diamond

  1. O

    Wanyonyi Shatters 27-Year-Old 1,000m World Record at Monaco Diamond League

    Kenya's Emmanuel Wanyonyi delivered a historic performance at the Monaco Diamond League, breaking the men's 1,000-metre world record that had stood for 27 years. Competing in the event for the first time, the Olympic 800m champion stormed to victory in a time of 2:11.83, eclipsing the previous...
  2. Mimi ni Millenials ninayemkubali Diamond Platnumz, But kwenye Live Alikiba ni Balaa!

    Ndugu zangu wana jamiii Forums,Natumai mko salama! Binafsi nimekulia kwenye kizazi za kina Dully Sykes lakini ukweli ni kwamba,Namkubali sana msanii wa kizazi kipya aitwaye Diamond Platnumz!,Nimekuwa mshabiki wa muziki wa kizazi kipya tangu enzi za wasanii wenye umri wangu!,Nilishawishika sana...
  3. Mtoto wa Zari The Boss Lady, mzazi mwenza na Diamond Platnum, abadili dini na kuwa Mkristo

    MTOTO WA ZARI aliezaa na marehemu Ivan, alie kua mzazi MWENZA na diamond PLATNUM, pinto ambaye ni kaka yake na tiffah dangote, amebadili DINI na KUINGIA KWENYE UKRISTO ili hali amelelewa kwenye UISLAMU, Huenda yule demu wake MZUNGU kahusika na hili muda utasema, hata hivyo zari kampongeza...
  4. Hii Retro Tour inadhihirisha Diamond Plutnumz ni moja ya performers wakubwa sana Africa

    Huyu kijana asingejiingiza kwenye mambo ya uchaguzi kwa kauli zile mwaka jana basi angejaza sana kwenye hii retro tour yake. Perfomance nzuri sana, mziki unapigwa live yaani bila chenga wala auto tune. Vifaa sasa wamejitahidi sana, trombone, saxophone, na sauti iko swaafi sana, yaani murua au...
  5. Car4Sale Prado Diamond "Rangi Ya Panya" Iko Rasmi Sokoni

    Bei/Price🏷️👉🏾TSH 58M Call📞+255 747 999 927 LAND CRUISER PRADO(EN) Year: 2006 Engine: 2TR-FE Mileage: 79,411KM Fuel Used⛽: PETROL Transmission: AUTO ✨Fog Lights ✨Alloy Wheels ✨2-SRS Airbags ✅Clean Interior ✅Well-Maintained ✅Swap Deals Available
  6. Chukua nyimbo 10 za Diamond hazitoboi kwa kipande cha dakika 2 cha wimbo wa Juma dede (Times fm) kilichoombwa na Mzee Yusuph

    Ukitaka kuona ukubwa wa Mzee Yusuph kasikilize kipande cha wimbo wa times fm(Juma dede) kilichoimbwa na Mzee Yusuph. Huu wimbo ulikuwa mahsusi kwenye sherehe za times fm hivyo wasanii wa taarabu wale magwiji waliungana kwa pamoja kutoa wimbo wa Juma dede. Yani Mzee alithibitisha ukubwa wake...
  7. Diamond Platnumz️ ni mwizi wa nyota za wasanii wenzake?

    Wadau habari zenu? Hili suala la diamond platnumz kuhusishwa na kupoka nyota za wasanii wenzake, hasa wale wanaofanya vizuri kwa kipindi fulani, limeshika kasi sasa. Hivi karibuni kumekuwa na mijadala mbalimbali mitandaoni kuhusu kupokwa kwa nyota ya msanii Jay melody aliyetamba ni nyimbo...
  8. Matonya aendelea kusota rumande Kenya, amlilia Diamond Platnum amsaidie

    Wakati Msanii mkongwe wa Bongo Flava kutoka nchini Tanzania, Sefu Shabani, maarufu kama Matonya akiendelea kushikiliwa na mkono wa sheria huko nchini Kenya, ndugu wa karibu anayefahamika kama Omary ambaye yuko nchini Kenya ameelezea kukwama kwa mawasiliano na kuomba msaada wa haraka kutoka kwa...
  9. D

    Diamond anaulizwa Sports Arena itajengwa lini Tanzania???

    Nafikiri suala hili amuulize G. Msigwa ndiyo Katibu Mkuu mwenye Dhamana ya viwanja vya michezo Tanzania, anaweza jua Bajeti ya Bilioni ngapi imetengwa, au Mkataba wa Bilioni ngapi umesainiwa na katika huo Mkataba ni ngapi zimeongezewa pasipo Mkataba.
  10. PostGE2025 Diamond Platnumz: Wanaweka nguvu kwenye mpira. Wasanii wanatudharau, wanatuthamini kipindi cha kampeni tu

    Wakuu, Naona ndugu zetu washaanza kutoa milio huko 😂 Tuliwaambia waachane na siasa wasimame na wananchi wakakaza shingo. Sasa hivi wameshatumika wanatoa milio. Malipo ni hapa hapa duniani! ------- Msanii Diamond Platnumz, akizungumza leo, Machi 31, 2026, katika mahojiano maalum na kituo...
  11. Ugandan Start Joshua Baraka Overtakes Tanzanian Star Diamond Platinums

    Ugandan singer Joshua Baraka has overtaken Tanzania’s heavyweight Diamond Platnumz in monthly listeners on streaming service, Spotify. As of March 2026, Baraka sits at about 1.71 million monthly listeners, while Diamond averages around 1.5 million, signaling a notable shift in the region’s...
  12. Quick question

    Wikend kama hii umeamua kuitoa out familia yako. Let's say umewapeleka mlimani city hivi. Katika mizunguko mle ndani, watoto zako wa kike wanaomba uwapitishe washroom. Mkifika, wanaingia ndani. Kidogo unaliona shoga mbavu linaelekea toilet walipo wanao
  13. Tetesi: Show ya Diamond na Jux Nigeria imebuma, spana na utu, spana ziendelee

    Katika Hali ya kushangaza watu wamejiuliza hivi wanigeria nao wamesusa? Ukitoa waandishi wa habari, na familia ya mke wa jux uwanja unabaki holaaa Yani unaweza hata wahesabu, na ukagawa chai na vitumbua vinne na bado ukarudi navo. Muheshimiwa waziri na msemaji wetu girishoni tunaomba show...
  14. PostGE2025 Mwandambo: PM unasema akina Diamond walikuwa kwenye ajira ya kutumbuiza CCM, kwa nini akina Roma na Nay wa Mitego wakiimba CHADEMA wanafungiwa?

    Clemence Mwandambo amemuhoji Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba kuhusu hoja yake aliyoitoa akieleza kuwa wasanii wanapokuwa katika majukwaa ya CCM ni miongoni mwa sehemu ya kazi zao. Mwandambo amehoji je kwanini wasanii kama Roma na Nay wa Mitego wakiimbia Upinzani wanazuiliwa na BASATA ingali na wao...
  15. Gen Z wakimshangilia Msanii Diamond au ni ndugu zake wa Tandale?

    Wakuu. Haya ni mapokezi Msanii Diamond na kwenye video ni Gen Z waliosema hawatamani hata kumsikia sijui imekuwaje, lakini ukweli ndio huo wakimzimikia Msanii wao. Je, ni tukio lakutengenezwa ili ionekana anapendwa? Au kweli maisha yamerudi kama zamani?.
  16. B

    Ni kweli kwamba Diamond na team yake ya Wasafi wamenyimwa visa kuingia USA?

    Taarifa zilizopo ni kuwa msanii Diamond na team yake wamezuiliwa kuingia USA, kuna ukweli wowote? na sababu inaweza kuwa ni nini?
  17. PostGE2025 Kuna Show ya msanii kutokea hapa Bongo imebuma Texas, Watanzania wanaishi huko wameisusia, Waende wakapige show Dodoma

    Kuna hii video ya huyu dada anatokea huko Marekani anadai kwamba moja ya msanii kutoka Tanzania alipaswa kufanya show weekend hii lakini show hiyo imebuma kabisa kutoka na Raia wa Tanzania wanaoishi huko Marekani kucancel tekiti na wale walinunu kuzichana. Na kuwataka wasanii hao wakapige show...
  18. R

    Diamond ahudhuria bunge kushuhudia Baba Levo akila kiapo

    Mbunge mteule wa Jimbo la Kigoma Mjini Kupitia CCM, Clayton Revocatus Chipando Maarufu Baba Levo akieleza furaha yake Siku yake ya kwanza Bungeni ambapo leo Novemba 11. 2025 amekula kiapo rasmi kuanza kuwatumikia Wananchi wa Jimbo la Kigoma Mjini Msanii Diamond Platnumz alihudhuria mkutano huo...
  19. Mwandambo: Diamond, huwezi kuwaita wasanii wenzio "kenge", haka ka kijana ni laana!

  20. Hatimaye pepsi wamvua ubalozi Diamond Platnumz

    Lilikuwa ni suala la muda tu. Hatimaye imetiki. Pepsi imemvua ubalozi diamond , hivyo diamond ameondoa utambulisho rasmi wa yeye kama balozi wa pepsi Tanzania. Sasa hapa inabidi nguvu nyingine itumike kuwashawishi serengeti nao wamtose ubalozi Pia jambo lingine Diamond amefuta picha ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…