dunia

  1. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dunia yatangaziwa Lisu kukamatwa na kubambikiwa kesi ya uhaini

    Hii ni kumchafua Rais Samia kwa waliomshauri amsweke Lisu ndani na kumfungulia kesi ya UONGO ya uhaini. I am convinced that such a serious case for the chairman of the main opposition party cannot go without her knowledge and consent! Aikande Hichilema alifanyiwa haya haya, mahakama Kuu...
  2. JamiiForums Tanzania Wasanii wa Tanzania fanyeni kitu juu ya ushoga kwa kutoa nyimbo au maigizo ya kikataza ushoga

    Ni ajabu nchi inakumbwa na janga la ushoga alafu watu wetu wa sanaa ambao ni kioo cha jamii wapo tu kimya? Tulitegemea kipindi cha majanga ya namna hii tungeskia nyimbo na maigizo mengi juu ya ushoga lakini wapo kimya,! Kuna wimbo mmoja wa Jay combati unaitwa sio mwana, Unapendwa sana...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Manchester United Club Tajiri Duniani Atua Ikulu na Kumuahidi Rais Samia kuitangaza Tanzania Dunia Nzima kukuza Utalii

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Huyu Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Ni chaguo la Mungu. Na kwa kuwa ni chaguo la Mungu ,Taifa linaendelea kupata Neema na baraka kila uchao . Siyo jambo dogo wala la kawaida kwa club kubwa na tajiri Duniani na yenye...
  4. JamiiForums Tanzania Unaweza ukawa Wife material na bado Dunia ikawa kinyume na wewe. Ndoa ikawa ngumu kwako. Fanya haya.

    UNAWEZA UKAWA WIFE MATERIAL NA BADO DUNIA IKAWA KINYUME NA WEWE. NDOA IKAWA NGUMU KWAKO. FANYA HAYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Ni kweli wapo wife material ambao hawajaolewa na ambao wanahangaika Kupata ndoa. Na wapo wife material ambao wameolewa lakini ndoa ni ngumu kwao. Wamepata...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania TANZIA Adrian Hillary Stepp afariki dunia

    Habari wanajamvi. Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mwandishi wa habari, Adrian Stepp ambaye alikuwa mtangazaji wa EATV then Azam Tv. Aidha, Adrian Stepp alikuwa mwanachama humu. Jamiiforums pamoja na EATV & Azam Tv wamepoteza mtu muhimu sana. Binafsi niliwahi mfahamu...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Dunia hazibadiliki, mitizamo ya watu hubadilika!

    Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na Hekima,na aombe Dua kwa Mungu,awapaye wote kwa ukarimu,Wala hakemei;naye atapewa. (Yakobo 1:5). Zingatia jinsi utamaduni unavyobadilika kadiri muda unavyopita.Kanuni za kijanii zinabadilika: Mambo yaliyokuwa yanakubalika hapo Swali hayakubaliki Tena,na...
  7. JamiiForums Tanzania TANZIA Mkuu wa Operesheni Jeshi la Polisi Mtwara afariki dunia

    Mkuu wa Operesheni Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara, Emmanuel Garuyamoshi amefariki dunia Aprili 9,2025 akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Misheni Ndanda. Taarifa za kifo chake zimetolewa leo Aprili 10, 2025 na Mkuu wa Jeshi la Polisi, Camillius Wambura katika kurasa za mitandao ya kijamii ya...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Wakati wa vita ya I&II ya dunia Yesu na Muhamadi walikuwa upande upi wa vita hiyo?

    Habarini, Kama Yesu na Muhamadi ni uhalisia basi lazima walishiriki vita ya I&II ya dunia,sasa kwanini Mungu alikubali Waafrika ndiyo wakapigane vita isiyo yao? Walikuwa wapi??
  9. JamiiForums Tanzania Kijana huyu ndiye aliyeteuliwa kuwa mwanaume mzuri zaidi katika sayari ya dunia, Naijulikane Mimi ni baba yake mzazi 😍

    Kijana huyu ndiye aliyeteuliwa kuwa mwanaume mzuri zaidi katika sayari ya dunia, Naijulikane Mimi ni baba yake mzazi 😍
  10. JamiiForums Tanzania TANZIA Mfanyakazi wa Azam Tv, Rahabu Fungo amefariki Dunia

    TANZIA: Uongozi wa kampuni ya Azam Media Limited, unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi wake, Rahab Fred Fungo, aliyekuwa Mhariri Mkuu Msaidizi kwenye Idara ya Habari na Matukio. Rahab amefariki dunia Aprili 5, 2025 jijini Dar es Salaam wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya...
  11. JamiiForums Tanzania Maajabu ya dunia hayaishi: Vichaa wamewabana kwa hoja wasomi wenye Masters na PhDs!

    Ni jambo la kushangaza kuona baadhi ya wasomi(waliobobea katika elimu ya juu) wanaposhindwa kujibu hoja mitandaoni, wanakimbilia kutoa matusi ya kisaikolojia. Hoja hujibiwa kwa hoja. Mtu akiandika uzi unaowa-challenge wenye shahada za juu, mara nyingi anaambiwa kuwa ana matatizo ya afya ya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Israel anafanya extermination ya Wapalestina huko Gaza, dunia imenyamaza

    Ukiangalia Al Jazeera news broadcast, kinachofanyika Gaza na Israel, hii ni exterminate war. You clear each and everything in your vicinity, ndicho anachofanya Israel. Dunia imenyamaza, waarabu, waislamu wamenyàmaza. Mungu amenyamaza, dini zingine zimenyamaza. It is very disheartening indeed...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Trump ameivuruga dunia nzima na import tarrifs alizoziweka kwa bidhaa zinazoingia USA. Je dunia ikimsusia anaweza ku survive peke yake?

    Suppose, china and his allies and the world in general wakimsusia USA anaweza ku survive peke yake? 1. Industrial products zake ataziuza wapi? 2. Raw materials za viwanda vyake atazipata wapi? 3. etc etc Wataalamu wa uchumi tuelewesheni
  14. JamiiForums Tanzania Dunia kushuhudia vita vibaya vitakavyoangusha mataifa jeuri. Iran amejirayarisha na haitanii.

    Benjamini Netanyahu amejisifu kuwa ramani mpya ya mashariki ya kati inaenda vizuri.Katika kujisifu huko ametaja jinsi ambavyo Hamas na Hizbullah zimedhoofika. Makamanda wake nao hasa waziri wa Ulinzi wamekuwa wakitoa kauli za kujiamini kiasi kama hicho zinazoenda sambamba na kuvunja maeneo...
  15. JamiiForums Tanzania Utafiti wa wakati ulioshangaza Dunia

    Mnamo 1972, mwanasayansi wa Ufaransa alijifungia kwenye pango la giza totoro futi 440 chini ya ardhi kwa siku 180. Hakuna mwanga. Hakuna saa. Hakuna mawasiliano ya kibinadamu. Alitaka kufichua siri za akili ya mwanadamu—na matokeo aliyopata yalishangaza mno Michel Siffre alikuwa mwanajiolojia...
  16. JamiiForums Tanzania Dunia ya maajabu

    Mapango ya chini ya ardhi yakiwa na mamilioni ya makombe ya baharini , hakuna anayejua ni nani aliyeyajenga. Shell Grotto huko Margate, Kent, Uingereza, inasimama kama moja ya siri za kushangaza zaidi katika historia. Iligunduliwa mwaka wa 1835, njia hii ya kupita iliyofichwa imepambwa kwa...
  17. JamiiForums Tanzania TANZIA Steven Msaki bishoo wa Mbezi Beach afariki dunia

    Mwana JF Steven Msaki ambaye ID yake siikumbuki ika najua ni member humu amefariki dunia Kwa waliokulia masaki miaka ya 2000 kushuka chini,au Mbezi Beach miaka ya 2000 kuendlea wanamfahamu huyu mwamba Alikulia familia ya kishua mboga saba tangu miaka ya 90s, mzee wake alikuwa Don sana lakini...
  18. JamiiForums Tanzania Ukubwa wa dunia ukilinganisha na galaxy yetu

    Ili Dunia ifanane kwa ukubwa na Jua, zaidi ya Dunia milioni moja zitahitajika kuungana ili kufikia saizi kamili ya Jua. Ikiwa umelipunguza Jua kutoka kwenye saizi yake halisi hadi kufikia saizi ya jicho la binadamu, basi ukubwa wa Galaxy yetu, Milky Way, utakuwa sawa na Dunia. Mwanga...
  19. JamiiForums Tanzania Kama hauna roho mbaya sahau kuhusu utajiri

    Hellow wakuu Tunaishi kwenye dunia ya kibepari, daktari anategemea wagonjwa wamlipe ili aishi watu wasipo umwa anakufa njaa, mchungaji anategemea waumini watoe sadaka ili apereke watoto shule nzuri ale na kusaza, mganga anategemea biashara za watu ziyumbe ili waende kwake wamlipe ndio...
  20. JamiiForums Tanzania Mdau anahoji "kwanini Vitabu vya dini vimetafsiriwa kila lugha, lakini sio vitabu vya maarifa ya dunia"

    Mdau ahoji imekuwaje watu wamefanikiwa kutafsiri vitabu vya dini kuja kwenye lugha mbalimbali hili kila mtu allowe, lakini vitabu vya maarifa ya dunia kama Vya kijeshi, kiuchumi, kimatibabu, kisayansi na viinginevyo vyenye kumsaidia mwanadamu kuishi na mazingira havijatafsiriwa, yani vimebaki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…