dunia

  1. JamiiForums Tanzania Geita: Watoto watatu wa familia moja Bukombe wajeruhiwa na radi, mmoja afariki Dunia

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linathibitisha kwamba Machi 23, 2025 majira ya saa 12 jioni katika Kitongoji cha Igwamanoni, Kijiji cha Kakoyoyo Wilayani Bukombe mtoto mmoja Ibrahim Masumbuko (09) mwanafunzi wa Darasa la Kwanza Shule ya Msingi Kakoyoyo alifariki baada ya kupigwa na radi...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kutoa na kutumia degree za heshima ni huu kwa dunia nzima. Watu wanapenda kuitwa Doctors (Drs) na Professors ( Prof) kinyume na taratibu

    by Prof Shivji Do we have any guideline of this kind in Tanzania? With or without guidelines, what is stated in this press release is well known and respected in most international institutions of higher education. HUU HAPA NDIO UTARATIBU WA DUNIA NZIMA . 1. Awadees msitumie hizo titles before...
  3. JamiiForums Tanzania Ingekuwa inawezekana dunia kuumbwa upya, kati ya wanyama na binadamu, nani ungependa atawale dunia baada ya binadamu kuiharibu?

    Japo tunawadharau, wanyama ni viumbe bora kitabia kuliko wanadamu. Hawafanyi uchafu hasa chuki na uroho, roho mbaya, tabia mbaya, fitina, majivuno, kunyonyana, kunyongana, wala kuawana kama binadamu. Nadhani ndiyo maana hawatishwi na hekaya za peponi na motoni. Wanaaminika kuliko binadamu...
  4. JamiiForums Tanzania Argentina atinga Kombe la Dunia kibabe; awahi Marekani/Canada na Mexico kulitetea

    Mabingwa wa soka wa dunia, timu ya taifa ya Argentina, leo alfajiri imefuzu mashindano ya kombe la dunia ya mwakani kwa kuibamiza Brazil mabao 4-1. Mashindano hayo ya mwakani yatapigwa kwenye nchi tatu za Marekani, Canada na Mexico. Baada ya ushindi wake huo, Argentina amefikisha alama 31...
  5. JamiiForums Tanzania Kutokukujua Kiingereza kumenifelisha kiasi cha kukosa madili kibao

    Salaam JamiiForums Natamani kujua vyema lugha ya Kiingereza. Natamani ningeongea Kiingereza hata Kwa asilimia 50 tu naamini ningetisha sana. Achana na stori hizi, eti tunakuza na kudumisha lugha yetu,mara tuwe wazalendo. Acheni hizo kama hujawahi kusafiri kwenda nchi yoyote ya ughaibuni...
  6. JamiiForums Tanzania Dunia inazunguka, na wewe unazungukwa

    "Dunia inazunguka, na wewe unazungukwa" Muda huu rafiki yako wa shida na raha yupo kumsisitiza mpenzi wako kuwa jambo lao liwe siri wewe usijue. Kwasababu kama wewe utagundua.. ✓ Urafiki wenu utavunjika (wewe na rafiki yako wa shida na raha), ✓ Uhusiano wenu utavunjika (wewe na mpenzi wako wa...
  7. JamiiForums Tanzania TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Samsung Han Jong-Hee Amefariki Dunia

    Mkurugenzi Mtendaji Samsung Electronics Han Jong-Hee aAmefariki kutokana na mshtuko wa moyo siku ya Jumanne,hiini kulingana na msemaji wa kampuni kubwa ya teknolojia ya Korea Kusini. Han alikuwa na umri wa miaka 63. Alizaliwa mwaka wa 1962, Han alikuwa amesimamia biashara za kampuni hiyo za...
  8. JamiiForums Tanzania Dunia ina Mambo, huyu ndo mbwa ghali duniani kuliko Rolls Royce ya Diamond Platinum

    Najua umeshtuka sio achana na ile Rolls Royce ya Diamond platinum toka Tanzania au bughatti ya Davido toka Nigeria 😁 Kuna mbwa ana gharama kubwa kuliko hayo magari. Kuna mbwa mmoja jamii ya Wolf Dog mbwa adimu sana Ulimwenguni kwa jina lingine anaitwa Cadabomb Okami ndo amekua mbwa ghali zaidi...
  9. JamiiForums Tanzania Aisee hivi katika historia ya dunia kumewahi kutokea na jamii katili kama Wamongoli na Watimuridi?

    Katika moja ya campaign yake huko Afghanistan, Genghis Khan alipewa taarifa kuwa mjukuu wake pendwa ameuliwa akiwa vitani, jamaa alichoamuru ni kuua kile chochote chenye uhai katika jamii hio alipofia. Kuna wakati waliuua watu wakatengeneza pyarmid ya miili yao kwa kutofautisha wanaume, wanawake...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Waafrika wengi hatuja evolve katika kutafuta refreshment kirahisi kwa kusoma vitabu, walking therapy, MDT, etc bali ni mitungi na mikasi

    Au labda sio asili yetu? Au labda basi tunachukulia poa? Au basi tu utamaduni huu haujakuwa channeled katika jamii zetu? Simaanishi kuwa wazungu hawapigi mitungi na mikasi, ila wengi wao wame evolve kuburudisha nafsi na mwili kwa kufanya utalii, meditation, vitabu vya furaha, beach walking etc...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mnapowalaumu wachina kufanya biashara Tanzania, msisahau kujilaumu na nyie kwa kuzubaa katika dunia iliyochangamka!

    Watanzania wengi wamezubaa sana,ni waoga hata wa kujaribu,wamejaa roho ya chuki,na ubaguzi,kazi kuwalaumu tu wanaojiongeza! Hivi mnajua watanzania wanaoenda ulaya, Marekani na Asia kila siku wanaenda kufanya kazi gani? Vipi mnaolalamika,mmewahi kusikia watu wa huko wakilalamika kuwa watanzania...
  12. JamiiForums Tanzania Maajabu ya dunia yanazidi kutusogelea wakati Hamas waliozingirwa wakipigana peke yao dhidi ya Marekani na Israel

    Akitoa tamko la kuiarifu dunia kuwa Israel imerudi vitani Gaza,waziri mkuu wa Israel amesema wanaendelea kupambana huko Gaza dhidi ya Hamas kwa kutumia nguvu zao zote. Naye Donald Trump mara baada ya kuuliwa kwa watu zaidi ya 400 huko Gaza hapo juzi aliipongeza akisema Israel ililazimika...
  13. JamiiForums Tanzania Kizazi cha maroboti kutawala dunia

    Baada ya takribani kama miaka 50 hivi ijayo teknolojia itakapokuwa juu sana. Mfumo wa Artificial Intelligence (AI) utakuwa umeimarika kiasi kwamba maroboti yataweza kuwasiliana na kufanya uamuzi unao fanana. Mifumo hiyo itayawezesha maroboti hayo kufanya maamuzi ya hatari kwa kumwasi aliye...
  14. JamiiForums Tanzania Muigizaji Simon Fisher-Becker afariki dunia

    Mwigizaji Simon Fisher-Becker, anayejulikana zaidi kwa kushiriki filamu za "Harry Potter" na "Doctor Who," amefariki akiwa na umri wa miaka 63. Kifo cha Fisher-Becker kilithibitishwa na meneja wake, Kim Barry. "Leo nimepoteza sio tu mteja katika Simon Fisher-Becker, lakini rafiki wa karibu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Wakuu hivi mna uhakika kama vita ya tatu ya dunia bado haijaanza?

    Naona majibishano ya maneno makali yaliyokosa staha ya kidiplomasia na makabiliano halisi ya kijeshi barani Ulaya na Amerika (migogoro ya Russia vs Ukraine, Trump kutaka kuzichukua Canada na kuinyang'anya Greenland kutoka Denmark, mfereji wa Panama). Mashariki ya kati (migogoro inayomuunganisha...
  16. JamiiForums Tanzania Mama Tabitha Siwale , waziri enzi za Mwalimu, afariki dunia!

    Mama Tabitha Siwale, mwalimu na ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Elimu, miaka ya Mwalimu Nyerere, amefariki dunia usiku kuamkia leo. Tetesi zimetolewa na ndugu wa karibu. Mama Siwale ni kati ya mawaziri wanawake wachache waliotumikia nchi bila mawaa! Juzi ilikuwa Prof Sarungi, passing of times
  17. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanasiasa mkongwe Mama Thabita Siwale ameifarik dunia.

    Mama Thabita Siwale, mwanasiasa mkongwe ameifariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Ocean Road alipokuwa amelazwa kwa wiki mbili akipatiwa matibabu. Msiba uko nyumbani kwake Mikocheni Dar es Salaam. Taarifa rasmi itafuata mara tu baada ya kikao cha wanafamilia.
  18. L

    JamiiForums Tanzania China yaweka lengo la asilimia 5 la ukuaji wa uchumi, wakati Marekani inajaribu kuvuruga utaratibu wa uchumi dunia

    Kwenye ufunguzi wa mkutano wa bunge la umma uliofanyika hapa Beijing, Waziri Mkuu wa China Bw. Li Qiang amewasilisha ripoti ya serikali inayokadiria ongezeko la uchumi wa China kwa mwaka huu kuwa asilimia 5. Makadirio hayo yamefikiwa kwa kuzingatia utulivu wa ndani, na maendeleo ya hali ya...
  19. JamiiForums Tanzania Dunia ya Bonsai

    Bonsai, ni kutoka kwenye maneno ya Kijapani "kupanda trei" (盆栽), ni sanaa ya kulima na kutengeneza miti midogo kwenye vyombo kwa kudhibiti ukuaji na kuifunza kufanana na miti iliyokomaa, yenye ukubwa kamili. Hapa kuna maoni ya kina zaidi juu ya maana ya bonsai: Maana halisi: "Bon" (盆) ina maana...
  20. JamiiForums Tanzania Drake Ataweza kufanya kwenye Kombe la Dunia alichokifaya Kendrick Lamar SuperBowl?

    https://fntaz.com/drake-ataweza-kufanya-kwenye-kombe-la-dunia-alichokifaya-kendrick-lamar-superbowl/
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…