenga shule maarufu kule pia alifadhili chama cha upinzani cha Chadema
======
Mustafa Sabodo alizaliwa mwaka 1942 mkoani Lindi na alipata kusema ametoka kwenye familia yenye...
Wazungu wana Uingereza, Switzerland, france, n.k. - sina haja ya kuwaelezea sana
Waarabu wana uae na kuwait - Wametumia vema mafuta yao kwa maendeleo ya nchi zao.
Walatini wana uruguay, Chile- sio wenzetu tena hawa, wapo mbali mno.
Wachina wana china, korea, japan - viwanda kibao +...
Mgawanyo wa Elimu usiokubalika katika uislamu (Usio sahihi)
-Katika uislamu, HAKUNA mgawanyo wa Elimu Dunia na Elimu Akhera
-Mgawanyo huu ni potofu wenye dhana ovu kua kuna maisha ya dini yanayoongozwa na Mwenyezi MUNGU na maisha ya Dunia yanayoongozwa na binadamu
Katika uislamu elimu maana...
Mimi ni kijana ambae nina mshukuru sana Mungu tokea nimezaliwa hadi hapa nilipofikia, watu wamenisaidia na bado wana nisaidia.
Kuna Muda huwa nina kufuru au kukana kutkukubaliana na uwepo wa Mungu😭 hii ni kutokana na asilimia kubwa ya matarajio yangu tokea nikiwa mdogo hayakuwahi kutimia...
Baada ya maandalizi ya miezi kadhaa na mikutano rasmi iliyofanyika kwa siku tano, kikao cha sita cha Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEA-6) kilichofanyika mjini Nairobi, Kenya, hatimaye kimefikia tamati. Kikao hicho kilichoanza tarehe 26 Februari hadi Machi 1, kilipitisha maazimio 15...
Chama pekee kinacholazimisha wanachama na wao bila kupenda kukatwa michango yao ni cwt. Chama.cha walimu Tanzania.
Unaweza ukakipa nafasi ya kidunia katika vyama ambavyo 95% wanachama leo ukiwahoji muhitadha wao na chama watasema ni negative. Hawana mpango nacho na kwa.kuwa kuna mikono ya...
Ni ukweli kwamba mwegemeo wa dunia kwa sasa "global economic activity center of gravity " unajiegemeza bara la Asia hasa mataifa ya Uchina, Indonesia na India pamoja na Falme za Kiarabu. Hakuna ubishi tena kwamba enzi au zama za umangimeza wa nchi za Magharibi umeshafikia mwisho.
Nchi...