dini

  1. “Kuondoka Kwenye Imani ya Dini: Kutoroka Mfungo au Kukosa Uelewa?”

    Kuna kipindi kijana anakua kwenye familia ya dini, amelelewa vizuri, kila Jumapili au Ijumaa yupo kanisani au msikitini, anajua kusali, anajua kusamehe, anajua kujizuia na makatazo ya imani… lakini ikifika miaka ya 20s, game inabadilika. Ghafla unamkuta yuko TikTok akisema “Mimi sio mtu wa dini...
  2. Mwanamume wa Heshima (29) anatafuta Mwenza wa Maisha mwenye Dira na Dini

    Jina: Ismail Umri: Miaka 29 Uraia: Mtanzania (kwa sasa naishi Zambia) Kazi: Dereva wa magari makubwa, pia nina ujuzi wa kompyuta na teknolojia Dini: Muislamu Tabia: Mpole, mcha Mungu, muwazi, msikivu, sina anasa, ninathamini mawasiliano ya kweli na uaminifu. Hobies: Kusafiri, kusoma, muziki, na...
  3. Kwa wataalamu wa dini, inakuwaje majini yanaswali na waislam kila swala lakini hawajitokezi kwenye sherehe za waislam au ni changa la macho?

    Kichwa cha habari kinajotosheleza. Inakuwaje majini yanaswali na waislam kila swala lakini hawajitokezi kwenye sherehe za waislam au ni changa la macho?
  4. “Kwa Nini Wakristo na Waislamu Hujiona Bora, Ilhali Kuna Zaidi ya Dini 4000 Duniani?”

    Wakuu Duniani kuna zaidi ya dini 4000, kila moja ikiwa na waumini wanaoamini kuwa njia yao ni sahihi. Hata hivyo, Wakristo na Waislamu — wakiwa dini mbili kubwa zaidi — mara nyingi hujionyesha kana kwamba wao tu ndio walio kwenye ukweli wa kipekee. Je, huu ni ushahidi wa ufunuo wa kweli...
  5. M

    Wito kwa Dini na Madhehebu yote Tanzania.

    Tunahitaji ukombozi kamili wa Nchi yetu. Kwa hiyo, naomba tusiishie tu kukemea MAPEPO yasiyoonekana badala yake tukemee pia MAPEPO yanayoonekana na tunayoishi nayo Mitaani mwetu. Ukienda Kanisani au Msikitini, unapotoa sadaka yako kumbuka kunuilizia kwamba, Mungu naomba kupitia sadaka hii...
  6. Ujasusi : Mwanadada Catherine Perez alivyobadili Dini na kuwa karibu na Viongozi huku akiipeleleza Iran kwa niaba ya Mossad

    Hii Inatufundisha Usiamini Mtu hata kama Atakuonyesha upendo wa hali ya juu Kati ya mwaka 2013 hadi 2015 mwanadada Catherine perez shakdam raia wa Ufaransa aliingia nchini Iran kutokana na kuvutiwa sana na siasa za Iran za kutokubali kushindwa mbele ya nchi zenye nguvu pamoja na...
  7. U

    Nililia niliposoma hotuba hii kutoka kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu

    Nililia niliposoma hotuba hii kutoka kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu, lakini mwishoni nilisema, "Utukufu kwa Mungu wa Israeli" Hebu tusome pamoja: Bw. Netanyahu alisema: Miaka 70 tu iliyopita! Wayahudi walichukuliwa kwenda kuchinjwa kama kondoo. 🔵 Miaka 60 iliyopita! 🔵 hakuna...
  8. Naombeni msaada kuhusu huu utata ulipo kwenye dini

    Habarin wakuu Kwanza kabisa mimi ni mkatoliki pure, nimekulia na kulelewa katika misingi ya imani.. Kama ujuavyo tena sisi wakatoliki sio watu wa kusoma biblia, mara nyingi tunaskiliza tu mahubiri na kusomewa neno halafu ndo inakua imetoka hiyo. Kuna mwaka fulani nilibahatika kukaa na watu...
  9. Dini ya Allah inaruhusu uchawa?

    Mwijaku ni moja kati ya wafia dini ya Allah na anadai kuwa hata mtume alikuwa na chawa walioitwa Maswahaba na anadai hao jamaa walikuwa na makhaba na mtume hivyo si vibaya mtu kuwa chawa. Kumbe Allah anaruhusu haya mambo au Mwijaku anatudanganya?
  10. Wahhabi: Dini au Donda? Chanzo cha makundi ya fujo Duniani

    Wewe shika stuli, kaa vizuri. Leo nakusimulia stori ya jamaa mmoja aliyewasha moto hadi leo dunia inachoma. Sio moto wa kuni, ni moto wa akili, damu, mabomu, na msimamo mkavu. Jamaa anaitwa Muhammad ibn Abdul Wahhab. --- 📍 Najd, Saudia – Karne ya 18 (Miaka ya 1700s) Najd ilikuwa pori tupu...
  11. Nikiwa mdogo, niliamini nchi yetu haina udini lakini nilipofika shule ya Advance Imani hiyo ilitetereka. Udini upo hasa kwenye nafasi Nyeti

    Hamjambo wote! Ni ngumu Sana kuitenga Dini na Siasa. Ngumu Sana. Ikiwa nchi inawananchi wengi wanaoamini katika Miungu na Dini huwezi kutenganisha siasa na Dini. Ndio maana wanasiasa katika nchi zenye kuamini Miungu na Dini watanyumbulika watakavyo nyumbulika, watakukuruka watakavyo kukuruka...
  12. Ukweli kuhusu Dini Ulipo: Je, Tumekubali Imani kwa Kufuata Mapokeo au Uelewa wa Kweli?👇🏻

    Wadau Nina maswali machache hapa ningependa kufahamu: 1. Chanzo cha Dini: Ilianzia Wapi? Je, dini ziliundwa na Mungu au binadamu? Je, zilitokea lini na kwa nini kila tamaduni ina dini yake? Kabla ya Uyahudi, Ukristo na Uislamu watu waliamini nini? 2. Kabla ya Yesu (na Mitume), Watu Waliamini...
  13. Taratibu jamani hayaa, tutaonana wabaya hayaaa, viongozi wa dini hususani maaskofu

    Friends and our enemies, Naanza na maaskofu, nyinyi maaskofu baadhi yenu mna kiburi sana.. Mnataka serikali iwapigie magoti kwani inawajibika kwenu au kwa wananchi? Tambueni kazi yenu ya kuwa viongozi wa dini ni kazi ya wito na kumtumikia mungu,ikiwemo na kuongoza waumini wenu. Ni kazi yenu...
  14. Maoni yangu ufanano wa dini ya Kiislamu na Kiyahudi

    Nimekua nikifuatilia dini hizi mbili kubwa katika mambo kadhaa kama yafuatayo Wote huamini maandiko ya mwanzo yasiobadilika .Wote huamuni Mungu ni mmoja wala hana mtoto. Wote hulotaja jina la Mungu kwa ufanano Wayahudi Wanaia Yahwel,Waislamu huita Yallah au Allah .wote hawamuamini Yesu kama...
  15. Ukweli mchungu: Ukifuatilia sana mambo ya dini, utabaini kuwa "Dini ni kwa ajili ya watoto"

    Au watu wazima wenye akili za kitoto ( The gullible ones). Story za dini hizi za wazungu na waarabu ni utoto utoto tu. Ni ajabu sana kuona mtu mzima bado ana amini kwa dhati kuhusu mambo ya dini. Baba zima bila aibu eti linaongea kuhusu adhabu ya kaburi au moto wa jehanamu etc. Ma Sheikh...
  16. SWALI: Kwanini watu wenye ibada pasipo na ukristo na Uislamu. Mbona dini zao ziko na pesa ?

    SWALI : kwa nini watu wenye ibada pasipo na ukristo na uislamu.mbona dini zao ziko na pesa ? Naomba wasomi mtupe jibu je Kuna Siri Gani hapa . Atotoa jibu zuri Kuna zawadi ya group kuingizwa free la kulipia ili kuchota marifa zaidi na Utambuzi zaidi na zaidi . Swali la kwanza ameshinda...
  17. Viongozi wa dini kweli hawaoni yabayoendelea nchini kwa vyama vya upinzani hasa chadema inayopitia?

    Kila kona chadema imebanwa msajiri kila siku kutoa matamko yasiyo na tija na kusitisha ruzuku, viwanja vya mikutano imekuwa mwiba kwa chama hicho , uhamiaji kila sehemu wapo macho hawataki anayeitwa kiongozi wa chadema kuvuka mipaka ya nchi, mahakama nayo imebana kwa kuamua kesi ya chama...
  18. J

    Je Kuna Uhalali wowote Kusalia Mbele ya Nyumba ya Ibada ya Dini Nyingine?

    Hicho ndicho kilichotokea wakati wa Eid Al Adha huko Montreal Canada. https://x.com/realMaalouf/status/1932453119792685440 Na bado Waziri Mkuu wa Canada katika salamu zake za Eid, alimwaga sifa kemkem kwa Waislamu. Swali jingine mtu anajiuliza je this love affair baina ya viongozi wa kisiasa wa...
  19. Viongozi wa dini msikubali kuchonganishwa wala kugawanywa

    Mimi sio mfuasi wa Gwajima hata kidogo.. Ana mashimo yake mengi tu.. Lakini pale alipojitoa waziwazi kuliongelea swala linalotuumiza sana la utekaji ghafla akageuka shujaa wa wengi maana aliongea kile watu walichotaka kukisikia Uungwaji wake huo mkubwa haukumfurahisha kila mtu.. Na hili wala si...
  20. Usiishi dini, ishi matendo

    ⭐Tolstoy aliamini kwamba imani ya kweli haipaswi kuonyeshwa tu kwa sala, ibada, au mafundisho ya kidini, bali kwa jinsi mtu anavyoishi. Mtu wa dini anapaswa kuonyesha huruma, haki, na maadili mema katika matendo yake ya kila siku. ⭐Badala ya kushiriki mijadala kuhusu dini au kueleza mafundisho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…