diplomasia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    Magazetini: Samia aimarisha diplomasia ya uchumi

    ◇Apokea taarifa Bomba la Mafuta, limefikia asilimia 93.9 ◇Uganda, Tanzania kushirikiana uendeshaji Reli ya Kisasa. ◇Bara Afrika likimpa jukumu la afya kwa mataifa yote 55.
  2. H

    Waziri Kombo ameagana na mwakilishi wa UNFPA anayemaliza mda wake nchini

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), ameagana na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu (UNFPA) nchini Tanzania, Bw. Mark Bryan Schreiner, kufuatia kumalizika kwa muda wake wa utumishi nchini. Mazungumzo hayo...
  3. H

    Waziri Kombo awasili nchini Norway kwa ziara ya kikazi

    𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗞𝗢𝗠𝗕𝗢 𝗔𝗪𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜 𝗡𝗢𝗥𝗪𝗔𝗬 𝗞𝗪𝗔 𝗭𝗜𝗔𝗥𝗔 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗞𝗔𝗭𝗜 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili jijini Oslo, Norway kwa ziara yenye lengo la kuimarisha ushirikiano baina ya Tanzania na Norway pamoja na nchi za Nordic. Mara baada ya kuwasili...
  4. C

    Trump kukutana na Xi Jinping na Vladimir Putin katika mkutano wa kihistoria

    Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kukutana na Rais wa China Xi Jinping na Rais wa Urusi Vladimir Putin katika mkutano wa kilele wa APEC utakaofanyika Shenzhen, China, katika kile ambacho Kremlin imekitaja kuwa mkutano wa kwanza wa aina yake na wenye umuhimu mkubwa kwa siasa za kimataifa...
  5. M

    Tanzania inavyojenga Diplomasia ya tabianchi kupitia COP31 kwa ajili ya maendeleo na ustawi wa wananchi

    Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), unaofanyika Antalya, Uturuki, kuanzia tarehe 9 hadi 20 Novemba 2026, ni jukwaa muhimu la kimataifa katika kujadili mustakabali wa mazingira, uchumi na ustawi wa binadamu. Kwa Tanzania...
  6. Roving Journalist

    Diplomasia ya Kiuchumi kuongeza tija: Wizara yatakiwa kutumia fursa za nje kukuza uchumi wa Taifa

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetakiwa kutumia kikamilifu uhusiano mzuri wa Tanzania na mataifa mbalimbali duniani kuvutia uwekezaji, kuendeleza rasilimali za nchi zilizopo nje ya mipaka na kuongeza mapato ya Taifa kupitia miradi ya kiuchumi. Hatua hiyo inalenga...
  7. Zack Abdul

    Dkt. Samia Suluhu Hassan ang’ara Afrika kwa diplomasia ya amani

    Uwezo wa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika diplomasia na mahusiano ya kimataifa unaifanya Tanzania kuendelea kuwa sehemu muhimu ya juhudi za kukuza amani na mshikamano barani Afrika. Kupitia mazungumzo, ushirikiano na maridhiano, diplomasia inakuwa daraja la kutatua migogoro na kujenga mahusiano...
  8. K

    Jina la Mada: Diplomasia ya “Kasuku” na Miujiza ya Catalonia: Uchambuzi wa Kihistoria Kuhusu Ziara ya Waziri Wetu FC Barcelona

    Wakuu salama, Nimeona post ya mdau mmoja huko Instagram kaandika: MY TAKE YANGU MIMI KIJANA WA IFOZA (KWA WELEDI MKUBWA): Kwanza kabisa, ni dhahiri kuwa mdau wa post hiyo hapo juu ameandika kwa lugha ya kejeli na dhihaka kubwa mno, akiwakejeli waziwazi wanahabari wetu pamoja na Mheshimiwa...
  9. Zack Abdul

    Tanzania Yaandika Sura Mpya ya Diplomasia ya Mabunge

    Tanzania inaweka historia mpya katika diplomasia ya mabunge kwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaofanyika Arusha kuanzia 5–9 Oktoba 2026. Mkutano huo unawakutanisha mamia ya wabunge kutoka duniani kujadili utawala bora, ushirikishwaji, fursa na uwezeshaji wa...
  10. Ex Spy

    Kutajwa kwa JWTZ kwenye Mzozo wa Mashariki mwa DRC – Je, Diplomasia yetu ya Kiulinzi inaiweka Tanzania kwenye Mtego wa Kijiografia?

    Nikiwa ninapitia mtandao wa X (zamani Twitter), nimekumbana na chapisho (tweet) la mwandishi wa habari Steve Wembi lililoniacha na maswali mengi sana kuliko majibu. Kama kuna jambo linalotakiwa kufuatiliwa kwa jicho la ziada na wadau wa usalama wa taifa na sera za kigeni hivi sasa, ni mtiririko...
  11. Equation x

    Wataalamu wa diplomasia, na siasa za kiulimwengu tusaidieni majibu

    Ikitokea Rais mwenyeji kutofautiana kimazungumzo na Rais mgeni katika nchi yake, na Rais mwenyeji akaamua kutoa agizo kwa majeshi yake, yamkamate Rais mgeni kwa kuwa wametofautiana kimaongezi; je hiyo inawezekana kutokea? Mfano Rais wa Marekani awe nchini China, halafu Rais wa China atoe agizo...
  12. Fascinating

    Kwanini mkurugenzi wa TBS hajioni tatizo kwenye hili SAKATA LA VINYWAJI RWANDA?

    Hivi hivi karibuni, tumeshuhudia operation kubwa ya kiudhibiti wa ubora na usalama wa vinywaji nchini Rwanda lililozua gumzo kubwa Afrika Mashariki. Lakini kinachoshangaza na kusikitisha zaidi ni jinsi Shirika letu la Viwango Tanzania (TBS) linavyolichukulia jambo hili kana kwamba halituhusu...
  13. Tlaatlaah

    Diplomasia ya Tanzania haijawahi kushindwa kokote ulimwenguni, kupambana nayo ni sawa na kufunga mlango huu, kisha mlango ule mwingine unafunguka

    Na hii ni kwasababu, msingi wa muundo wa diplomasia ya Tanzania ni kushinda kila jaribu, iwe ni la kisiasa, kijamii au kiuchumi, kitaifa na kimataifa kwa kutofungamana na upande wowote wa dunia. Lakini zaidi sana ukomavu na umadhubuti wa diplomasia ya Tanzania huonekana zaidi, na hufanya...
  14. K

    Kutoka Rio Ferdinand hadi DJ Khaled: Kwanini diplomasia yetu ya utalii inafeli na kutia Taifa aibu kimataifa?

    Wana-JF salam, Hali ya mambo mitandaoni imezidi kuchafuka baada ya picha na video zikisambaa zikimwonyesha msanii na prodyuza nguli wa Marekani, DJ Khaled, akiwa ameshika jezi ya timu yetu ya taifa (Taifa Stars) yenye nembo ya "Visit Tanzania". Kurasa nyingi za udaku, huku zikipewa nguvu na...
  15. Sifi Leo

    Diplomasia iliyomtoa Mbowe ndani ikishindikana, dhidi ya Lissu Kuna hatari kubwa mno, waliomchagua hawana cha KUPOTEZA kama ambavyo Abduli hasingekuwa

    Nina Imani, kama Abdul hasingekuwa mtoto wa Rais,hasingekuwa mzanzibari akawa mtanganyika hasiye ona hata upande wa kitambaa cha bendera ya Tanganyika, akakosa ajira,akaishia maisha magumu kama vijana wa kibara wenzake hakika, lazima angetaka au angeona kuwa Lissu anaonewa nae angeandamana pale...
  16. Ritz

    Lapid: Makubaliano ya Iran na Marekani ni pigo kubwa kwa diplomasia ya Israel

    Wanaukumbi. Kiongozi wa upinzani nchini Israel na waziri mkuu wa zamani, Yair Lapid, amemkosoa vikali Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kufuatia taarifa za kutiwa saini kwa hati ya maelewano kati ya Iran na Marekani. Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mtandao wa X, Lapid alieleza makubaliano...
  17. Fascinating

    Marekani yapunguza Vituo vya kuomba Viza Afrika kutoka 50 mpaka 20, Tanzania tumepona

    Kuna mabadiliko makubwa kwenye sera za Marekani kuhusu utoaji wa visa barani Afrika. Marekani imepunguza idadi ya balozi na ofisi za ubalozi zinazoshughulikia maombi ya visa kutoka 50 hadi 20 pekee. Hatua hii inatajwa kuathiri safari na mahusiano ya kidiplomasia kwa nchi nyingi. Kwa mujibu wa...
  18. N

    "Who are you" itamgharimu sana Rais Samia kidiplomasia

    Lilikuwa kosa mno ki-mkakati kwa Rais Samia kuwahoji wa Manga eti ni kinanani?! Ki ukweli hakika, washauri wa Rais wetu hawaku-mtendea haki kumsaidia kujizuia kutoa kauli kama ile Ndugu zangu, kwa kauli ile, siyo rahisi tena mambo kuendelea kuwa kama awali. Wazungu kwa mfano, huwa na nongwa...
  19. Blasio Kachuchu

    CRDB Yaunga Mkono Diplomasia ya Michezo ya Majeshi

    MONACO - Benki ya CRDB imeendelea kudhihirisha dhamira yake ya kuunga mkono maendeleo ya Taifa kupitia sekta mbalimbali kwa kushiriki katika Mkutano Mkuu wa 81 wa Michezo ya Majeshi Duniani (81st CISM General Assembly) uliofanyika nchini Monaco kuanzia tarehe 1 hadi 9 Mei 2026. Mkutano huo wa...
  20. Zack Abdul

    China Yabadili Jina la Rubio: "Marco Lu" kwa Diplomasia

    👉 China imeonekana kutumia mbinu ya kipekee ya kidiplomasia kwa kubadili jina la Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, kuwa "Marco Lu" ili kurahisisha safari yake ya kuingia nchini humo. 👉 Hatua hiyo imeibua mjadala mkubwa kimataifa kuhusu namna siasa na diplomasia zinavyoweza kubadilishwa...
Back
Top Bottom