dunia

  1. X

    Tanzania, Marekani na China zinatengeneza 44% ya uchumi wa dunia

  2. M

    Kuna mpango wa kuyagawa maeneo kadhaa ya Dunia, CCM isipodhibitiwa Tanzania ijiandae

    https://x.com/clashreport/status/2007126491885355164 Baada ya Somalia, kituo kinachofuata ni Yemen, Sudan, Libya, Syria, Kama Iran haitaweza kuzuia kinachoendelea ijiandae kuwa na vinchi ndani ya nchi. Siuoni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kama Samia na viongozi wa aina yake wataendelea...
  3. Kauli ya Japan kuwa na silaha za nyuklia yatishia usalama wa dunia

    Afisa mwandamizi wa Ofisi ya Waziri Mkuu ya Japan hivi karibuni alisema hadharani kwamba, kutokana na mazingira magumu ya usalama yanayoizunguka Japani, nchi hiyo inapaswa kumiliki silaha za nyuklia. Baada ya hapo, Waziri wa Ulinzi wa Japan Shinjiro Koizumi alisema hakuna chaguo linaloweza...
  4. Umaarufu wa watu hawa haukuwa na viewers

    Nawasalimu, Salamu za heshima, Karibu msomaji mpendwa. Makala hii imeandaliwa kwa lengo la kukupeleka katika safari ya mawazo na historia, kukutafakari nafasi ya binadamu katika jamii na namna alivyoweza kuacha alama kubwa hata kabla ya enzi ya teknolojia ya kisasa. Karibu usome kwa utulivu na...
  5. Askofu Mpembwa: Vijana wa sasa sio wale wa 1961, hawa wanaitambua dunia

    Askofu Bethania Mpembwa wa Kanisa la Neema ya Kitume Tanzania, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam, amesema kuwa Vijana wa kizazi cha kuanzia mwaka 2000 (Gen Z) ni tofauti na vijana wa mwaka 1961 wakati nchi ilipopata Uhuru. Akizungumza katika mahojiano maalum na Jambo...
  6. Hii dunia watu makatili sana. Sikiliza hii stori ya John Kaaya akieleza jinsi polisi walivyomtesa

    Kama ni kweli kuna watu waliuawa bila hata hatia, tena kwa makusudi https://youtu.be/kW4x1NROh0k
  7. Dunia ya leo ni mwendo wa haki sawa na kukomoana

    Kwa dunia ya leo ya miaka ya hivi karibuni, wanawake vitu vingi wanafanya kama wanavyofanya fanya wanaume. Wanawake wengi siku hizi wanafanya vitu vingi kwa ajili ya kuwakomoa wanaume Unakuta mwanaume kachepuka na mwanamke naye anataka kuchepuka Hata kazi pia kuna kazi zingine ni za kiume...
  8. Tanzania kama nchi imeipa Nini Dunia?

    Hili swali nimeuliza mahsusi kwa sababu. Atleast nchi kama Japan wameipa dunia gari aina ya TOYOTA. KOREA wameipa dunia products za Samsung Na hata Russia wameipa dunia AK 47 N K Sasa sisi kama Tanzania tumeipa nini Dunia kama Product unique ambayo inaitambulisha Tanzania? Naomba kufahamu
  9. M

    Kwa jina la Yesu: Huku ndiko ukristo unakoipeleka dunia

    Kwa sasa huku ndiko dunia inakopelekwa Na wanataka tuone ni kawaida, ukihoji unaambiwa wewe ni siasa kali Huu ushenzi unaingia Afrika na Tanzania kwa kasi sana https://www.bbc.com/swahili/articles/c20qg1qevp6o
  10. Ishowspeed ana miaka 20 anazunguka dunia nzima wewe una 35 hata nauli ya chalinze huna

    Hii ni aibu dogo ana 20 anazunguka duniani na Africa wewe una 36 hata nauli ya morogoro huna
  11. Dunia ya sasa hauwezi kutafuta haki, hakuna haki bali ni janja janja za kisiasa

    Niwasalimu watu wa ukumbi huu, Kwanza niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu ,hapa nataka kuongelea kuhusu kitu kinaitwa ''haki''. Je ,dunia ya leo kuna haki na watu wanaweza kudai haki. Kabla ya yote tutambua neno haki lina maana pana sana ,unaweza kusema ''ni kitu chochote / jambo...
  12. R

    Ona unyama uliopitiliza wa rekodi ya dunia. Unatokwa na machozi

    Unyama , ukatili wa serikali, polisi na jeshi kwa wananchi wao. Soma, unatokwa na machozi.
  13. Wewe so chochote kwenye hii dunia

    Kuna watu wanajiona wana umhimu sana hapa duniani lakini kumbe wao si lolote wala chochote. Afadhali kidogo miaka ya kina nyerere historia inawakumbuka Lakini ukweli ni kwamba wewe si kitu hapa duniani acha kujipa umuhimu huo huna umuhimu wowote hapa duniani Ukifa leo ni Mambo yako tu ndo...
  14. Ukiagiza gari unatozwa tozo ya UKIMWI

    kwa mujibu wa sheria ya fedha 2025, serikali imeweka tozo ya UKIMWI ambayo nadhani ni matokeo ya USAID kuondoka na UKIMWI kuwa hauna fedha. Hii tozo ni kwa wanaoagiza magari na madini. Viwango ni kama kwenye jedwali lifuatalo.
  15. Sikuwahi kufikiri kama Wanachuo wa UDSM wangefanya mzaha mkubwa kiasi, hii inaonesha dunia kuwa masihara ni sehemu ya maisha yao

    Sikuwahi kamwe kudhani kuwa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam kingekubali Wanachuo wake waoneshe uma masihara makubwa ya kiasi hiki Masihara haya yataeleza dunia kuwa ni kiasi gani Chuo hiki hakina hadhi Wamejitokeza Wanachuo wa UDSM wakaunda toy nakuita Robot Kujaribu sio kosa bali ni mwanzo wa...
  16. Ni jambo jema uislamu wa Tanzania kuweka uzito zaidi katika amani tofauti na uislamu wa sehemu nyingine za dunia.

    Ukiangalia sehemu nyingi za dunia ambapo Waislamu hasa wa msimamo mkali wamewahi kujikita kudai haki katika nchi zao wakisukumwa au wakiunganishwa na dini ya Uislamu hakika kumekuwa na maafa makubwa sana yaliyosababisha kila aina ya mateso kwa raia hata kwa wasio husika kabisa kupitia vita...
  17. Kwani Wayahudi waliikosea nini Dunia!.?

    Hawa Wayahudi aka Jews waliuawa sana na Hitler. Mamia elfuu.... Wapalestina wanaua Wayahudi mpaka Leo. Jana wameuawa huko Australia, Yani Baba na Mtoto wake wamevamia sherehe zao na kuuwa 15 wamekufa. Shida ni nini. Kabila hili la Yesu Kristo.? Tafadhali
  18. Dunia imejaa watu waongo

    1 ndoa ni utapeli 2 dunia imejaa unafki 3 dunia sio sehem nzuri ya kuishi 4 Familia sio kila kitu 5 kuamini kiumbe mwanadamu ni ujinga 6 kama kungekua na option ya kuchagua uzaliwe au usizaliwe ningechagua kutokanyaga kwenye dunia hii iliyojaa watu wabaya 7 sina hakika kama Mungu yupo 8 I hate...
  19. N

    Katika dunia ya sasa ya kidijitali kuwa na website au app ya mishe yako muhimu

    HABARI KUU Katika dunia ya sasa ya kidijitali, uwepo mtandaoni si hiari tena bali ni hitaji muhimu kwa biashara, taasisi na watu binafsi. Ikiwa unahitaji website ya kisasa, Android App, au iOS App yenye muonekano mzuri na utendaji wa hali ya juu, sasa ndio wakati sahihi wa kuchukua hatua...
  20. Q

    GenZ: CCM hakina tofauti na kikundi cha kigaidi cha HAMAS, kinafadhili vikundi vya kigaidi, dunia ikipige marufuku

    Chama cha Mapinduzi CCM kimeanzisha, kinafadhili, kuendesha, na kulinda vikundi vyenye silaha nchini chini ya tawi lake la vijana UVCCM. Makundi haya yanatumika kuendesha utekaji, mateso kwa Watanzania wasio na hatia. CCM kupitia vikundi hivi vya kigaidi kinawanyanyasa na kuwateka viongozi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…