dunia

  1. JamiiForums Tanzania TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

    Kwa taarifa niliyoisikia muda si mrefu ni kuwa: Yule aliyekuwa mtabe aliyekabidhiwa utabe wa physics pale Mchikichini, MUDY PHYSICS AU COMMISSIONER. Amefariki dunia jioni hii. Tumuombeeni duniani huyu mtabe aliyewafanya baadhi ya watu kuwa tulipo hivi sasa. Innallillah wainnallilah raajuni...
  2. JamiiForums Tanzania Saeb Erakat wa Palestina afariki dunia

    Mtumishi wa muda mrefu wa wananchi wa Palestina bw Saeb Erakat amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 65. Marehemu Erakat alikuwa mtu wa karibu wa kiongozi mwasisi wa PLO na ameendelea kuwa chini ya rais Mahamud Abbas tangu pale alipomrithi Yasser Arafat. Katika umri wa utumishi wake ameshiriki...
  3. JamiiForums Tanzania TANZIA Kibaha Vijijini: Diwani Mteule wa CCM Kata ya Kikongo afariki pamoja na wajukuu zake wawili baada ya nyumba yao kuchomwa moto

    Kibaha. Diwani mteule wa CCM kata ya Kikongo Kibaha vijijini Fatuma Ngozi pamoja na wajukuu zake wawili wamefariki baada ya kuungua kwa moto wakiwa ndani ya nyumba. Nyumba ya diwani huyo imeungua moto usiku wa kuamkia leo Novemba 9, 2020. Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Wankyo Nyigesa...
  4. JamiiForums Tanzania TANZIA Geita: Madiwani wawili wateule wa CCM wafariki dunia

    Haya sasa, uchaguzi mdogo kabla hata ya uapisho. --- Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Geita kimepata pigo baada ya madiwani wake wawili wateule kufariki dunia kwa nyakati tofauti wakati wakipatiwa matibabu katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumamosi...
  5. JamiiForums Tanzania GEITA: Afisa ardhi Agustino Sibeye mbaroni kwa kuwagonga na gari na kuwaua wanafunzi wanne wa shule ya msingi Ibambilwa

    Jeshi la Polisi mkoani Geita linamshikilia Afisa ardhi wilaya ya Nyangwale Agustino Sibeye kwa kuwagonga na gari wanafunzi wanne wa shule ya msingi Ibambilwa na kufariki dunia wakati wakivuka barabara kuelekea shuleni. Kamanda wa polisi mkoa wa Geita Hanry Mwaibambe amesema afisa huyo wa ardhi...
  6. JamiiForums Tanzania Dunia nzima hakunaga Mabadiliko yaliyowahi kuletwa na Watu Wengi

    1. Wakati wa harakati za kupinga ubaguzi wa rangi Afrika ya Kusini ni watu wachache sana wenye ujasiri walioongoza harakati zile. Wengi wakiwemo waliokuwa wanafanya kazi kwenye mashamba na makampuni ya wazungu waliona sio sawa na walipinga harakati za kina Mandela na Walter Sisulu. Wengi...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Hongereni Watanzania tukaioneshe Dunia kuwa tupo huru na hakuna wa kuharibu amani yetu

    Habari za jioni watanzania! Kwa kipindi cha takribani mwezi mmoja tumekuwa kwenye mchakato wa uchaguzi. Katika kipindi chote hiki Watanzania tumeonesha ustaarabu wetu kwa kufanya kampeni safi bila ugomvi au rushwa. Wapo waliotumwa kuvuruga hali ya hewa hata kabla ya kuingia siku ya upigaji...
  8. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekua Afisa elimu Wilaya ya Magu ndg Jesse Kaanyuma afariki dunia hospitali ya Muhimbili

    Aliye kuwa afisa elimu Wilaya ya Magu na baadae kuhamishiwa Dodoma makao makuu ndg Jesse Kaanyuma amefariki jioni hii katika hospitali ya taifa Muhimbili. Ni taarifa zilizodhibitika kutoka kwa ndugu wa karibu kwenye familia kwa pamoja tunasema poleni walioguswa na msiba huu mzito
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa Mujibu wa Benki ya Dunia, Kenya ina electricity coverage mara dufu ya Tanzania

    Kuna Malazy waliokuwa wanaposti hapa matamshi ya waziri wa kawi wa Tanzania Dr. Medard Kalemani akisema kuwa TZ ndio ina highest electricity coverage in Africa . Walitaka kutuaminisha kuwa TZ ina higher access to electricity kushinda hata South Africa au Egypt. Niliambia mmoja anayeitwa Naton...
  10. JamiiForums Tanzania Dunia yetu ina vitu vingi mno. Je, wajua namba au alphabet huwa na frequence fulani

    Je, wajua namba hiz hizi za kawaida huwa na frequence fulani endapo kama zitapangwa katika mpangilio maalum ndivyo unavyoweza kusababisha impact ya aina fulani mfano kutibu,kukuletea matokeo chanya ya aina fulani na mengineyo but how this work? Control of the future is 148721091 The...
  11. JamiiForums Tanzania Umasikini wa Afrika kwa kiasi kikubwa unasababishwa na sisi raia na si Wanasiasa

    Kama kichwa cha habari kinavyo sema kwakweli waafirika hasa vijana tuna takiwa kujitafakari tena kwa kina. Kila siku tumekuwa na mtindo wa kuwalaumu wana siasa kwa umasikini wa nchi zetu ,lakini tatizo lipo kwetu hasa hasa kwenye fikira zetu. Ukitaka kuamini hilo fuatiria kampeini zinazo...
  12. JamiiForums Tanzania TANZIA Daktari Bingwa wa Mifupa MOI na Mwenyekiti wa Kamati ya Tiba TFF, Dkt. Paul Gasper Marealle afariki dunia

    Tanzia, Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt Respicious Boniface anasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wa MOI Dkt Paul Gasper Marealle (Daktari bingwa wa Mifupa) kilichotokea usiku wa kumakia tarehe 14/10/2020 katika Taasisi ya MOI. Apumzike kwa Amani Kwa masikitiko makubwa napenda kuwajulisha...
  13. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Poland kutegua bomu hatari la Uingereza lililodondoshwa katika vita vya pili vya dunia

    Wapiga mbizi wa jeshi la Poland wameanza operesheni ya hatari ya kunasua bomu kubwa la Uingereza lililotumika kwenye vita vya pili vya dunia lililo chini ya bahari. Karibu wakazi 750 wameondolewa kutoka kwenye eneo hilo karibu na mji wa bandari wa Swinoujscie, na operesheni hiyo inatarajiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Nini kitatokea hapa duniani tukilala kwa muda wa miaka 1000?

    Hello, habari zenu wakuu. Nahisi muko wazima wa afya, leo nimekuja na hii, unahisi dunia itakuwaje kama sisi sote tukilala kwa muda wa miaka 1000. Baada ya miaka hiyo 1000 tutakapoamka dunia itakuwaje? Yaani namaanisha watu tuwe tumealala kama tuliokufa kuwe hakuna shughuli inayoendelea. Tupa...
  15. JamiiForums Tanzania Je, Dunia ipo chini ya maji??

    Nimesoma kitabu Cha Mwanzo (Genesis) na kwa Tafsiri yake naona kama vile tunaishi chini ya maji. Mwanzo 1 :6-10, inasema; "Then God said, let there be a firmament in the midst of the waters , and let it divide the waters from the waters. Thus God made the firmament and divided the waters which...
  16. JamiiForums Tanzania True story: Mpelelezi apelelezwa na mpelelezi mwenzake, naye apelelezwa na mpelelezi mwingine bila kujuana

    Kila kitu hapa ulimwenguni ni art na hii kazi ya arts ina kiwango chake. Hata mambo ya usalama ni kazi ya sanaa iliyojaa watu wa level tofauti. Kuna mjamaa mmoja alitumwa na boss wake kumfuatilia mama mmoja muuza vipande vya mihogo mibichi barabarani. Kilichomshtusha boss ni ulinganifu wa sura...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mikoa ya Kagera na Geita

    Wakuu natanguliza salamu na baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye mada, kama mnavyojua Kampeni zinaendelea na leo tena Mh Lissu ambaye anapewa asilimia kubwa kutwaa urais wa nchi atakuwa kwenye mikoa ya Kagera na Geita, katika kanda hii kunatarajiwa kupigwa mkutano maalum wa kipekee...
  18. JamiiForums Tanzania Mjulisheni Magufuli, siasa za kupambana na dunia anazozijaribu hapa zimeshindikana Zimbabwe

    Zimbabwe wamesalimu amri rasmi, sasa wanarudisha mashamba ya Wazungu waliyoyanyang'anya Miaka 20 iliyopita. So Mjulisheni Magufuli kuwa anachokijaribu hapa wenzake wamekijaribu na kimewashinda, mjulisheni maana haya mambo ya Kimataifa huwa yanampita hana habari; Kabudi naye yupo kakodoa Macho...
  19. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kamanda wa Polisi ACP Jonathan Shana afariki Dunia

    Ni huzuni & majonzi Ameumaliza mwendo Kazi ya Mungu Haina makosa Mshiriki, Mzee wa Kanisa na Muinjilisti wa Kanisa la Waadventista Wasabato Mjini Kati Arusha Alishiriki vema akitoa Zaka na Sadaka Aliishi vizuri sana na washiriki Wenzake Alikuwa Mnyenyekevu na mwenye hofu ya Mungu...
  20. JamiiForums Tanzania TANZIA Zanzibar: Salim Turky, Mwanasiasa Mkongwe na Mgombea Jimbo la Mpendae Zanzibar, afariki dunia

    Mwanasiasa mkongwe na mfanyabiashara maarufu Turk wa Zanzibar afariki dunia. === Mheshimiwa Salim Hassan Abdullah Turky, afariki dunia usiku huu akiwa hospitali ya Tasakhta global chanzo cha kifo chake inadaiwa kuwa aliugua ghafla. Swala ya maiti itafanyika leo Alasiri September 15 katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…