diamond

  1. Zack Abdul

    Diamond amfariji Rais Samia baada ya msiba

    Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 09 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim...
  2. Jannatul Firdaus

    Harmonize; Sitaki kusikia eti wasafi na Diamond ndo wamenitoa kimuziki

    Akiongea na Obinna Tv nchini Kenya amesema huwa anachukia sana anapo ambiwa yeye Ametambulishwa Kimziki na wasafi pamoja Diamond. "Sitaki Kusikia jina Diamond Wala wasafi kwenye mahojiano yangu, Mimi mwenyewe Kwa Sasa nina Lebo yangu ya konde Gang, niulize kuhusu hilo tu na Mimi mwenyewe...
  3. Jannatul Firdaus

    Ibra; Harmonize aliniblock kisa nilimpost diamond platinumz

    Kupitia kipindi Cha Transfoma pale EFM, Ibraah ambaye alitambulishwa kwenye mziki na Harmonize amesema anasikitishwa na kitendo Cha Harmonize kumblock kisa tu alimpost Diamond Platinumz. "naumia sana Harmonize Aliniblock Kila sehemu kisa tu nilimpost Diamond, ni mwaka Sasa umepita"
  4. Jannatul Firdaus

    Diamond Platinumz: Sitamani Tiffa aje kuishi Tanzania, wataniharibia mwanangu

    Zikiwa zimebaki siku tatu kuelekea arobaini ya mtoto wa zuchu na Diamond, Densa wa Diamond, Moise Iyobo amemuuliza Diamond amejipangaje kuwalinda watoto wake hawa Wakike ambao tayari anao? Diamond amesema, hatamani mwanae Tiffa aje Kuishi Tanzania Kwa sababu vijana wame mpania sana kulipiza...
  5. L

    Nini tafsiri ya ndoto hizi . Messi vs Diamond

    Wakati wa michuano ya kombe la dunia niliota ndoto nikiwa navuta bangi na lionel messi, niliiwaza sana ndoto hii baada ya kuamka lakini sikuweza kupata maana yake . Na kuna siku pia niliota ndoto kuwa diamond platnumz alikuja geto kwangu kunikopa 5000. Je hizi ndoto tafsiri yake ni nini au ni...
  6. Jannatul Firdaus

    Maimartha Afichua yaliyojiri kati ya Diamond Platnumz na Ashurey Rwanda, Zari alipiga simu

    Mtangazaji na mwanahabari wa burudani, Maimatha, ameibua gumzo mtandaoni baada ya kutoa madai na maelezo kuhusiana na uhusiano wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, na mnenguaji wake, Ashurey Rwanda. Katika maelezo hayo yaliyowekwa kwenye chaneli ya 2GETHER online, Maimatha amedai kuwepo...
  7. Jannatul Firdaus

    Diamond alioneshwa picha zangu aksema ananijua, ananitaka

    Mrembo Stella Mbunge ambaye ni video vixen wa video ya wimbo wa Salama wa Diamond na Barnaba ,amesema kwamba video ya salama ,Diamond Platnumz alimlipa zaidi ya milioni kumi licha ya kushindwana bei kwa mara ya kwanza. Stella Mbunge amesema kuwa kwa mara ya kwanza kiasi alichotajiwa atalipwa...
  8. Jannatul Firdaus

    Ruby: Nilikuwa nalala kwenye kibaraza cha Diamond

    Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ruby, kupitia kipindi cha wasafi fm (the switch) tarehe 24 august, amefunguka kuhusu maisha magumu aliyopitia wakati akipambana kutafuta kutoboa kwenye tasnia ya muziki, ikiwemo kufikia hatua ya kulala kwenye kibaraza cha nyumba ya msanii mwenzake, Diamond...
  9. ChoiceVariable

    Nafurahishwa na Utaratibu wa Kuita Majina Watoto Bila Kulazimika Kutumia jina la Ukoo la Baba kama Anavyofanya Rais Museven na Diamond

    Mfano ona hapa majina ya baadhi ya Watoto wa Rais Museveni ni , 1.Muhoozi Kainerugaba 2.Patrice Rwambogo 3.Natasha Museven Karugire Kwa sheria za Tanzania unaonekana hauna mtoto sijui mpaka ukaape mahakamani na usumbufu mkubwa sana. ======= Pastor Patience Rwabwogo, binti wa Rais wa Uganda...
  10. Jannatul Firdaus

    Esma platinumz; Diamond ni ndoto ya kila mwanamke ukinitoa mimi dada yake

    Esma Platnumz ambaye ni dada wa Diamond Platnumz amewatolea uvivu watu wanaoisema vibaya familia yake . Esma Platnumz amedai kuwa wengi wanaoisema vibaya familia yake huwaga wanatamani kuwa na mahusiano na kaka yake na wengine wanawasaliti mpaka mabwana zao ili wawe na Diamond. Esma Platnumz...
  11. Jannatul Firdaus

    Diamond Platnumz Amwaga Vibunda kwenye NayaBill Birthday Party

    Msanii maarufu wa Tanzania, Diamond Platnumz, ameonekana kuvutia hisia za mashabiki baada ya kuonyesha ukarimu mkubwa katika sherehe ya siku ya kuzaliwa ya NayaBill. Katika hafla hiyo, Diamond alionekana akimwaga fedha huku akisherehekea pamoja na wageni wengine, jambo lililozua gumzo na...
  12. Pakome

    Trey Songz ni msanii wa bei ya jioni, Diamond Platnumz kaokota kopo la maji

    Diamond Platnumz kamkaribisha Trey Songz kutoka Marekani pengine lengo lake nikufanya collabo Ukweli ni kwamba huyu msanii alishashukaga thamani miaka mingi sana iliyopita na amesha ejected kwenye soko la Marekani Kushirikiana na msanii kama huyu hakuletagi matokeo makubwa kwasababu hana...
  13. figganigga

    Zawadi kwa Diamond na Zuchu ni utakatishaji fedha. Serikali ipo kimya

    Tungekuwa na Taasisi imara za kupambana na Uhujumu Uchumi na Utakatishaji fedha, basi Diamond na Mke wake wangekuwa washahojiwa. Japo waelezee waloleta hela wana uhusiano gani. Wasanii wa bongo wanashiriki kutakatisha fedha.. Kwenye Kitchen party, Harusi(zinazovunjika baada miezi kadhaa)...
  14. L

    Mtoto Wa Zushu Na Diamond Anakaribia Kufikisha Billion Moja Alizopewa Kama Zawadi Ndani ya Wiki Moja Wakati CHADEMA Wanaelekea Kukata Tamaa Kukimbia

    Ndugu zangu Watanzania, Dunia Ina vituko kwelikweli, watu wakikuchoka wanakuchoka kwelikweli. Watu wakikukataa wanakukataa kwelikweli. CHADEMA Imechokwaa ni haija pata kutokea kwa chama cha siasa kuchokwa namna hiyo. Yaani Ni aibu aibu aibu na Fedheha kubwa sana . CHADEMA Wameomba Michango na...
  15. Stability

    Ghafla taifa limehamia kwa zuchu na diamond sasa, yani mtaendelea kuchezewa akili kama tom and jerry😅

    Aliepo mitaa ya tabata, shukia hapa mi casa lounge , karibu
  16. M

    Zuchu na Diamond wanatarajia kupata mtoto wa kike

    Leo ilikiwa baby shawer ya Zuchu baada ya jana kuachia picha akiwa mjamzito. Leo wameonesha kiwa tumboni kwa Zuchu kuna baby girl
  17. M

    Ni jeuri ya pesa ? Gachuma, tajiri wa Mwanza kampeleka Diamond Tarime kwajili ya Birthday wakati angehitajika harusi ya mtoto wa tajiri wa Katoro

    Tajiri wa Katoro sio mtu wa kupenda unyonge! Hapana kabisa! hana dogo, anapenda kujulikana kwamba ana mkwanja mrefu kama mguu wa twiga! Na usidhani ni maneno tu, tuliona video wiki iliyopita zilizotuteka headlines mitandaoni. Kwenye sendoff ya mtoto wake alianza kwa kum book Ali Kiba na wala...
  18. H

    Diamond: Mali zangu zinatambulika kwa jina la Mama Dangote

    Diamond amefunguka kuwa Mali zake amesaini kwa jina la Mama yake wakati akisherekea sikukuu ya kuzaliwa ya mama yake Mama Dangote na amesema yeye ndio amenifanya Watanzania wanitambue amenipigania sana kwenye safari yangu ya Mziki ikiwemo aliuza Pete yake ya ndoa ili tu niwe na uwezo wa kurecord...
  19. N'yadikwa

    Yuko Wapi Diamond Platnumz? Why hajakuwepo kwenye 30th anniversary ya bongo flava?!

    Diamond Platnumz ni mmoja wa watu waliobeba na kuikuza Bongo Flava mpaka ikavuka mipaka ya Tanzania. Kwa mchango wake, wengi wanamhesabu miongoni mwa wakongwe wa muziki huu. Ndiyo maana kutokuwepo kwake kwenye tamasha la Miaka 30 ya Bongo Flava lililofanyika jana kumeibua maswali mengi...
  20. O

    Wanyonyi Shatters 27-Year-Old 1,000m World Record at Monaco Diamond League

    Kenya's Emmanuel Wanyonyi delivered a historic performance at the Monaco Diamond League, breaking the men's 1,000-metre world record that had stood for 27 years. Competing in the event for the first time, the Olympic 800m champion stormed to victory in a time of 2:11.83, eclipsing the previous...
Back
Top Bottom