diamond

  1. Mbosso, Diamond washinda tuzo za Hipipo Uganda

    Tuzo kubwa za muziki nchini Uganda , Hipipo Music Awards (Hall of Fame) , zimefanyika siku ya Jana huko Kampala na Kushuhudia wasanii tokea Lebo ya WCB , Diamond Platnumz pamoja na Mbosso wakiiwakilisha vyema Tanzania kwa Kuondoka na jumla ya tuzo tatu (3) Katika tuzo hizo ambazo mwaka huu...
  2. Almasi inang'aa: Diamond yumo katika video tisa (9) zinazotrend Tanzania Youtube

  3. Whozu ana kipaji kikubwa, akikazana na kujifunza atafika mbali sana

    Juzi nimeletewa wimbo na mdogo wangu unaitwa Mi Amor wa huyu Whozu. Huwa nasikiliza Bongo Fleva lakini ni wasanii wachache sana huwa nawafurahia kwa uwezo wa kufanya ubunifu wa kujitenganisha na wasanii wengine. Mara nyingi wasanii wengi huwa wanaigana sana kuimba na mwisho kabisa huwa unakuta...
  4. Diamond atuzwa ufalme wa kuwa Mtumbuizaji Bora Afrika

    Wiki iliyopita kuibuka mzozo wa Burnaboy na Diamond nani mkali Jana kwenye show ya MTV Base Afrika kijana wetu kagongelea msumari hakuna wa kumzidi kwenye perfomance stejini au kokote akifanya show Hadi B Dozen kakubali mzigo aliopiga Diamond, leo akiwa live kwenye kipindi cha XXL japo...
  5. Show ya Diamond Platnumz (MTV Base )

    Kuhusu kulipia show =========== Jamaa kaona isiwe kesi, Kiki hakuna kaamua kujilipua kwa kununua Airtime ili Akiki siku mbili tatu ==================== Kuhusu performance ya kuwa nzuri ===================== ================== Kuhusu performance ya kuwa sio nzuri ================
  6. Video: Harmonize akicheza wimbo wa Jeje wa Diamond Platnumz

    Huenda kuna kitu Kati ya hawa watu, tuwe na akiba ya maneno
  7. F

    Why watu wenye mafanikio wamesoma kayumba? Samatta, Diamond, Doctors, Engineers, President etc

    Habari wadau.. Mbona watu wengi wenye mafanikio wamesoma kayumba? Hizi shule za kizungu zinakosea nini kuandaa watoto ? Nimepima sector zote.. kuanzia michezo, business, politics, music, engineering naona kayumba wanaongoza... Nawaza tu hizi shule za mtoto kubeba begi kubwa na kuchukuliwa na...
  8. Diamond is an entertainer, you can dance and party on hos

    He sings for the world to enjoy
  9. WCB waachia Dude linaloitwa Quarantine

    Hawa watu wajanja sana, wameachia wimbo wao mpya ambao nina uhakika utatrend sana kwenye mitandao hasa huu mpya Tiktok unaoongoza kwa kuwa downloaded hivi sasa. Wasanii wengine chukue somo hapo, maana mtalalamika mnarogwa/logwa kumbe mchawi wenu ni nyie wenyewe
  10. H

    Diamond na Nandy miongoni mwa wasanii watakaohojiwa na Idris Elba

  11. Diamond Platinumz FC

    Niwasalimu wote. Amani ya bwana iwe nanyi. Najua duniani na kwingineko kwingi ligi mbalimbali zimesimama kutokana na jinamizi la Covid 19. Huwa natamani kuona timu yetu ya Taifa na klabu zetu za soka Tanzania zikifanya makubwa Africa. Na ndio maana nikaja na huu uzi "Diamond Platinum FC"...
  12. Hii ndiyo gari la mtoto mdogo Diamond Platnumz.. Rolly Royce

    Hii ndiyo gari la mnyama Platnumz, yaani gari itatua Uwanja wa ndege wa Mwl J.Nyerere terminal lll, likiwa ndani ya ndege ya kukodi ya mzingo.. So far, bei ya gari ni sawa budget nzima ya wizara ya Mwakyembe,
  13. Diamond hajakosea ila kumbuka ulipotoka

    Umetoa kod kwa wasiojiweza, saafi Umejenga msikiti, saafi Umeleta radio, studio, tv, saafi Umefanya matamasha ndani na nje ya nchi, safi Umetuletea maneno mapya kwenye lugha yetu pendwa mfano kitorondo, safi Hujatuletea bob junior kwenye label yako, sio safi Unawaacha akina DJ Mafuvu (nakumbuka...
  14. Diamond Platnumz aanza kutoa msaada wa kodi ya miezi 3 kwa kaya 500

    Mkurugenzi wa kampuni ya Wasafi, msanii Diamond Platnumz ametoa msaada wa kodi ya pango kwa watu 57 ambao ni wajane, walemavu pamoja na wasiojiweza. Msaada huo ni awamu ya kwanza katika ile dhamira yake ya kusaidia kodi ya pango kwa kaya 500 nchini zilizoathirika kiuchumi na janga la mlipuko wa...
  15. Diamond unapondwa lakini naona Wasafi Media zimewakaba koo watesi wako. Rekebisha mapungufu machache tuizike Clouds

    Mtoto wa Tandale kwa namna mambo yalivo pale Wasafi Media naona kama wiki mbili zilizopita mpaka Clouds Media wakapata mtikisiko na wakaja na visegment vya hovyo sijui eti wanavunja sheria mjengoni, yote hiyo walikuogopa kwa ujio wako kwenye media ila fanya haya kama utaona yana tija ili tuzidi...
  16. H

    Diamond: Tayari tumepata leseni ya kurusha Wasafi FM nchi nzima

    Mkurugenzi Mkuu na CEO wa Wasafi Media Diamond Platnumz kupitia interview aliyoifanya kwenye Sports Arena amefunguka baada ya kuulizwa na Maulidi Kitenge kuhusu Wasafi Media kwenda mikoani. Amefunguka "Mwanzo tulikuwa hatujapa leseni ya Serikali kurushwa redio nchi nzima ila kwa mwaka huu...
  17. Y

    Ushauri kwako Diamond

    Wengi tunakusaport bt hatupendezwi na ulivyomtenga mzee abdul ambae mbegu yake ndo sabab ya wewe kua. Mama mlea mbegu anaishi kifahari bt baba mpanda mbegu anaishi kwa dhiki ajil ya makosa yakibinadam. Tunajua mama anamchango mkubwa kufika ulipo bt tambua mbegu ya mzee abdul ndo chanzo cha...
  18. Hivi ni kidude gani alichokiimba Diamond Platnumz hapa?

    Katika kibao chake kiitwacho Baba Lao, nyota wa muziki anayepeperusha vyema bendera ya Tanzania Diamond Platnumz ameimba maneno haya katika moja ya verses kwenye wimbo huo "Eeeh! Tumewachapa (Kidude) Hakichomoki (Kidude) Kimewanasa (Kidude) Wanatapatapa (Kidude)" Hicho kidude anacho kiimba...
  19. H

    Exclusive interview na diamond kwenye kipindi Cha good morning kesho wasafi FM

    Diamond atakuwa kesho kwenye kipindi Cha good morning Cha Wasafi FM kinachorushwa kuanzia saa 11 mpaka saa 2 na nusu Asubuhi kutoa muongozo katika namna ya kupata msaada wake wakulipia Kodi ya miezi 3 kwa familia 500 so stay turned.
  20. Msanii Diamond Platnumz kulipa kodi ya nyumba ya miezi 3 kwa familia 500 za hali ya chini

    Kuna rundo la watu wenye wasiopenda wema wa kijana wameegamia kwenye fikra potofu kwamba ilibidi huu msaada utoke kimya kimya, Jibu ni "NO" "HAPANA!!!" Kuna misaada inabidi itoke kimya kimya mfano kumsaidia omba omba wa barabarani au kumsaidia ndugu yako kodi, Ila kwa hali ya huu msaada wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…