Wakuu
Leo nmetokwa na machozi moyoni baada ya kuona video tatu mtandaoni
moja ya padri akieleza jinsi alivyo fuatiliwa na watu wasiojulikana, nyingine mchungaji wa kisabato akidai watu wanaokosoa viongozi wavumiliwe na video ya tatu ni ya Shehe akishutumu viongozi kuacha kugawa watu na...
Kiongozi yeyote wa dini anayesema eti tulinde amani tuliyo nayo, ni kiongozi mnafiki, mwongo, anayetumika na waovu. Kiongozi wa namna hiyo tumpuuze.
Watu wanatekwa
Watu wanauawa
Watu wanapigwa, wanatiwa ulemavu wanatupwa maporini.
Watu wanakamatwa wanapigwa na kuawitiwa.
Halafu anatokea mtu...
Biblia imasema watu wanapomokea Yesu wanafanyika KUWA watoto wa Mungu.
Wale waliowaongoza kumjua Yesu KWA KUWA wamewatangulia kwenye imani watakuwa Kaka ZAO sio Baba.
Kwa hiyo napendekeza badala ya kuwaita Baba Mchungaji, au Baba askofu au Baba mtakatifu au Baba mtumishi litumike NENO Kaka...
Watu wanalewa
Wengine nusu uchi
Dj anapoga nyimbo za dini sio sawa
Imagine sehemu Kama kidimbwi zinapigwa nyimbo za dini duh!!
Halafu leo ijumaa inachomwa kitimoto sio poa
Hivi karibuni kumekuwa na matukio yanayolenga kusababisha kufungiwa makanisa na viongozi wa Kikristo kupigwa kama yule Askofu aliyepigwa na wasiojulikana (Kwa sababu hawakutambulika), vile kina Askofu Gwajima na wenzake ambao watajaribu kuongea chochote kuhusu siasa wamekuwa wakivamiwa Moja kwa...
Ukiona namna wanasiasa wanavyoingia makanisani kuhubiri siasa na namna hao hao wanavyowazuia viongozi wa dini wawe wa kweli au feki kama Gwajima, unashangaa kama wanajua dhuluma wanayofanya. Je kuchanganya siasa na dini ni kwa viongozi wa dini tu au inawahusu wanasiasa wanaofanya hivyo tena bila...
Naam...
Kiongozi wao wa kidini anamtumikia shetani, wasimuingize kiongozi wetu wa kisiasa hapa ndg zangu.
Nje ya box.
Kuna kauli inatapanywa nchi nzima No Reform No Election.
Naqnaza kuamini mwaka huu No Election, kwa sababu hiki kinachoendelea unadhani raia gani ataenda kupiga kura?.
Hata...
Mtaendelea kudhalilika hadi lini?
Anathubutuje Kuwaiti watumishi wenzenu mashetani mbele ya madhabahu za Mungu?
Msijione mko salama "aliye zoea kula nyama ya mtu hawezi kuacha ataendelea kuila" ipo siku atawageukia na ninyi atawaita vibwengo mbele ya patakatifu na mtalazimika kupiga makofi na...
Waliotuletea dini zetu hizi mbili waliambatana na wakoloni kwenye mapito yao. Waliabu na kuimba kwa furaha pamoja na wakoloni. Sisi wageni tulifundishwa kusema na kuamini kuwa tuheshimu mamlaka maana mamlaka zinatoka kwa Mungu. Yaani hata mamlaka za wakoloni wetu pia zilitoka kwa Mungu hivyo...
Habari wakuu
Hili baraza liliundwa baada ya mashauriano kati ya taasisi za kidini kama BAKWATA, TEC, CCT, CPCT, pamoja na wawakilishi wa dini ya Hindu, Baha’i, na Budha.
Malengo ya IRCPT ni pamoja na
- Kuwezesha viongozi wa dini kushiriki katika utatuzi wa migogoro na kuzuia migogoro kabla...
Habari wakuu,
Kama Mungu ni mmoja Mbingu ni moja na pia imani ni moja ni nini kinachosababisha viongozi wa dini kutokuwa na ushirikiano pale mmoja wao anapokumbana na uonevu kwa kukemea maovu.
Je, ni kwasababu Baadhi ya viongozi wana uhusiano wa karibu na serikali, hivyo hawawezi au hawako...
Kiongozi wa kidini anawaumini wa vyama vyote hivyo ili awahudumie inabidi awe nyutro.
NI hayo tu. Suala la CCM kuruhusu wachungaji ( mashehe sijaona) KUWA wanachama wake na kuwapa uongozi wa kisiasa ndio limetufikisha hapa.
Ni afadhali ijulikane kikatiba mtu ukiwa kiongozi wa kidini...
Uwepo wa dini za kitapeli haswa vikundi vya wakristo vimepigwa marafuku haswa vile vinavyodanganya wazi wazi kama uwezo wa kufufua mfu baada ya kufariki.
Ni muda muafaka kwa serikali kusimama kama serikali bila kuangalia sura ya mtu .
"Watu wasiojulikana, hapana asiye julikana, wanajulikana. Hawajulikani na sisi, inawezekana hawajulikani na watu wa usalama lakini wanajulikana na wazazi wao hata majina wanajua, wanajulikana na waliowatuma hata sababu wanajua"
" Leo viongozi wa dini ni kama karibia mntuzima. Uso ukichafuka...
Nimekuwa nikijiuliza hili swali tangu nikiwa Sekondari na sijawahi kupata jibu.
Wakoloni walikuwa wanahusisha baadhi ya jamii kwenye elimu, Biashara, Uongozi, Kueneza Dini, Ulinzi, n.k. lakini inashangaza kuona wasukuma ambao ni kabila kubwa zaidi hawakuhusihwa, why ?
Ni kwamba nje ya...
Uislamu una muongozo gani wa kidini katika kufuga mbwa wa ulinzi au kama mnyama kipenzi(pet) na kuishi ndani ya nyumba?
Hali ya ufugaji mbwa Uarabuni ikoje?
Tarehe 26-May ni siku ambayo Wayahudi wanasherekea kuukomboa mji wa Yerusalem Mashariki ya kati, Wale wayahudi wenye itikadi kali hutumia siku hii kupita katika Nyumba, maduka ya Waarabu na kuwadhihaki na kuwafanyia fujo.
Tazama video na Picha hapo chini...